Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

Rais SSH siyo Polisi. Halafu kumbuka kwenye mashauri ya JINAI upande wa mlalamikaji ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aliyeshuriwa hawezi kushtaki bali anakuwa shahidi wa Mahakama
Hasa kilichokufanya ulielie humu ni nini au una njaa?
 
Huu uzi mmmh unasikitisha sana. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kikwete alipokuwa akitaka kugombea Urais mwaka 1995 Nyerere alimwambia kwamba wewe bado mdogo muachie Ben watu weengi waliamini hivyo ila ukweli Nyerere alimaanisha kuwa Kikwete alikuwa mdogo kwenye mambo ya kupewa kuiongoza Nchi yaani alimsoma mwenendo wa maisha yake na kugundua kuwa ni msumbufu na hafai kuwa Rais wa nchi Nyerere aliona mbali sana.

Kosa kubwa la kwanza alilolifanya Kikwete kwenye uongozi wake ni kuiruhusu familia yake kujiingiza moja kwa moja kwenye mamlaka ya Rais.

Tulishuhudia awamu ya Kikwete kijana mdogo kama Ridhiwani kujimilikisha makampuni meengi ya kilaghai na waliokuwa wasaidizi wa Ridhiwani nao kujiingiza moja kwa moja kwenye Utawala wa nchi.

Rais Mstaafu Kikwete aliporuhusu hata marafiki wake wa karibu kuingia kwenye masilahi ya Urais wake kwa njia ya utapeli hali hii imepelekea sasa kuhangaika sana wanapopata mtu ambaye hajali maslahi yao hii ni kwa sababu moja tu wanaendeleza biashara zao za kitapeli kipindi wawapo kwenye mifumo.

Ndio maana Nyerere alisema ni hatari sana kuingiza Ikulu Rais mfanyabiashara hali ikiendelea hivi kuna umuhimu sasa wa kuwa na mgombea binafsi ambaye bila huruma atakuja kuisafisha nchi.
Chuki itakuua tu!

Huna lolote,kazi yako kuokoteleza stori za vjiweni tu ambazo hazina uhalisia wowote.
 
Kikwete Urais wake ulikuwa wa ubia na familia na rafiki zake wakina 'ShKubar"! Kama ataruhusiwa kuturudisha huko kutatokea backlash kubwa kutoka kwa wananchi na Samia hata kuwa salama na utawala wake!
Chuki zitakuua. Unaokoteleza stori za vijiweni unaziamini. Shikuba alikamatwa na nani? Tuanzie hapo. Acheni hizo chuki zenu. Hamnaga kazi za maana za kufanya? Kutwa nzima kupotosha tu!
 
Kikwete alipokuwa akitaka kugombea Urais mwaka 1995 Nyerere alimwambia kwamba wewe bado mdogo muachie Ben watu weengi waliamini hivyo ila ukweli Nyerere alimaanisha kuwa Kikwete alikuwa mdogo kwenye mambo ya kupewa kuiongoza Nchi yaani alimsoma mwenendo wa maisha yake na kugundua kuwa ni msumbufu na hafai kuwa Rais wa nchi Nyerere aliona mbali sana.

Kosa kubwa la kwanza alilolifanya Kikwete kwenye uongozi wake ni kuiruhusu familia yake kujiingiza moja kwa moja kwenye mamlaka ya Rais.

Tulishuhudia awamu ya Kikwete kijana mdogo kama Ridhiwani kujimilikisha makampuni meengi ya kilaghai na waliokuwa wasaidizi wa Ridhiwani nao kujiingiza moja kwa moja kwenye Utawala wa nchi.

Rais Mstaafu Kikwete aliporuhusu hata marafiki wake wa karibu kuingia kwenye masilahi ya Urais wake kwa njia ya utapeli hali hii imepelekea sasa kuhangaika sana wanapopata mtu ambaye hajali maslahi yao hii ni kwa sababu moja tu wanaendeleza biashara zao za kitapeli kipindi wawapo kwenye mifumo.

Ndio maana Nyerere alisema ni hatari sana kuingiza Ikulu Rais mfanyabiashara hali ikiendelea hivi kuna umuhimu sasa wa kuwa na mgombea binafsi ambaye bila huruma atakuja kuisafisha nchi.
Hasira za Sukuma Gang tu hizo hakuna lolote, wakati unalaumu ukumbuke JK ndiye aliyemweka JPM madarakani!!
 
Kwa sasa watu waliokuwa wamezibiwa mianya na mirija wanafurahi usipime, kila kona unawakuta wanachoma nyama ya ndafu na vilevi kibao huku wakimsema vibaya sana hayati JPM kiasi ambacho unashangaa wengine walikuwa ni wasaidizi wa karibu kabisa kwake kumbe walikuwa 'undercover'

Wataznaia pataneni na muijenge nchi yenu kwa upendo, bidii na maarifa ili kukuza uchumi wa nchi na watu wake.

Hakuna hamasa tena ya kila mtu afanye kazi angalau kwa kuanzia ubunifu binafsi hakuna wanakazana kutafuta wawekezaji kana kwamba wanaleta mtaji kunufaisha watu wengine Lahasha hiyo haipo
Kenyans, the US, and the Chinese will flock to Tanzania to invest with the intent to reap super profit losing less at the expense of Tanzanian resources.

Where is the struggle for self-reliance to make the Tanzanian economy stronger? It is gone, the foxes are resuming to the helm.
 
Wanajaribu kumblackmail mama teh teh teh

Magufuli ndo alikuwa na Nepotism, Ukanda, Udini na Ukabila.

Mwacheni Samia achape kazi, tena namuomba sana mheshimiwa Rais atusaidie kuondoa Udini, Ukabila na Ukanda vilivojiinua sana kipindi cha mwendazake, tunataka kuona watu wa makabila yote, dini zote, kanda zote wenye vigezo wakiwemo katika serikali yake bila kulaliaa upande mmoja
Eee Mungu usikie maombi haya 🙏
 
Sukuma Gang hawakata tamaa
 
aisee kama una chuki binafsi na mzee wa msoga bora ungeisema tukusaidie hata mawazo maana nimelisma mara mbili mbili bandiko lako kwakweli limekosa uhalisia kabisa
 
Chato sasa hivi ingekuwa inaifukuzia Dubai kudadadeki .

Hizi kauli siku moja zitamzindua HH Sheikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, adandie Boeing 747 lake lakifahari aje kuisaka Chato kupima ushindani ukoje huku.[emoji1787]
 
kwani leo hii magufuli kawa msukuma!!!

ni wasukuma wangapi wamepata shavu kwenye utawala wake??mpaka uishie kuhitimisha tuliamini urais wa magufuli ni wa wasukuma wote??

mimi ni mhehe wa iringa.
Kwa walichokifanya wasukuma hatuji kurudia tena bora wewe muhehe hauna ubaguzi
 
Back
Top Bottom