KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Hamkani si shwari tena. No longer at ease.AMKENI SI SHWARI TENA!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamkani si shwari tena. No longer at ease.AMKENI SI SHWARI TENA!
Wabongo wengi Uchumi wenu bado wa kichoko. Hamna uwezo wa Kumiliki magari hata hayo used from Japan.
Tumechoka na VILIO UCHWARA kila siku mitandaoni utafikiri Magari Ni BASIC NEED usipokuwa nalo utakufa.
Huna uwezo wa KUMILIKI GARI basi, achana nalo.
Eti sukuma geng!!!! Sasa hapo sukuma geng imeingiaje!?? Kwenye mazuri yote mama anaifungua nchi kwenye mabaya eti anashauriwa na sukuma geng[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikuambie tu kitu kimoja,ngoja watu hangover za iddi ziishe waje wale chawa wa mama wakuite na wewe ni sukuma geng sababu tuu umeandika mambi ambayo rais hapendi kuyasikia. Ndo ujue sukuma gang ni nini.
Ila haujalalamikiwa wewe mkuu sasa unachokaje na malalamiko yasioelekezwa kwako?Gari siyo hitaji la lazima. Kwahiyo, Kama hawezi kumudu gari basi.
Kelele mitandaoni Ni trash.
Kama vipi anzisheni chama Cha wamiliki wa magari ya kutembelea Kiwe kinawasemea.
Is HAMKANI same as AMKENI? What I meant was AMKENI meaning “WAKE UP”!Hamkani si shwari tena. No longer at ease.
Wamemlalamikia Nani?Ila haujalalamikiwa wewe mkuu sasa unachokaje na malalamiko yasioelekezwa kwako?
Acha upopoma huyo Sa100 anajua kila kitu kinachoendelea nchini mana yupo kwenye mitandao yote ya kijamii..pia ana ndugu wa hali ya chini.Hali ya Maisha inazidi kuwa ngumu. Why jamani, why? Kila siku watu wakiamka afadhali na jana. Serikali yetu kwa sasa haijielewi kabisa. Haieleweki kuna watu wanampotosha Rais.
Kuna watu wanamshauri vibaya makusudi. Wanamshauri vibaya nchi ionekane imemshinda. Maisha haya hatukutegemea. Kila kitu kimepanda bei upandaji bei wa Petrol wa safari hii ni wa kishetani. Haya yote yanafanyika watu hata hawamwambii Rais.
Wamechukulia Ubusy wa Rais vibaya. Wanaamua kukomoa wananchi. Nchi imekuwa ngumu maradufu. Hakuna anayewatetea wananchi wasio na uwezo.
Mafuta yanapanda kwa tsh 300 nzima? Tunaenda wapi ndugu Watanzania? Ni wapi tunakwenda? Hawa watu wanaofanya hizi biashara watatuumiza mpaka lini?
Rais jamani aambiwe maana najua wanamficha hii michezo yao michafu. Wanapandishia humo humo kwa kisingizio cha soko la Dunia. Tunajua hii mipango hasa ikiratibiwa na watu ambao awamu iliyopita walikuwa wanapora maeneo na kuanzisha vituo vya mafuta.
Tunajua watu ambao wamerudishwa kwa ajili ya kuja kumalizia ngwe nyingine ya upigaji. Jamani mkila na kipofu msimshike mkono.
Watu wanakula mpaka wanavuka urefu wa kamba zao. Na haya yote Mhe Rais haambiwi. Na watu wanamshauri vibaya sana. Wanamshauri kwa nia ya kumwaribia.
Ionekane nchi imeshamshinda. Kila kitu kinaenda kiholela holela. Hadi Panya road wanafunga mitaa polisi wamejazana barabarani wakisidiana na traffic. Kwa sasa traffics wamekuwa wengi kuliko askari wa kulinda usalama wa raia .
Kwa kweli kwa hali hii tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali utosini.
Gari siyo hitaji la lazima. Kwahiyo, Kama hawezi kumudu gari basi.
Kelele mitandaoni Ni trash.
Kama vipi anzisheni chama Cha wamiliki wa magari ya kutembelea Kiwe kinawasemea.
Kwamba mafuta yamepandishwa Bei na serikali???Akili yako ipo sawa?? Mafuta yakipanda bei unajua impact yake kwenye uchumi?? Kupanda kwa bei ya mafuta haimuathir mwenye gari tu hadi wewe inakuathiri. Wake up
Yes kwa kuwa kwenye soko la dunia yameshukaKwamba mafuta yamepandishwa Bei na serikali???
Leta ushahidiYes kwa kuwa kwenye soko la dunia yameshuka
Uzi umepeleka lawama kwa wanaomshauri rais.Wamemlalamikia Nani?
Kwamba mafuta yamepandishwa Bei na serikali???
Akili huna kabisa. Kwa hiyo unafikiria wanaoumia ni wenye magari tu. Siku utaponunua kilo ya mchele Kwa 5000 ndio akili itakukaa sawaWabongo wengi Uchumi wenu bado wa kichoko. Hamna uwezo wa Kumiliki magari hata hayo used from Japan.
Tumechoka na VILIO UCHWARA kila siku mitandaoni utafikiri Magari Ni BASIC NEED usipokuwa nalo utakufa.
Huna uwezo wa KUMILIKI GARI basi, achana nalo.
Serikali ikishatoa Kodi zote maana yake budget iliyokuwa funded na hizo Kodi itabidi zitoke wapi?Mkuu sijasema serikal imepandisha bei ila point ni kwamba kila kitu kitapanda bei ili kucover transport cost. Na serikali ilibd kipindi hiki itoe kodi zote ili kushusha bei ya mafuta hii ingesaidia kidogo.
Ninunue wapi wakati Mimi nalima.Akili huna kabisa. Kwa hiyo unafikiria wanaoumia ni wenye magari tu. Siku utaponunua kilo ya mchele Kwa 5000 ndio akili itakukaa sawa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app