BAKIIF Islamic
JF-Expert Member
- Jul 11, 2021
- 600
- 1,843
- Thread starter
- #101
Kitabu cha kwanza ni QUR'AN yenyewe, Wakati Mtume Muhammad alikufa, Quran ilikuwa imeandikwa kikamilifu. Haikuwa katika fomu ya kitabu, hata hivyo. Ilirekodiwa kwenye ngozi na vifaa tofauti tofauti, na nyingine ilikuwa imehifadhiwa kichwani na Masahaba wa Mtume.Swahili Muslims kuna chanzo chochote cha kihistoria kuhusu kuwepo kwa Muhammad rasul Allah, na kwamba aliishi na kufanya kama inavyoelezwa kwenye Quran, Sunnah na Sira? Angalau kilichoandikwa ndani ya miaka hata 50 baada ya uwepo wake, au kilichoandikwa na watu walioishi zama zake?
Nimejaribu kutafuta naona vingi vimeandikwa miaka mingi sana baadaye, angalau miaka 200 baadaye.
Ukinisaidia hii nitashukuru!
Ali Ibn Abi Talib huyu ni swahaba wa Mtume na aliandika vitabu vingi ikiwemo Nahjul Balagha, Al-Saheefah Al-Alawiyah , Nahj al-hikma wa ul-balagha na vingine vingi.