Kyenyabasa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 247
- 715
Kaka Lema hii ngoma unayopiga imefika mpaka Ndani walipofugia misukule (wtz) endelea kuipiga hiyo ngoma kwa ustadi zaidi ili wafuga misukule (viongozi waovu) waamke na kutubu.
Haiwezekani tufikirishwe vitu vidogo vidogo.
Haiwezekani eti bodaboda ni ajira wakati hainihakikishii maisha marefu na mazuri baada ya kuacha kuifanya.
Haiwezekani Vikoba ikawa njia ya kumkwamua mtu, akina mama wananuka madeni, unampaje mtu kamkopo ka kununulia chupi alafu akienda kukafanyia biashara nayo anakutana na soko lisilotabirika anaishia kukonda kwa madeni na umaskini.
Haiwezekani mwl, Askari na wengine wengi walipwe Tsh 400,000.
Haiwezekani akina mama wajifungulie chini halafu tuchekelee.
Haiwezekani wagonjwa watukanwe kama mbwa halafu tumuone Lema mbaya.
Haiwezekani mafisadi yajilipe mamilion ya fedha kwenye tenda alafu tukae kimya.
Haiwezekani Rais atembeee na msafara wa magari 200 halafu hakuna kinachobadilika.
Haiwezekani kivuli cha rais kifunike kila mahali nchi hii, tunahitaji mamlaka yetu wananchi, hatutaki Ma DC, RC, RAS na Ma DAS ni ujinga mtupu tunahitaji viongozi watoke baina yetu.
Wafuga misukule endelea kufukiza dawa misukule isitoke nje, ikitoka mmekwisha.
Lema Kaka umekuja na upako mzito ebu endelea kuuelewesha umma hata kwa gharama ya kukosa kura.