Tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali

Gari siyo kama wewe unavyomiliki wanaume watatu wanne wanakuhudumka. Huko walikotengeneza magari bado huwa wanalalamika mafuta yakipanda. Wewe tu choko unategemea wanaume wakubemende unaona una pesa? Sisi tunaokuhudumia ndo tunajua haya mambo yakoje.... Wewe tegesha tu kama golikipa.😁😁😁😁😁
 
Mkuu ka tukipata nafasi tunachomekea tu hilo jina.😁

Hivi Nigeria siwanauza mafuta? Hadi EU wanataka wakayabebe kumkomoa Putin,,,Urusi bei ipo chini kabisa wachina na wahindi wanachangamkia tenda huko serikali ilitakiwa iwe na maghala yakuhifadhia mafuta inapotokea mambo kama haya wangenunua mengi sasa kila kitu kinaenda kupanda mara dufu!
 
Acha upopoma huyo Sa100 anajua kila kitu kinachoendelea nchini mana yupo kwenye mitandao yote ya kijamii..pia ana ndugu wa hali ya chini.

Ni ujinga kudhani eti raisi anadanganywa hali halisi ya maisha nchini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Gari siyo hitaji la lazima. Kwahiyo, Kama hawezi kumudu gari basi.

Kelele mitandaoni Ni trash.

Kama vipi anzisheni chama Cha wamiliki wa magari ya kutembelea Kiwe kinawasemea.

Akili yako ipo sawa?? Mafuta yakipanda bei unajua impact yake kwenye uchumi?? Kupanda kwa bei ya mafuta haimuathir mwenye gari tu hadi wewe inakuathiri. Wake up
 
Akili yako ipo sawa?? Mafuta yakipanda bei unajua impact yake kwenye uchumi?? Kupanda kwa bei ya mafuta haimuathir mwenye gari tu hadi wewe inakuathiri. Wake up
Kwamba mafuta yamepandishwa Bei na serikali???
 
Kwamba mafuta yamepandishwa Bei na serikali???

Mkuu sijasema serikal imepandisha bei ila point ni kwamba kila kitu kitapanda bei ili kucover transport cost. Na serikali ilibd kipindi hiki itoe kodi zote ili kushusha bei ya mafuta hii ingesaidia kidogo.
 
Kwa hili suala tukilikalia kimya ni janga la taifa serekali ipo kwa ajili ya genge la watu Fulani sio kwa ajili ya wananchi kunasababu gani kukumbatia Kodi zisizo na tija maisha yamekua magumu sana kwa kila kitu Sasa imefika wakati watanzania tuamke tuondoe hili genge la wahuni kwa hili mama umeningusha sana nimekaa tamaa na utawala wako

Watanzania Kuna haja ya kufanya jambo hawa waliopo juu si watu ni majini manyonya damu kabisa wameona hata aibu kutangaza kweli 350 tunaelekea wapi wametufanya kua waogo hata kuchukua maamuzi
 
Akili huna kabisa. Kwa hiyo unafikiria wanaoumia ni wenye magari tu. Siku utaponunua kilo ya mchele Kwa 5000 ndio akili itakukaa sawa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sijasema serikal imepandisha bei ila point ni kwamba kila kitu kitapanda bei ili kucover transport cost. Na serikali ilibd kipindi hiki itoe kodi zote ili kushusha bei ya mafuta hii ingesaidia kidogo.
Serikali ikishatoa Kodi zote maana yake budget iliyokuwa funded na hizo Kodi itabidi zitoke wapi?
 
Akili huna kabisa. Kwa hiyo unafikiria wanaoumia ni wenye magari tu. Siku utaponunua kilo ya mchele Kwa 5000 ndio akili itakukaa sawa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ninunue wapi wakati Mimi nalima.

Rudi shamba ukalime, kuliko kukomalia mjini halafu unalia Lia Kama chizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…