Tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali

Tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali

Akili yako kisude kweli bro, mafuta yakipanda bro hayapigi wenye magari tu yanapandisha kila kitu kwenye soko, gharama za usafirishaji zinapanda na gharama za uzalishaji pia zinapanda kwaio madhara yake inapandisha bei ya kila kitu

IMG_2971zg.jpg
 
Na wewe Muislam wa Dhehebu lipi? Kuna Moja Wanavaa Nusu Nguo, nafkiri ww ndio utakua Kiongozi wao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umeshindwa kujibu swali? Nafahamu ni gumu sana kwako, kwa sababu unajitilia shaka kama ukristo wako ni ukweli.

Mimi ni Muislam wa dhehebu La Imam wangu Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam.
 
Ndo maana unaongea pumba Basi! Walikuepo wa namna yako wakafundishwa adabu wakatulia! Taasisi ya Ukristo ndio inayokuamulia Uishi Kwa Namna Gani! Na Nini Ufanye na kwa wakati gani! Wenzako walikua viburi zaidi Yako Leo Hii wametulia kama Urojo.. Fanya yote Ila Mwisho wa Siku utatudujudia tu.
Kwi kwi kwi teh teh teh, unegjuwa ku google japo kiduchu ungejione dini inayokuwa kwa kasi zaidi duniani ni ipi.

Wewe ni Mkristo wa dhehebu lile la Vatikano? Nikupe ujumbe wako.
 
Kuna watu wanamshauri vibaya makusudi. Wanamshauri vibaya nchi ionekane imemshinda. Maisha haya hatukutegemea. Kila kitu kimepanda bei upandaji bei wa Petrol wa safari hii ni wa kishetani. Haya yote yanafanyika watu hata hawamwambii Rais.
Yeye anayeshauriwa vibaya hana ubongo wa kufanya king'amuzi?
 
Wabongo wengi Uchumi wenu bado wa kichoko. Hamna uwezo wa Kumiliki magari hata hayo used from Japan.

Tumechoka na VILIO UCHWARA kila siku mitandaoni utafikiri Magari Ni BASIC NEED usipokuwa nalo utakufa.

Huna uwezo wa KUMILIKI GARI basi, achana nalo.
Kupanda kwa mafuta unazani ni kilio kwa wenye magari tu?
Vipi kuhusu biashara unazani bei za vitu zitabaki vile vile ?
Wakulima je kusafirisha mazao kuja masokoni unazanbwana tumia mikokoteni?
Nauli kutoka sehm moja kwenda nyingne unazan zitabak vile vile
Embu acha huo UZUZU wewe
 
Lakini na wewe ulikuwa mfuasi wake.
Au ndo mambo ya yesu na petro
Mama kajisemea ukweli, inabidi alipe madeni aliyoachiwa na miradi kwa kuwa ni mikubwa sana kuliko uwezo inabidi iokolewe isife.


Sasa hebu fikiri kidogo, mtu anakopa kujenga reli anakwenda kujenga eyapoti kwao. Anakopa kujenga bwawa la kufulia umeme anakwenda kujenga daraja kubwa kwao kwa kuwa tu hawezi kupanda ndege mara kwa mara.

Hivi yote hayo hamuyaelewi kuwa ndiyo yanayoleta madhara leo hii? Mama kakuta hesabu za fedha hakuna kitu zaidi ya madeni.
 
hajui kuleta TUMAINI.
Ni Kama ameshashindwa na kukubali liwalo na liwe.
aeleze nini na hakuna anachoelewa?? yani yeye waziri akimletea proposal ya bei inaonekana hata haoji akija kwetu ni story ya vita ya ukraine tu hana kingine.
 
kwaiyo mkuu gari sio hitaji?

sio kila anayetumia gari ni anasa
gari kwa sasa siyo anasa ni necesity.gari humsaidia binadamu kwa mambo mengi katika maisha ya sasa hivyo ni lazima serikali iingilie kati swala la upandaji holela wa bei ya mafuta.
 
Omba Mungu akupe akili,kwa Sasa huna
Wewe si unajua Akili anayo Shemeji yako anaekufanya ushikilie remote hapo kwake? Angalia usije kuolewa na wewe kama Dada yako... Soma hii story hapa chini, bado unahitaji CAG aje akwambie??? Unadhani PM anaibuka tu hivihivi kama wewe ukishakula ubwabwa wa Shemeji yako hapo?

1651840369962.png
 
Wewe si unajua Akili anayo Shemeji yako anaekufanya ushikilie remote hapo kwake? Angalia usije kuolewa na wewe kama Dada yako... Soma hii story hapa chini, bado unahitaji CAG aje akwambie??? Unadhani PM anaibuka tu hivihivi kama wewe ukishakula ubwabwa wa Shemeji yako hapo?

View attachment 2213962
Ulisahau sidiria yako chumbani kwangu, uje uifate
 
Ulisahau sidiria yako chumbani kwangu, uje uifate
Mi Mpemba.....Si Unajua Shughuli zetu....Mtoto Mzuri kama wewe nakufumua tu Marinda...Sina huruma...Bikira Bado unayo nikufuate PM??? Naona shemeji yako anakulea vibaya...
 
Hali ya Maisha inazidi kuwa ngumu. Why jamani, why? Kila siku watu wakiamka afadhali na jana. Serikali yetu kwa sasa haijielewi kabisa. Haieleweki kuna watu wanampotosha Rais.

Kuna watu wanamshauri vibaya makusudi. Wanamshauri vibaya nchi ionekane imemshinda. Maisha haya hatukutegemea. Kila kitu kimepanda bei upandaji bei wa Petrol wa safari hii ni wa kishetani. Haya yote yanafanyika watu hata hawamwambii Rais.

Wamechukulia Ubusy wa Rais vibaya. Wanaamua kukomoa wananchi. Nchi imekuwa ngumu maradufu. Hakuna anayewatetea wananchi wasio na uwezo.

Mafuta yanapanda kwa tsh 300 nzima? Tunaenda wapi ndugu Watanzania? Ni wapi tunakwenda? Hawa watu wanaofanya hizi biashara watatuumiza mpaka lini?

Rais jamani aambiwe maana najua wanamficha hii michezo yao michafu. Wanapandishia humo humo kwa kisingizio cha soko la Dunia. Tunajua hii mipango hasa ikiratibiwa na watu ambao awamu iliyopita walikuwa wanapora maeneo na kuanzisha vituo vya mafuta.

Tunajua watu ambao wamerudishwa kwa ajili ya kuja kumalizia ngwe nyingine ya upigaji. Jamani mkila na kipofu msimshike mkono.

Watu wanakula mpaka wanavuka urefu wa kamba zao. Na haya yote Mhe Rais haambiwi. Na watu wanamshauri vibaya sana. Wanamshauri kwa nia ya kumwaribia.

Ionekane nchi imeshamshinda. Kila kitu kinaenda kiholela holela. Hadi Panya road wanafunga mitaa polisi wamejazana barabarani wakisidiana na traffic. Kwa sasa traffics wamekuwa wengi kuliko askari wa kulinda usalama wa raia .

Kwa kweli kwa hali hii tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali utosini.
Sasa si naye amwage mboga alete katiba mpya alafu akapumzike kwao kibandamaiti
 
Mi Mpemba.....Si Unajua Shughuli zetu....Mtoto Mzuri kama wewe nakufumua tu Marinda...Sina huruma...Bikira Bado unayo nikufuate PM??? Naona shemeji yako anakulea vibaya...
Unaliwa rivasi?
 
Hivi kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM wameona hili ongezeko la Bei ya mafuta?
Hiki chombo sikisikii siku hizi au hakipo?
 
Back
Top Bottom