Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

Kwa sasa sina ila ntakutafutia

Ukristo umeanza miaka.mamia kabla ya uislam inakuwaje maandiko ya Biblia yanashabihiana na Qur'an? Je wana wa Israel ni waislam? Kama ndio mbona mnawachukia?
Ahsante kwa Bahati mbaya mimi sijapata fursa ya kuipekua Biblia, hivyo siwezi kusemea upande nisiokuwa na elimu nao.
 
kama alizaliwa tarehe 8/6 mbona siku ya kuzaliwa inaadhimishwa mwezi wa 10
Tareh 8/6 kwa calendar ya kizungu ,
Nisawa na Tareh 12/3 kwa calendar ya kiarab kwa hiyo sherehe ya kuzaliwa kwa Muhammad (a.s.w) huwazimishwa kila 12/3 (Rabbi l awwar) mfungo sita kwa calendar ya kiarabu
 
Huyo zaid bin harith hakuwa mwanae wa kumzaa ni mtoto wa kumlea tu...na hakufanya chochote bwana mtume ispokuwa ilikuwa ni [wahyi] ujumbe na maelekezo kutoka kwa allah.
 
Je ni kweli mtume alikuwa hajui kusoma na kuandika?Na vp kuhusu kupokea aya za kishwetan!??
Yah kabla ya kupewa utume hakujua kusoma wala kuandika ,Baadae alifundishwa kupitia Malaika Jibrilu ndipo akapewa utume Qur :94

Hakuna aya zilizo potea,kulikua kuna njia zilizo tumika kuhifazia Qur'an
1.Kuandikwa katika ngozi
Hapa maswahaba walikua wakiandika baada ya kusomewa kutoka kwa Muhammad (s.a.w).
2.Kuhifadhi kifuani
Yaani kama tunavyoona waislam wa sasa wakihifazi Qur'an yote juzuu 30 vifuani mwao kuepuka isipotee wala kubadilishwa au kupindishwa
 
Uzi mzuri sana spesho kwa bwana mtu swala llahu alayh wasallam...khairul anbiyaai walmursaliina wa khaataman nabiyyina.

Shukrani sana sheikh hapo unatembea na siratunabiyyina....umenikumbusha mbali sana allah atuongoze insha Allah.
 
Uzi mzuri sana spesho kwa bwana mtu swala llahu alayh wasallam...khairul anbiyaai walmursaliina wa khaataman nabiyyina.

Shukrani sana sheikh hapo unatembea na siratunabiyyina....umenikumbusha mbali sana allah atuongoze insha Allah.
Allahumma Amin
 
Kumbuka hapo ni vitani ,inapobidi kufanya hivyo utafanya kujinusuru wewe
mimi sijakuuliza ikiwa aliua mtu akiwa harusini ama vitani.
ilo la vitani ama kwenye sherehe tuliache kwanza ukipata muda utaanzisha ka uzi ka ufafanuzi kuhusu matukio ya mtume. najua umesahau swali langu , ngoja Nikukumbushe:, unawambia nini wanaokataa kuwa Muhammad sio MUUAJI?.
 
Uongo..mwanamke wa miaka 40 kuzaa watoto sita..menopause yeye ilikua hammhusu ama?

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…