Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

Unajifanya wewe mwenyewe ndo unauchungu sana na hii nchi kuliko wengine.Kama mlijisahau mkafikiri hii nchi ni mali yenu imekula kwenu.kwahiyo punguza huo uzwazwa uko kichwani.
Waliigeuza Nchi kuwa Mali ya Chato,
Yale mahotrl yaliuojwngwa Chato yatàkuwa magofu Kama ya yule Mabutu,na uwanja wa ndege kwa Sasa wanajifunzia kuendesha baisikeli,
Hana wazili mkuu alipata shida Sana kutua kwenye uwanja wa ndege Chato,wananchi walikuwa hawataki kutoka uwanjani hapo na baisikeli zao.
 
Unajifanya wewe mwenyewe ndo unauchungu sana na hii nchi kuliko wengine.Kama mlijisahau mkafikiri hii nchi ni mali yenu imekula kwenu.kwahiyo punguza huo uzwazwa uko kichwani.
uzwazwa ni kukereka mtu anapokwambia ana uchungu na nchi.
kwani ni lazima wote tuwe makahaba wa nchi yetu kama wewe???
 
Kwa huyo mama SSH ukimtazama vizuri unaona kuna sura ya kubadili gia angani?
anaweza asiwe nayo,ila wakati mwingine mazingira ndio humbadirisha mtu.

hata hawa wakenya aliowafata jana ushishangae dec wakawa si wageni rasmi wakuja kwenye sherehe kama walivyoahidiwa.

kama nia ya jk na mwendazake zingekuwa moja kwenye taifa hili,wasingehitirafiana.wacha mama ajue nia za wenzake ndio utamjua rangi yake halisi.
 
Haijalish nin Bi Mkubwa atafanya ila swala LA vyuma kukaza linapaswa kubak ktk historia
 
Afadhali ya Kikwete Mara milioni kuliko ibilisi .
Kwa kweli ,kabisa kabisa,siyo jitu linajimilikusha kila kitu na halitaki watu waongee.Jitu hata likienda kanisani lenyewe ndo linahubiri maaskofu.Nchi ikabingwa mashavu hadi mbupu,wake kwa waume wakaufyata .Afadhari Sasa hivi bana aaaaa
 
Hayo yooote, tulishamsamehe zamani, sema lile la mrithi aliye tuachia, ndo tumemsamehe juzi tu hapa!
 
Hapa tulipofika palikuwa na afadhali (kama sheria ziliheshimiwa) ila alipotufikisha aliyetoka kwa kutofuata misingi wala sheria ameacha precedent ambayo yoyote atakayekuja atafanya kile anachotaka bila kufuata misingi wala sheria..., akiamka asubuhi na kuamua Tanzania iitwe jina la babu yake sawa tu...
 
Ulimboka alitekwa na nani?
Alitekwa kipindi cha JK Ila JK wasn't involved at all. Huyu Mwendazake alikuwa anamiliki mwenyewe kikundi cha WASIOJULIKANA kikiwa chini ya Paul Makonda na Richard Musalika Makungu, RAS wa Tabora kwa sasa
 
Sukuma gang mkoje nyie...mwacheni mzee wetu apumzike msoga mnavohtaji kupata uongozi wajuu mnatakiwa kujipanga kwelikweli ,unamiaka 20 bungeni MTU uliyemsaidia akapata ajira ni mwl na nesi tu harafu unataka uwe rais......kazikweli
 
Alitekwa kipindi cha JK Ila JK wasn't involved at all. Huyu Mwendazake alikuwa anamiliki mwenyewe kikundi cha WASIOJULIKANA kikiwa chini ya Paul Makonda na Richard Musalika Makungu, RAS wa Tabora kwa sasa
Hasa kwanini usipeleke kesi kwa Mama Samia kuwa Makonda ambaye hana cheo chochote na Ras wa Tabora ni Jambazi mama mpendwa akusikilize.
 
Kosa kubwa la kwanza alilolifanya Kikwete kwenye uongozi wake ni kuiruhusu familia yake kujiingiza moja kwa moja kwenye mamlaka ya Rais.

Tulishuhudia awamu ya Kikwete kijana mdogo kama Ridhiwani kujimilikisha makampuni meengi ya kilaghai na waliokuwa wasaidizi wa Ridhiwani nao kujiingiza moja kwa moja kwenye Utawala wa nchi.
Ukweli kwa 100%
 
Hatucha
Wanajaribu kumblackmail mama teh teh teh

Magufuli ndo alikuwa na Nepotism, Ukanda, Udini na Ukabila.

Mwacheni Samia achape kazi, tena namuomba sana mheshimiwa Rais atusaidie kuondoa Udini, Ukabila na Ukanda vilivojiinua sana kipindi cha mwendazake, tunataka kuona watu wa makabila yote, dini zote, kanda zote wenye vigezo wakiwemo katika serikali yake bila kulaliaa upande mmoja
Hatuchagui watu kwa kubalance Makabila yao Bali sifa kama Kabila lako halina Mtu anayekidhi vigezo hatuchagui,Haya Mambo ya kutaka Kabila lako kulisababisha vyeti Fake na Ghost workers na wengi wao ni wale waliotuaminisha wamesoma kuliko wengine.na ndio wanamtukashfu Hayati Magufuli
 
Vumilieni tu sukuma gang Kama wengine walivyokuwa wanauchukia utawala wa Mungu wenu wa Chato lakini Waliuvumilia mpaka pale Mungu aliposikia kilio Chao.

Sasa ni wakati wenu wakuishi Kama mashetani .
Ni Kichaa tu anaweza andika uharo huu tangu lini Wasukuma wakategemea mtu awafanye waishi maisha kama Malaika
 
Kikwete alipokuwa akitaka kugombea Urais mwaka 1995 Nyerere alimwambia kwamba wewe bado mdogo muachie Ben watu weengi waliamini hivyo ila ukweli Nyerere alimaanisha kuwa Kikwete alikuwa mdogo kwenye mambo ya kupewa kuiongoza Nchi yaani alimsoma mwenendo wa maisha yake na kugundua kuwa ni msumbufu na hafai kuwa Rais wa nchi Nyerere aliona mbali sana.

Kosa kubwa la kwanza alilolifanya Kikwete kwenye uongozi wake ni kuiruhusu familia yake kujiingiza moja kwa moja kwenye mamlaka ya Rais.

Tulishuhudia awamu ya Kikwete kijana mdogo kama Ridhiwani kujimilikisha makampuni meengi ya kilaghai na waliokuwa wasaidizi wa Ridhiwani nao kujiingiza moja kwa moja kwenye Utawala wa nchi.

Rais Mstaafu Kikwete aliporuhusu hata marafiki wake wa karibu kuingia kwenye masilahi ya Urais wake kwa njia ya utapeli hali hii imepelekea sasa kuhangaika sana wanapopata mtu ambaye hajali maslahi yao hii ni kwa sababu moja tu wanaendeleza biashara zao za kitapeli kipindi wawapo kwenye mifumo.

Ndio maana Nyerere alisema ni hatari sana kuingiza Ikulu Rais mfanyabiashara hali ikiendelea hivi kuna umuhimu sasa wa kuwa na mgombea binafsi ambaye bila huruma atakuja kuisafisha nchi.
Huu upuuzi uliouandika, lengo ni nini hasa? We need well organized minds in this forum kuliko watu waropokaji ambao uwezo wao unaishia kusoma, kuandika na kuhesabu.

Kikwete hakuwahi kuikabidhi hazina kwa mtoto wa dada yake. Hakuwahi kujenga hata hospitali ya rufaa kijijini kwake.

Lakini kikubwa ni kuwa, chini ya utawala wake, ukuaji wa uwekezaji ulikuwa unakua kwa 28%, aliyemfuata aliharibu na kuangusha hadi 4%. Wakati wa utawala wa Kikwete, utalii ulikuwa unakua kwa 15%, aliyefuatia aliporomosha hadi 3.6%.

Kikwete hakuwahi kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, hakuwa anateka watu, hakuwabambikia watu kesi za uhujumu uchumi, wala hakutengeneza sheria za kijinga na kidikteta za kuwanyima watu uhuru, kuvinyima vyombo vya habari uhuru, kama alivyofanya marehemu Magufuli.

Kikwete hawakuwa perfect, lakini ukimlinganisha na marehemu Magufuli, Kikwete ataonekana malaika.
 
Hakuna jambo jepesi JF kama kuifahamu Misukule ya Jiwe!!

Yaani inatapatapa hiyo... hadi inatia huruma!!
Hiyo misukule inahangaika kwa sababu, mikono yao imejaa damu. Hiyo ndiyo ilikuwa mikono ya shetani Duniani.
 
Back
Top Bottom