Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Hasa kilichokufanya ulielie humu ni nini au una njaa?Rais SSH siyo Polisi. Halafu kumbuka kwenye mashauri ya JINAI upande wa mlalamikaji ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aliyeshuriwa hawezi kushtaki bali anakuwa shahidi wa Mahakama
Chuki itakuua tu!Kikwete alipokuwa akitaka kugombea Urais mwaka 1995 Nyerere alimwambia kwamba wewe bado mdogo muachie Ben watu weengi waliamini hivyo ila ukweli Nyerere alimaanisha kuwa Kikwete alikuwa mdogo kwenye mambo ya kupewa kuiongoza Nchi yaani alimsoma mwenendo wa maisha yake na kugundua kuwa ni msumbufu na hafai kuwa Rais wa nchi Nyerere aliona mbali sana.
Kosa kubwa la kwanza alilolifanya Kikwete kwenye uongozi wake ni kuiruhusu familia yake kujiingiza moja kwa moja kwenye mamlaka ya Rais.
Tulishuhudia awamu ya Kikwete kijana mdogo kama Ridhiwani kujimilikisha makampuni meengi ya kilaghai na waliokuwa wasaidizi wa Ridhiwani nao kujiingiza moja kwa moja kwenye Utawala wa nchi.
Rais Mstaafu Kikwete aliporuhusu hata marafiki wake wa karibu kuingia kwenye masilahi ya Urais wake kwa njia ya utapeli hali hii imepelekea sasa kuhangaika sana wanapopata mtu ambaye hajali maslahi yao hii ni kwa sababu moja tu wanaendeleza biashara zao za kitapeli kipindi wawapo kwenye mifumo.
Ndio maana Nyerere alisema ni hatari sana kuingiza Ikulu Rais mfanyabiashara hali ikiendelea hivi kuna umuhimu sasa wa kuwa na mgombea binafsi ambaye bila huruma atakuja kuisafisha nchi.
Chuki zitakuua. Unaokoteleza stori za vijiweni unaziamini. Shikuba alikamatwa na nani? Tuanzie hapo. Acheni hizo chuki zenu. Hamnaga kazi za maana za kufanya? Kutwa nzima kupotosha tu!Kikwete Urais wake ulikuwa wa ubia na familia na rafiki zake wakina 'ShKubar"! Kama ataruhusiwa kuturudisha huko kutatokea backlash kubwa kutoka kwa wananchi na Samia hata kuwa salama na utawala wake!
Hasira za Sukuma Gang tu hizo hakuna lolote, wakati unalaumu ukumbuke JK ndiye aliyemweka JPM madarakani!!Kikwete alipokuwa akitaka kugombea Urais mwaka 1995 Nyerere alimwambia kwamba wewe bado mdogo muachie Ben watu weengi waliamini hivyo ila ukweli Nyerere alimaanisha kuwa Kikwete alikuwa mdogo kwenye mambo ya kupewa kuiongoza Nchi yaani alimsoma mwenendo wa maisha yake na kugundua kuwa ni msumbufu na hafai kuwa Rais wa nchi Nyerere aliona mbali sana.
Kosa kubwa la kwanza alilolifanya Kikwete kwenye uongozi wake ni kuiruhusu familia yake kujiingiza moja kwa moja kwenye mamlaka ya Rais.
Tulishuhudia awamu ya Kikwete kijana mdogo kama Ridhiwani kujimilikisha makampuni meengi ya kilaghai na waliokuwa wasaidizi wa Ridhiwani nao kujiingiza moja kwa moja kwenye Utawala wa nchi.
Rais Mstaafu Kikwete aliporuhusu hata marafiki wake wa karibu kuingia kwenye masilahi ya Urais wake kwa njia ya utapeli hali hii imepelekea sasa kuhangaika sana wanapopata mtu ambaye hajali maslahi yao hii ni kwa sababu moja tu wanaendeleza biashara zao za kitapeli kipindi wawapo kwenye mifumo.
Ndio maana Nyerere alisema ni hatari sana kuingiza Ikulu Rais mfanyabiashara hali ikiendelea hivi kuna umuhimu sasa wa kuwa na mgombea binafsi ambaye bila huruma atakuja kuisafisha nchi.
Ukiwa mpuuzi unaona jambo la maana lolote kuwa ni upuuzi. TunakusameheHuu upuuzi unafikirisha nini?
..mae mwaka huu lazima mlambe koniKawa ulivo wewe ibilisi bin Shetani [emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
Haaa Kalale mbele..!..mae mwaka huu lazima mlambe koni
Kwa sasa watu waliokuwa wamezibiwa mianya na mirija wanafurahi usipime, kila kona unawakuta wanachoma nyama ya ndafu na vilevi kibao huku wakimsema vibaya sana hayati JPM kiasi ambacho unashangaa wengine walikuwa ni wasaidizi wa karibu kabisa kwake kumbe walikuwa 'undercover'Kikwete alipokuwa akitaka kugombea Urais mwaka 1995 Nyerere alimwambia kwamba wewe bado mdogo muachie Ben watu weengi waliamini hivyo ila ukweli Nyerere alimaanisha kuwa Kikwete alikuwa mdogo kwenye mambo ya kupewa kuiongoza Nchi yaani alimsoma mwenendo wa maisha yake na kugundua kuwa ni msumbufu na hafai kuwa Rais wa nchi Nyerere aliona mbali sana.
Kosa kubwa la kwanza alilolifanya Kikwete kwenye uongozi wake ni kuiruhusu familia yake kujiingiza moja kwa moja kwenye mamlaka ya Rais.
Tulishuhudia awamu ya Kikwete kijana mdogo kama Ridhiwani kujimilikisha makampuni meengi ya kilaghai na waliokuwa wasaidizi wa Ridhiwani nao kujiingiza moja kwa moja kwenye Utawala wa nchi.
Rais Mstaafu Kikwete aliporuhusu hata marafiki wake wa karibu kuingia kwenye masilahi ya Urais wake kwa njia ya utapeli hali hii imepelekea sasa kuhangaika sana wanapopata mtu ambaye hajali maslahi yao hii ni kwa sababu moja tu wanaendeleza biashara zao za kitapeli kipindi wawapo kwenye mifumo.
Ndio maana Nyerere alisema ni hatari sana kuingiza Ikulu Rais mfanyabiashara hali ikiendelea hivi kuna umuhimu sasa wa kuwa na mgombea binafsi ambaye bila huruma atakuja kuisafisha nchi.
Eee Mungu usikie maombi haya 🙏Wanajaribu kumblackmail mama teh teh teh
Magufuli ndo alikuwa na Nepotism, Ukanda, Udini na Ukabila.
Mwacheni Samia achape kazi, tena namuomba sana mheshimiwa Rais atusaidie kuondoa Udini, Ukabila na Ukanda vilivojiinua sana kipindi cha mwendazake, tunataka kuona watu wa makabila yote, dini zote, kanda zote wenye vigezo wakiwemo katika serikali yake bila kulaliaa upande mmoja
Mayanga & coAfadhali ya Kikwete Mara milioni kuliko ibilisi .
Sukuma Gang hawakata tamaaWanajaribu kumblackmail mama teh teh teh
Magufuli ndo alikuwa na Nepotism, Ukanda, Udini na Ukabila.
Mwacheni Samia achape kazi, tena namuomba sana mheshimiwa Rais atusaidie kuondoa Udini, Ukabila na Ukanda vilivojiinua sana kipindi cha mwendazake, tunataka kuona watu wa makabila yote, dini zote, kanda zote wenye vigezo wakiwemo katika serikali yake bila kulaliaa upande mmoja
Mayanga & co ltdUshuzi tupu
Njoo na hoja siyo unaandika andika tu. Nimelia wapi?Hasa kilichokufanya ulielie humu ni nini au una njaa?
Chato sasa hivi ingekuwa inaifukuzia Dubai kudadadeki .
Naunga mkono hoja.
Kikwete ni Disaster kwa nchi Tanzania! Afungwe breki.
Mungu fundiSUKUMA GANG HAWAAMINI KILICHOTOKEA
Kwa walichokifanya wasukuma hatuji kurudia tena bora wewe muhehe hauna ubaguzikwani leo hii magufuli kawa msukuma!!!
ni wasukuma wangapi wamepata shavu kwenye utawala wake??mpaka uishie kuhitimisha tuliamini urais wa magufuli ni wa wasukuma wote??
mimi ni mhehe wa iringa.