Tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali

Watanzania ni wajinga na wapumbafu. Hakuna jema utakalo lifanya likakosa kasoro. Mama tena akaze uzi zaidi maisha yazidi kuwa magumu zaidi watu wafeeee na chanjo ije watu walazimishwe kuchoma wafe wengi kabisa.
 
Pole. Na kazi iendelee!!!
 
Hayo magari yanayosafirisha bidhaa na abiria yanatumia maji, au unataka watu waanze kutembea kwa miguu kwenda makazini na kusafirisha bidhaa kwa kubeba kichwani, akili yako ndogo sana...
 
Kwa nn kwenye jambo baya tunasema kashauriwa vibaya, Ila Jambo zuri tunasema anaupiga mwingi? Kwa nn pia tusiseme kashauriwa vizuri?
Jambo gani zuri amefanya?. Sinema ya tour? Sijaona
 
Hayo magari yanayosafirisha bidhaa na abiria yanatumia maji, au unataka watu waanze kutembea kwa miguu kwenda makazini na kusafirisha bidhaa kwa kubeba kichwani, akili yako ndogo sana...
Tanzania tunaishi dunia ya peke yake. Inatakiwa kuwe na Viongozi wenye uwezo wa kutenda MIUJIZA



 
Hii kitu inakuja kumuathiri mtu wa mwisho sio wkt mwingine uwe na gari...logically nauli za daladala zitapanda, nauli za mabasi zitapanda, kusafirisha mizigo kama chakula, mahindi, maharage nk gharama zitapanda, yule mfanya biashara pia akileta huo mzigo sokoni jumla atapandisha, mnunuzi wa genge nae atapandisha, mraji wa mwisho ndio anauumia!! Hivyo usitizmae ktk angle moja ya umiliki wa magari, saruji, nondo na vifaa vyote vinapanda nani wa kufidia mwenzake? Assume mzigo kwenda mbeya saruji mtu alikuwa anatumia lita 240..sasa atatumia lita 350...hilo ongezeko la lita 90...ndio linaleta balaaa kwa mraji wa mwisho.
 
Reactions: Cyb
Twende kwa Mwamposa au MC PILIPILI afanye MIUJIZA



 
Kwahiyo huko kwenye mafuta tukachukue bure!!!
 
Tupeni bei ya Petroli Na diesel huko Zanzibar tuone.
 
Hali ni ngumu Dunia nzima tusitafute pa kujifichia
 
Ili ni janga la dunia,arafu maisha Sasa hapa Tanzania watu wengi wanalia kinafiki nmeona kwenye sikukuu hi ya idi watu wamekula wamekunywa. Vivyo hivyo ilivyokuwa pasaka .pia hapa tz Kuna migaawa ya gharama watu hawajawahi kukoma kwenda kula pale na ndo aho aho wanapiga kelele hapa jukwaani sisi tuliozoea maisha haya haya Wala hatulalamiki kwasababu tunajua hali ya mazingira yetu.
Na maisha siku zoote yanapanda na kushuka tukubali tuu.
Sioni kama Raisi anafurahia haya maisha tunayoishi ila juhudi zake ndo izo anazozionyesha Kama atapata masahisho mapema tutapata nafuu hasipopata bhasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…