Tumefanywa Misukule muda mrefu. Lema tukomboe

Tumefanywa Misukule muda mrefu. Lema tukomboe

Mwamko haupo kuanzia walipa kodi na wakusanya kodi,, mfano binafsi mimi nakwepa sana kodi,
Watanzania karibu wote hatupendi kodi, mizigo inaandikiwa risit za thamani ndogo, makampuni yanadeclare mapato kidogo kuliko uhalisia,
Mamilioni ya watu wanakwepa kodi, hakuna maadili,
Kwanini unakwepa Kodi!?
 
Lema ni limbukeni.

Lema anatumika na mabepari wa kibeberu, kuendeleza yale yaliyopo kwenye ilani ya SPG[Society for the Propagation of the Gospel] ambayo ni mkono wa muungano wa mabeberu wanaoamini Afrika inahitaji kuwa ya kitumwa, kutawaliwa,ili kupata maendeleo. Yaani kazi kwa mjeledi na imani, maadili na desturi ngeni.

Lema amekuwa akiwadanganya Wananchi kwa takwimu za kupikwa kutoka nchi anazozitaja na kufanya ulinganishi wa Uchumi, Jamii na Siasa.

Lema amewatukana na kuwakejeli wananchi, amedhihaki Dola. Lema anachachafya Jamii igeuke na kufanya machafuko ndani ya nchi alimradai CHADEMA wanachukua dola aidha kwa kura(ambayo hawachaguliki) au kwa kuleta taharuki na hatimae vurugu kwa kudai wameibiwa kura..

Lema ni hatari kwa Usalama wa Taifa, kwani uchonganishi wake, ni wa Visasi, ati kwa sababu wananchi, bodaboda, wachuuzi hawakuingia barabarani wakati wao wakienda jela kwa makosa na mazingira waliyoya tengeneza. Makosa yao binafsi. Unawezaje kutaka wananchi wavunje sheria za nchi ili waje mahabusu kukutoa?

Lema ndie atakae kuja kuhalalisha matusi Jukwaani na hivyo basi kudumaza na hatimae kutelekeza Siasa safi Nchini. Karibu.
 
Jamaa anadhani walimu kwa mfano wakilipwa milioni 5 ndo maisha yatakaa sawa,, uchumi una mambo yake,, ukilipa kima cha chini milioni 5,, elewa sokoni watu wataenda na matoroli ya hela kufanya shopping,,
Fungu la nyanya tatu utanunua 20,000,
Kwenye uchumi lazima pawepo na balancing act,, huwezi kupandisha mishahara for the sake of kupandisha mishahara, kwani gharama automatically zitapanda, kwani cost of production ita skyrocket, na hivyo quality ya maisha itazidi kudidimia,
Kwasababu, unapoongeza mishahara, cost za uzalishaji zinakua juu kwa waajiri, so wao hawafanyi biashara ya huduma, wanataka faida, so watapandisha bei vitu, mfano mbolea, sukari, kiufupi kila kitu kitapanda bei, hivyo hela bado haitatosha na sasa watu watataka kima cha chini kiwe bilioni moja,, bado mzunguko utarudi palepale, HAZITATOSHA😂😂🙆
Suala siyo wewe kutetea kwamba hazitotosha.Waachie wenyewe walipwe.Unawatoleaje matokeo bila kupitia hali?
 
walimu wanalipwa 800,000/-

Hakuna mshara chini ya laki sita, wewe unaongelea 1990 huko
Fafanua vizuri 2004 dada Angu aliaza na mshahara 40000 idara msingi kwasasa anapokea basic 900000 na zaidi ,unamzungumzia yupi ,huyo mwl ,na ameajiliwa lini na idara ipi kati ya msingi na secondar
 
Fafanua vizuri 2004 dada Angu aliaza na mshahara 40000 idara msingi kwasasa anapokea basic 900000 na zaidi ,unamzungumzia yupi ,huyo mwl ,na ameajiliwa lini na idara ipi kati ya msingi na secondar
Ushasema dada yako,yaani jitu zima unautegemea mshahara wa dada yako?

Mwachie naye ainjoi na shemeji yako wacha hiyo tabia
 
Lema ni limbukeni.

Lema anatumika na mabepari wa kibeberu, kuendeleza yale yaliyopo kwenye ilani ya SPG[Society for the Propagation of the Gospel] ambayo ni mkono wa muungano wa mabeberu wanaoamini Afrika inahitaji kuwa ya kitumwa, kutawaliwa,ili kupata maendeleo. Yaani kazi kwa mjeledi na imani, maadili na desturi ngeni.

Lema amekuwa akiwadanganya Wananchi kwa takwimu za kupikwa kutoka nchi anazozitaja na kufanya ulinganishi wa Uchumi, Jamii na Siasa.

Lema amewatukana na kuwakejeli wananchi, amedhihaki Dola. Lema anachachafya Jamii igeuke na kufanya machafuko ndani ya nchi alimradai CHADEMA wanachukua dola aidha kwa kura(ambayo hawachaguliki) au kwa kuleta taharuki na hatimae vurugu kwa kudai wameibiwa kura..

Lema ni hatari kwa Usalama wa Taifa, kwani uchonganishi wake, ni wa Visasi, ati kwa sababu wananchi, bodaboda, wachuuzi hawakuingia barabarani wakati wao wakienda jela kwa makosa na mazingira waliyoya tengeneza. Makosa yao binafsi. Unawezaje kutaka wananchi wavunje sheria za nchi ili waje mahabusu kukutoa?

Lema ndie atakae kuja kuhalalisha matusi Jukwaani na hivyo basi kudumaza na hatimae kutelekeza Siasa safi Nchini. Karibu.
Uko very emotional hata ukweli huuoni
 
Uko very emotional hata ukweli huuoni
Ha ha ha, emotional ndio nini?

Lema ana ukweli au anapiga ramli za Wazungu?

Canada yenyewe ina kesi mpaka mahakama kuu ya nchi kutokana na ubaguzi wa watu Kukosa nyumba huko...yeye kawadanganyeni ati kati ya watu kumi, kumi wana magari! Mwongo kati ya watu millioni 34 Canada ni asilimia takriban 60% ndio wenye uwezo wa kuwa na Magari yeye 10 na 10 katoa wapi?

Ati Wana nyumba bora? kwa kutumia vigezo gani? ahaa ati ni za 'uzunguni' yaani nchi yao Wazungu wenyewe halafu udai wana nyumba kama za 'Uzunguni' kama huo sio ulimbukeni ni nini?
Ati kati ya watu kumi tisa wana nyumba.....

Mwongo huyo....

na amefanya hadaa kuwasilisha hizo takwimu.

Kwa taarifa yako.
Umoja wa Mataifa inatoa mwongozo wa nini maana ya Nyumba bora[charter of rights and freedom] kasome ujiridhishe.....
Nyumba za Unga Limited zipo beyond matakwa ya chata hiyo yaani zimefikia na kupitiliza nini maana ya nyumba bora halafu leo hii huyo kafara wenu anadai siyo nyumba hizo!!

Anachekesha halafu anaudhi. na Ndio anachofanya, kejeli, dhihaka alimradi ajenge hasira...ambayo ametubu kuwa anakuja kukifanya...

'Kutema sumu'

Amewatukana wanaoishi hizo nyumba akiwa na mpango wa kuwafanya wahame ili aje awalete wazungu wanunue wafanye biashara hapo, sasa kama hiyo sio kuwa ni kibaraka wa mabepari wa kibeberu ni nini?
 
Suala siyo wewe kutetea kwamba hazitotosha.Waachie wenyewe walipwe.Unawatoleaje matokeo bila kupitia hali?
Kwahiyo unasema hela zipo au?, Umewahi kujiuliza hapa tunaongelea watumishi gani hasa? Maana wa serikali wapo zaidi kidogo ya 600,000,,
Sasa hao ongezea bodaboda milioni 2,
Kisha mamantilie milioni 1
,Halafu sasa tuengenezee bajeti,
Kipato ni trilion 2 kwa mwezi,
Mind you kwa sasa mshahara tu unakula about 30% ya hizo trilion 2,
Tuwekee bajeti yako, itakayohakikisha bodaboda million 2,, wanapata kazi ya kima cha chini milion 1.5 kila kichwa😂😂
 
Chama changu CCM tufocus kuwainua wananchi kifikra bodaboda sio kazi
 
Jamaa anadhani walimu kwa mfano wakilipwa milioni 5 ndo maisha yatakaa sawa,, uchumi una mambo yake,, ukilipa kima cha chini milioni 5,, elewa sokoni watu wataenda na matoroli ya hela kufanya shopping,,
Fungu la nyanya tatu utanunua 20,000,
Kwenye uchumi lazima pawepo na balancing act,, huwezi kupandisha mishahara for the sake of kupandisha mishahara, kwani gharama automatically zitapanda, kwani cost of production ita skyrocket, na hivyo quality ya maisha itazidi kudidimia,
Kwasababu, unapoongeza mishahara, cost za uzalishaji zinakua juu kwa waajiri, so wao hawafanyi biashara ya huduma, wanataka faida, so watapandisha bei vitu, mfano mbolea, sukari, kiufupi kila kitu kitapanda bei, hivyo hela bado haitatosha na sasa watu watataka kima cha chini kiwe bilioni moja,, bado mzunguko utarudi palepale, HAZITATOSHA😂😂🙆
Mimi ni mchumi by professional hakuna kitu umeandika hapa ni utumbo mtupu

Askari wote wapo 20k
Waalimu wanaolipwa 400 wapo wangapi?
Tuweke tena makundi 4 wanaolipwa kima hicho cha msharahara jumla yawe makundi 6
Total population tupo 60m
Unaona multiplier effect?
Acha kukurupuka boss ulichoandika ni stor za vijiwe vya mabush lawyer
 
Nimesema weka bajeti yako, wewe ni mchumi, weka bajeti based on kipato cha trilion 2 kwa mwezi
 
Mpaka sasa kazi aliyoiongelea ni bodaboda tu, sasa wewe ukisema wananchi wote unamaanisha nini??
Anataka wananchi wote wafanyekazi kwenye hiyo mifumo isiyozoeleka?
 
Mimi ni mchumi by professional hakuna kitu umeandika hapa ni utumbo mtupu

Askari wote wapo 20k
Waalimu wanaolipwa 400 wapo wangapi?
Tuweke tena makundi 4 wanaolipwa kima hicho cha msharahara jumla yawe makundi 6
Total population tupo 60m
Unaona multiplier effect?
Acha kukurupuka boss ulichoandika ni stor za vijiwe vya mabush lawyer
Au nikurahisishie kidogo, bodaboda milioni 2, kwa mshahara wa milioni 1.5 kila mmoja, tunahitaji trioni 3. Hapo bado hujaweka mambo ya utalii, waalimu, afya, jeshi, na kadhalika.

Weka gharama za uendeshaji kama vile mafuta, vipuri, dawa, mashine, mitambo, na kadhalika. Kwa haraka tunahitaji trilioni 7 kwa mwezi.

Kwakuwa wewe umesema ni mtaalamu wa uchumi, eleza hiyo pesa tutapata vipi? Tuongeze wapi kodi?
Je, Azam watalipa trilioni ngapi? Na makampuni makubwa ya viwanda watalipa kiasi gani ili nao wabaki na faida na wasipandishe bei za bidhaa?

Hapo.
 
Mpaka sasa kazi aliyoiongelea ni bodaboda tu, sasa wewe ukisema wananchi wote unamaanisha nini??
Anaitingisha 'mifumo hiyo iliyozoeleka' akiwa na lengo gani?
 
VICOBA sio kazi, amesemaje kuhusu mama ntilie??
Amesema ni kazi ya udhalilishaji,, inatakiwa hotelia, siyo mamantilie,, yaani wanatakiwa wamiliki macdonald, subway, KFC😂😂
 
Ni jambo zuri kama anataka wasitembee na vyakula kwenye ndoo na ugali uliofungwa kwenye mifuko ya plastiki.
Amesema ni kazi ya udhalilishaji,, inatakiwa hotelia, siyo mamantilie,, yaani wanatakiwa wamiliki macdonald, subway, KFC[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom