Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
-
- #61
Ukiuliza hivyo unatukanwa. Ila mwendo ule ule tu wakituambia tutoe simu tuchange tunawaambia hakuna networkNazani chadema walitakiwa kabla ya kuchangisha waseme rudhuku zimefanya kaz gan.
Siitemi mpaka muache kutuchangisha kilazima kwenye mikutano tunayohudhuria.Nimeshachanga, mwambie huyo boga mwenzio aiteme Chadema.
US wananchi wao wana uwezo na uchumi upo juu, sisi huku hali tete hatuna ajira hatuna pesa alafu mnataka tuchange! HATUCHANGIHaujalazimishwa hata US kuna michango kwenye siasa cha ajabu kipi. Unataka pesa zitoke serikalini kama wale waliojibinafsisha viwanja vya serikali?
Tunataka sana kusikiliza sera, tatizo ni hiyo michango tunayochangishwa kila siku, tena ni kama kwa lazima, utaskia haya toeni simu zenu, mara bonyeza *150*00# mara chagua 4 mara weka password, usanii tuHivi nyie kila siku ni michango tu kwani mko harusini au mkutanoni si mtoke tu[emoji1787][emoji23]
Sema huchangi!US wananchi wao wana uwezo na uchumi upo juu, sisi huku hali tete hatuna ajira hatuna pesa alafu mnataka tuchange! HATUCHANGI
Amen, Amen AmeeeeenUkiwa Ccm hata uwe na PhD unakuwa mpumbavu kama mwenyekiti
Ako na genye mshindoWewe kada wa CCM ya CDM yanakuhusu nini?Mgombea wenu hana jipya,mambo ni yale yale ya flyover na madaraja!!!!
Ya ccm hayanihusu, kikubwa viongozi waache kutuchangisha pesaWewe kada wa CCM ya CDM yanakuhusu nini?Mgombea wenu hana jipya,mambo ni yale yale ya flyover na madaraja!!!!
Ndio hatuna ajira kwa hiyo hata pesa za kuchanga pia hatuna, nailaumu serikali ya ccm na ndio maana nipo kusikiliza sera mbadalaSema huchangi!
Kama huna ajira basi ilaumu serikali ya ccm!
Mimi nimeshachangia CDM mara nyingi sana na nitaendelea kufanya hivyo kadri ya uwezo utakavyoruhusu!Kama hutaki kuchangia acha,wengine tutachangia!Ila usiwe mdomo wa wengine kwa masuala binafsi!Ya ccm hayanihusu, kikubwa viongozi waache kutuchangisha pesa
Sema hauna na sio hatuna,wenye nazo watachangia!Wewe kausha tu na pambana na hali yako!Ndio hatuna ajira kwa hiyo hata pesa za kuchanga pia hatuna, nailaumu serikali ya ccm na ndio maana nipo kusikiliza sera mbadala
USA kuna wanyonge?? Uchumi wa USA unataka fananisha na huku afrika??Obama alikuwa rais kwa msaada wa michango midogomidogo toka kwa wanyonge.
Sawa Unaambiwa lakini kwenye kuchangia bado inabaki ni hiyari ya MTU.Ila kwa mpenda maendeleo ya kweli atachangia tuSasa kama hatujalazimishwa kwa nn kila mkutano mnatuambia tutoe simu zetu alafu tubonyeze *150*00#???
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
Sawa Unaambiwa lakini kwenye kuchangia bado inabaki ni hiyari ya MTU.Ila kwa mpenda maendeleo ya kweli atachangia tu
You are completely out of sense....u deserve to be ignoredMkutano umeisha muda mfupi uliopita baada ya mgombea wetu kueleza sera zake.
Leo ameyameza maneno yake ya jana na hivyo ametueleza sera zake ni nzuri ila kuna sehemu anarudiarudia sana.
Kilichonisikitisha ni kuwa bado jambo lile la jana limejitokeza na leo kwa kuchangishwa michango ila leo aliyesema tutoe simu na kuchanga ni John Mrema, na sijui ni nani aliwaambia tunaokuja kwenye mkutano tuna namba za Voda tu.
Hatujachanga, kwa sauti ya unyonge sana tumesingizia tena network.
Watu ni wachache sana ila tukutane kesho Segerea.
Achana na habari ya mbowe hapa tunaongelea cdm. Kuendesha kampeni si gharama ndogo eti;!! Hugo mbowe mwenyewe ni kama kafilisiwaKuwachangia matajiri ni kupenda maendeleo au kukandamizana? Hivi unafikiri mbowe ni masikini?