Jamaa anadhani walimu kwa mfano wakilipwa milioni 5 ndo maisha yatakaa sawa,, uchumi una mambo yake,, ukilipa kima cha chini milioni 5,, elewa sokoni watu wataenda na matoroli ya hela kufanya shopping,,
Fungu la nyanya tatu utanunua 20,000,
Kwenye uchumi lazima pawepo na balancing act,, huwezi kupandisha mishahara for the sake of kupandisha mishahara, kwani gharama automatically zitapanda, kwani cost of production ita skyrocket, na hivyo quality ya maisha itazidi kudidimia,
Kwasababu, unapoongeza mishahara, cost za uzalishaji zinakua juu kwa waajiri, so wao hawafanyi biashara ya huduma, wanataka faida, so watapandisha bei vitu, mfano mbolea, sukari, kiufupi kila kitu kitapanda bei, hivyo hela bado haitatosha na sasa watu watataka kima cha chini kiwe bilioni moja,, bado mzunguko utarudi palepale, HAZITATOSHA😂😂🙆