Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Yeah, itakuwa raha sana, ikifunguliwa migawaha kama macdonald kila kona ya nchi, hadi huku ngulyati, bariadi,, 🤷Ni jambo zuri kama anataka wasitembee na vyakula kwenye ndoo na ugali uliofungwa kwenye mifuko ya plastiki.