Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo shehe, mwanaume akitenda mema hapa dunianiakiwa amekufa anasubirki kiama ndio analetewa watoto mabikra 70? na je baada ya kuwavunja bikra hao wanawake wanaenda wapi?sio siku ya kiama ila ni kwa wale watakaofanikiwa kuingia peponi.siku ya kiama ni hukumu kwa watenda mema na maovu sio siku ya kupeana mabikira
Udini utakupeleka wapiCha ajabu wachangiaji watakuwa wa upande mwingine na kukejeli kwa kashfa na matusi
Ni ajabu moja nimeiona JF uzi ukiletwa wa wakristo wachangiaji wengi wanakuwa ni wakristo kwa mfano jana uzi kuhusu RC na ndoa
Waislamu walipita kushoto kwani hauwahusu
Ila sasa uzi wa kiislam ndio utajua wakristo wana chuki mbaya tena ya wazi
Kuuliza maswali ni sawa ila kama hayakuhusu unapita kimya sio mpaka uonyeshe chuki kwa wengine
Ahsante ndugu,Kwa nini alioa binti mdogo khadja?
Je, hii ni sawa?
Umeongea niniوَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ
Na hawatoridhika nawe Mayahudi wala Manaswara mpaka ufuate mila zao. [Al-Baqarah (2: 120)]
Cha ajabu, kwa upande wa waisilamu wa jamiiforum n.k mada muhimu kama hizi huwezi waona ila wachache sana, hata kuchangia tuu hamna. Mleta mada anajikuta kaambulia wachangiaji wachache sana kama 2onavyo manaswara wameingia kuuliza maswali, na wengine wanapitisha kejeli,,,,. Lakinii nenda jukwaa la siasa, mapenzi, sports, jokes, international furum n.k utawakuta waislamu kama co wengi bac ni wachache wao wakichangia.
Samahani Sheikh! Aliye anzisha vita vya Jihads ni Mtume mwenyewe, au ni Wafuasi wake waliomfuata baada ya kifo chake?Yeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570.
Mama yake na mtume Muhammad (s.a.w), Bi Amina, alituma habari za uzazi huu wa kheri kwa babu yake na Muhammad, Mzee Abdul Muttalib, ambaye alikuja, akamchukuwa mikononi mwake, na akampa jina hili la Muhammad.” Lenye maana ya MSIFIWA.
Nawakaribisha kuuliza maswali kuhusu mtume wetu huyu MUHAMMAD "amani na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake".
View attachment 1975182
HAYA NI MAMBO YA KIIMANI ZAIDI. KWANI NI VIGEZO GANI VILIVYOTUMIKA KUTHIBITISHA MIMBA YA YESU, KWAMBA ILIPATIKANA BILA BABA? MIMI NA WW TUNAAMINI ILIPATIKANA KWA UWEZA WA ROHO MTAKATIFU, LKN WAYAHUDI MPK LEO WANAAMINI KWMB YESU NI MTOTO WA ZINAAKwenye translation ya mwanazuoni wa kiislamu maarufu kama Ibn Ishaq, alimuelezea buraq kama mnyama ambaye ni mnyama nusu farasi nusu mtu akiwa na mabawa pembeni
image ambayo unaweza ukaijenga kwa sifa hizo alizoelezea huyo mwanazuoni unaweza ukapata picha hii
![]()
Mimi nilikuwa nataka kuuliza tu, habari hiyo ni ya kweli au yakufikirika? Vigezo gani vilivyotumika kuthibitisha uhalisia wa hilo tukio?
Khur-lainJe, Mtume alisema siku ya kiyama tutapewa mabikira 70?
Je, kama ndivyo tutatumia mkongo au alkasusu?
Alikuwa akiitwa ABU LAHABsory mjomba wake mtume alikua anaitwa nani?
Yah ni kweli, lakini ukali w maneno hay "shushiwa mkong'oto" unawez kuleta taharuki hasaa. Mtume aliambiwa kusoma ilihali hajui. Na kuna nguvu kias ilitumika kulazimisha hiloNi kweli malaika Gabriel (mwenyewe alimpachika Jibril) alimshushia mkong'oto wa nguvu pangoni alipokuwa ana muelekeza kuandika kurani kwasababu hajui kusoma na kuandika?
Ahsante, kila swali litajibiwa ndugu uliza tafadhali. Tutajibu kwa usahihiMaswali mengi hapa hayatajibiwa!
Dah! Uzi ushaharibika huu [emoji23][emoji23][emoji23]Je, Mtume alisema siku ya kiyama tutapewa mabikira 70?
Je, kama ndivyo tutatumia mkongo au alkasusu?
Ahsante ndugu, mapigano yote ya mtume ilikuwa ni kujihami kutokana na vita alizokuwa akivamiwa, mtume hakuanzisha vita bali alikupovamiwa ndio alikuwa kijihamu. Mtume Muhammad (s.a.w) alipoteza meno manne kwenye Vita vya Uhud, baada ya kupigwa na shoka. Meno mawili yalidhaniwa yamepotea. Watu walimpinga kwasababu walikuwa wakiabudu masanamu na moto na wengine wakiabudu jua na mwezi, sasa yeye alikuja kutangaza MUNGU ni mmoja ndio ugomvi ukaanza hapo, ni sawa na leo mtu aje atangaze kwamba hakuna YESU, nadhani anaweza akapigwa.Mtume alikataliwa na karibia watu wote hata baba yake mdogo alipinga. Wengi tu kun hadithi zinasema alipigwa wakamtoa meno.
Kushushia maneno y mungu "wahayi" kuliendana sana na matukio. Hakukuw n sehem moja ya kupokea maneno ya mungu
Unaruhusiwa kuuliza nduguchaos be upon on him.
haya mengine ni maswali ya dhihaka ili tu kuonekana unachekesha mbele ya jamii ambayo kiuhalisia ni jamii ya kinadharia maana huioni.Ni kweli hakutahiriwa alikuwa govi? Na kama ni kweli kwa nini aliiga vyote akashindwa kuiga kutahiriwa? Au alikuwa anaogopa kitu chenye ncha kali?
Hapana, mtume hakuwafuga hao Buraq, ni viumbe wa MUNGU hutumika kama usafiri kwa manabii, bali alilweta kimiujiza na Mwenyezi MUNGU, na Mtume alimpanda mara moja tu wakati wa kwenda YerusalemuJe, mtume aliwafuga hao Buraq? Je, wanapatikana wapi siku hizi?
Hapana, hiyo ni sherehe za uzao wa Mtume Muhammad s.a.wInamaana hiyo ndio Xmas ya Waislam...?
Abu LahabNimeuliza maswali ma wili vp hilo la kwanza halijibiki?
Alikuwa na umri gani?sio khadija ni Aisha bint abubakar
Hapana si kweli,Nguruwe