mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Waliigeuza Nchi kuwa Mali ya Chato,Unajifanya wewe mwenyewe ndo unauchungu sana na hii nchi kuliko wengine.Kama mlijisahau mkafikiri hii nchi ni mali yenu imekula kwenu.kwahiyo punguza huo uzwazwa uko kichwani.
Yale mahotrl yaliuojwngwa Chato yatàkuwa magofu Kama ya yule Mabutu,na uwanja wa ndege kwa Sasa wanajifunzia kuendesha baisikeli,
Hana wazili mkuu alipata shida Sana kutua kwenye uwanja wa ndege Chato,wananchi walikuwa hawataki kutoka uwanjani hapo na baisikeli zao.