Akili yako kisude kweli bro, mafuta yakipanda bro hayapigi wenye magari tu yanapandisha kila kitu kwenye soko, gharama za usafirishaji zinapanda na gharama za uzalishaji pia zinapanda kwaio madhara yake inapandisha bei ya kila kitu
aisee nimemshangaa sana...kichwa yake ipo tupu sana
Umeshindwa kujibu swali? Nafahamu ni gumu sana kwako, kwa sababu unajitilia shaka kama ukristo wako ni ukweli.Na wewe Muislam wa Dhehebu lipi? Kuna Moja Wanavaa Nusu Nguo, nafkiri ww ndio utakua Kiongozi wao
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwi kwi kwi teh teh teh, unegjuwa ku google japo kiduchu ungejione dini inayokuwa kwa kasi zaidi duniani ni ipi.Ndo maana unaongea pumba Basi! Walikuepo wa namna yako wakafundishwa adabu wakatulia! Taasisi ya Ukristo ndio inayokuamulia Uishi Kwa Namna Gani! Na Nini Ufanye na kwa wakati gani! Wenzako walikua viburi zaidi Yako Leo Hii wametulia kama Urojo.. Fanya yote Ila Mwisho wa Siku utatudujudia tu.
Yeye anayeshauriwa vibaya hana ubongo wa kufanya king'amuzi?Kuna watu wanamshauri vibaya makusudi. Wanamshauri vibaya nchi ionekane imemshinda. Maisha haya hatukutegemea. Kila kitu kimepanda bei upandaji bei wa Petrol wa safari hii ni wa kishetani. Haya yote yanafanyika watu hata hawamwambii Rais.
Omba Mungu akupe akili,kwa Sasa hunaKwa hiyo wewe kila kitu wewe ni mpaka uambiwe na CAG? Uzinduzi wa Royal Tour kule Marekani ulipewa taarifa na CAG?
Kupanda kwa mafuta unazani ni kilio kwa wenye magari tu?Wabongo wengi Uchumi wenu bado wa kichoko. Hamna uwezo wa Kumiliki magari hata hayo used from Japan.
Tumechoka na VILIO UCHWARA kila siku mitandaoni utafikiri Magari Ni BASIC NEED usipokuwa nalo utakufa.
Huna uwezo wa KUMILIKI GARI basi, achana nalo.
Mama kajisemea ukweli, inabidi alipe madeni aliyoachiwa na miradi kwa kuwa ni mikubwa sana kuliko uwezo inabidi iokolewe isife.
Sasa hebu fikiri kidogo, mtu anakopa kujenga reli anakwenda kujenga eyapoti kwao. Anakopa kujenga bwawa la kufulia umeme anakwenda kujenga daraja kubwa kwao kwa kuwa tu hawezi kupanda ndege mara kwa mara.
Hivi yote hayo hamuyaelewi kuwa ndiyo yanayoleta madhara leo hii? Mama kakuta hesabu za fedha hakuna kitu zaidi ya madeni.
aeleze nini na hakuna anachoelewa?? yani yeye waziri akimletea proposal ya bei inaonekana hata haoji akija kwetu ni story ya vita ya ukraine tu hana kingine.
Hiyo ya jana 05/05/2022Ya lini hii
gari kwa sasa siyo anasa ni necesity.gari humsaidia binadamu kwa mambo mengi katika maisha ya sasa hivyo ni lazima serikali iingilie kati swala la upandaji holela wa bei ya mafuta.kwaiyo mkuu gari sio hitaji?
sio kila anayetumia gari ni anasa
Wewe si unajua Akili anayo Shemeji yako anaekufanya ushikilie remote hapo kwake? Angalia usije kuolewa na wewe kama Dada yako... Soma hii story hapa chini, bado unahitaji CAG aje akwambie??? Unadhani PM anaibuka tu hivihivi kama wewe ukishakula ubwabwa wa Shemeji yako hapo?Omba Mungu akupe akili,kwa Sasa huna
Ulisahau sidiria yako chumbani kwangu, uje uifateWewe si unajua Akili anayo Shemeji yako anaekufanya ushikilie remote hapo kwake? Angalia usije kuolewa na wewe kama Dada yako... Soma hii story hapa chini, bado unahitaji CAG aje akwambie??? Unadhani PM anaibuka tu hivihivi kama wewe ukishakula ubwabwa wa Shemeji yako hapo?
View attachment 2213962
Mi Mpemba.....Si Unajua Shughuli zetu....Mtoto Mzuri kama wewe nakufumua tu Marinda...Sina huruma...Bikira Bado unayo nikufuate PM??? Naona shemeji yako anakulea vibaya...Ulisahau sidiria yako chumbani kwangu, uje uifate
Sasa si naye amwage mboga alete katiba mpya alafu akapumzike kwao kibandamaitiHali ya Maisha inazidi kuwa ngumu. Why jamani, why? Kila siku watu wakiamka afadhali na jana. Serikali yetu kwa sasa haijielewi kabisa. Haieleweki kuna watu wanampotosha Rais.
Kuna watu wanamshauri vibaya makusudi. Wanamshauri vibaya nchi ionekane imemshinda. Maisha haya hatukutegemea. Kila kitu kimepanda bei upandaji bei wa Petrol wa safari hii ni wa kishetani. Haya yote yanafanyika watu hata hawamwambii Rais.
Wamechukulia Ubusy wa Rais vibaya. Wanaamua kukomoa wananchi. Nchi imekuwa ngumu maradufu. Hakuna anayewatetea wananchi wasio na uwezo.
Mafuta yanapanda kwa tsh 300 nzima? Tunaenda wapi ndugu Watanzania? Ni wapi tunakwenda? Hawa watu wanaofanya hizi biashara watatuumiza mpaka lini?
Rais jamani aambiwe maana najua wanamficha hii michezo yao michafu. Wanapandishia humo humo kwa kisingizio cha soko la Dunia. Tunajua hii mipango hasa ikiratibiwa na watu ambao awamu iliyopita walikuwa wanapora maeneo na kuanzisha vituo vya mafuta.
Tunajua watu ambao wamerudishwa kwa ajili ya kuja kumalizia ngwe nyingine ya upigaji. Jamani mkila na kipofu msimshike mkono.
Watu wanakula mpaka wanavuka urefu wa kamba zao. Na haya yote Mhe Rais haambiwi. Na watu wanamshauri vibaya sana. Wanamshauri kwa nia ya kumwaribia.
Ionekane nchi imeshamshinda. Kila kitu kinaenda kiholela holela. Hadi Panya road wanafunga mitaa polisi wamejazana barabarani wakisidiana na traffic. Kwa sasa traffics wamekuwa wengi kuliko askari wa kulinda usalama wa raia .
Kwa kweli kwa hali hii tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali utosini.
Unaliwa rivasi?Mi Mpemba.....Si Unajua Shughuli zetu....Mtoto Mzuri kama wewe nakufumua tu Marinda...Sina huruma...Bikira Bado unayo nikufuate PM??? Naona shemeji yako anakulea vibaya...
Kidigo itakuwa inatamkwa hivyo!Is HAMKANI same as AMKENI? What I meant was AMKENI meaning “WAKE UP”!