Tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali

Usiandike gazeti refu Sana afu pumba tupu unaweza hamia sehemu yeyote Duniani yenye maisha rahisi au nafuu.
 

Ko matumizi ya mafuta ni kwa magari tuu. Hujui hata bei ya mafuta ya taa imepanda pia.
 
Yani huwa nafurahi Sana. Gari ni anasa? Sawa nakubali. Bei za vyakula zikipanda nazo, mtasema kula Milo mitatu ni anasa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†, inafurahisha. the length of which people would go to defend the incompetence of their puppeteers is astonishing. Nataka nione tu, mwisho wa siku itakuwaje..
 
Tunaomiliki bodaboda, majenereta, mashine za kusaga na kukoboa zinazotumia mafuta, na water pump tunacomment wapi?
 
Hili limama liondoke. Linatia laana nchi yetu.
 
Gari siyo hitaji la lazima. Kwahiyo, Kama hawezi kumudu gari basi.

Kelele mitandaoni Ni trash.

Kama vipi anzisheni chama Cha wamiliki wa magari ya kutembelea Kiwe kinawasemea.
Umeongea kama phaller flan hiv mjinga wewe
 

 
Kwa wanaojua kimombo na Kirusi
Your browser is not able to display this video.
 
Swala hapa sio kumiliki Gari, ila usafiri Ata asie na Gari Ata tumia tuu.

Wanalalamika kwaakuwa kupanda kwa bei ya mafuta Ina hathiri moja kwa moja gharama za maisha ya mtanzania, Nauli lazima zita panda bidhaa nazo lazima zipande

Mambo mengine Yana HITAJI akili kidogo Sana kuelewa kama hivyo
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kumbe kichwani upo wazi kihivyo!
 
Usiwe mpumbavu watu kama nyie mnakera sana. Mafuta hayawahusu watu wenye magari tu, Mafuta ndio kiungo Cha Bidhaa karibu zote Nchini. Mafuta yakipanda Bei hata Vyakula vinapanda Bei, Nauli zinapanda Bei, Umeme nakadhalika. Kwahiyo usifikirie watakao umia ni wenye magari tu. Mwambieni mama enu na safu yote ya Wizara ya Fedha wanahujumu Taifa na watu hawatokaa wakae kimya

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…