Acha porojo wewe, mbona na Magu alikuwa na genge lake tena la kuja na kuteka wanaipinga utawala wake, kundinla wakina mfugale na kakoko wamekula na nchi hii. Kikwete hata kama aalikula maisha yalikuwa yanaenda. Jiwe alikuwa anakula ma misskuma mienzake tuKikwete Urais wake ulikuwa wa ubia na familia na rafiki zake wakina 'ShKubar"! Kama ataruhusiwa kuturudisha huko kutatokea backlash kubwa kutoka kwa wananchi na Samia hata kuwa salama na utawala wake!
Tena kabisa kabisa. Zina Sukuma Gang. Zika ukabila, zika ukanda, zika udikteta. Damu za waliotangulizwa zitaendelea kudai haki zao za kuishi.Wasukuma bwana hivi hamuwezi ku settle mambo yenu hadi muchafue watu Mungu wenu amekufa
Well said. Kula 5 mkuuAcha porojo wewe, mbona na Magu alikuwa na genge lake tena la kuja na kuteka wanaipinga utawala wake, kundinla wakina mfugale na kakoko wamekula na nchi hii. Kikwete hata kama aalikula maisha yalikuwa yanaenda. Jiwe alikuwa anakula ma misskuma mienzake tu
asavali ya KIKWETE mara milion kuliko ibilisi MEKO wenuNaunga mkono hoja.
Kikwete ni Disaster kwa nchi Tanzania! Afungwe breki.
Januari Makamba, Nape Nnauye,, Husein Mwinyi, Karume........... unaweza endelea list mpaka kesho.Mbona kama una chuki binafsi na mkwere!
Viongozi wote wa nchi hii watoto zao walingizwa na wapo kwenye uongozi.
Ova
Kawa ulivo wewe ibilisi bin Shetani [emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]asavali ya KIKWETE mara milion kuliko ibilisi MEKO wenu
NYERERE churchKikwete alipokuwa akitaka kugombea Urais mwaka 1995 Nyerere alimwambia kwamba wewe bado mdogo muachie Ben watu weengi waliamini hivyo ila ukweli Nyerere alimaanisha kuwa Kikwete alikuwa mdogo kwenye mambo ya kupewa kuiongoza Nchi yaani alimsoma mwenendo wa maisha yake na kugundua kuwa ni msumbufu na hafai kuwa Rais wa nchi Nyerere aliona mbali sana.
Kosa kubwa la kwanza alilolifanya Kikwete kwenye uongozi wake ni kuiruhusu familia yake kujiingiza moja kwa moja kwenye mamlaka ya Rais.
Tulishuhudia awamu ya Kikwete kijana mdogo kama Ridhiwani kujimilikisha makampuni meengi ya kilaghai na waliokuwa wasaidizi wa Ridhiwani nao kujiingiza moja kwa moja kwenye Utawala wa nchi.
Rais Mstaafu Kikwete aliporuhusu hata marafiki wake wa karibu kuingia kwenye masilahi ya Urais wake kwa njia ya utapeli hali hii imepelekea sasa kuhangaika sana wanapopata mtu ambaye hajali maslahi yao hii ni kwa sababu moja tu wanaendeleza biashara zao za kitapeli kipindi wawapo kwenye mifumo.
Ndio maana Nyerere alisema ni hatari sana kuingiza Ikulu Rais mfanyabiashara hali ikiendelea hivi kuna umuhimu sasa wa kuwa na mgombea binafsi ambaye bila huruma atakuja kuisafisha nchi.
Tuambie wewe unae jua.Au una utoto ama ni kilaza. Sahihisha kwanza jibu lako. Kaulize wanaojua uhusiano kati ya JK na Samia wewe. Acha papala
Wasubili nao watajengewa kwani serikali haipo likizo. Huwezi fanya yote kwa pamoja tupunguze wivu si kila alichofanya ilikuwa hisani.Pole mkuu. Wewe ni Busisi tu umevuka? Watu wa rufiji wao wasemeje, je wale wa Malagarasi! Msijifanye aliyefanya kazi nchi hii ni huyu kenge wenu peke yake. Miongoni mwa watu wachache wa kuheshimiwa hasa kwa kuboresha miundo mbinu na kuifungua mikoa ya nchi hii ni Kikwete. Madhaifu yake yapo ila hayaifikii ya mwenda zake.
Legeza tako sindano ikuingiee πππNi Kichaa tu anaweza andika uharo huu tangu lini Wasukuma wakategemea mtu awafanye waishi maisha kama Malaika
Kwani wewe ni chuma mda utafika pia funza watakula tu.Kati ya Mimi na anayeliwa na funza muda huu nani ameufyata.?
Hahaha mkuu haupo serious , hapo unamzungumzia nani vile, si mnayemuita meko?Pole mkuu. Najua maumivu unayopitia, jitahidi ni suala la muda tu yatapoa. Una uchungu sana kiasi kwamba hata nilichoandika hujakielewa. Narudia tena, huyu ndugu yako ni chini ya miezi mitatu tu tangia aondoke na hakuna anayemkumbuka lolote juu yake. Sana sana tunayaona maisha mapya baada ya yeye na tunayafurahia.
Muache hii tabia ya kufikiri Mungu wenu aliondoa rushwa, alichokifanya ni kuifanya rushwa ikawa inaliwa na wachache hasa ndugu na marafiki zake.
Pole kama unavuka mara moja moja huwezi jua adha ya pale. Ukiwa na private lazima namba uisome. Acha mkuu sisi likamilike nikiwaza kwenda mwanza mda mfupi tu niko ziwa.Busisi ipi wengine pia Ni wa huko. Sijawahi kusubiri Panton masaa kadhaa tangu niwe na fahamu
Ukabila wa NyerereBora Kikwete.
Magufuli na Nyerere wameingiza ndugu zao kwenye serikali, Nyerere alikuwa na kaka yake anaitwa Joseph Nyerere serikalini, pia alimchukua Butiku binamu yake kuwa katibu wake wa Ikulu
Magufuli alimchukua Binamu yake na kumkabidhi ubosi wa hazina
Magufuli is gone and is not coming back.
Hasara aliyotutia kwa miradi isiyokuwa na kichwa wala miguu inatosha, uonevu, siasa za kununua watu, ubambikiziaji watu kesi, uvurugaji chaguzi, kutoheshimu katiba, mambo ya magenge ya watu wasiojulikana, kutolipa stahiki halali za wafanyakazi, sheria kandamizi vyote hivi inabidi tuvireverse
Mwinyi alimchomoa Warioba akamuweka John MalechelaUkabila wa Nyerere
Mwanasheria Mkuu: Joseph Warioba, Home boy wake
Mkuu wa Majeshi :Musuguri, Home boy
Katibu wa Rais: Joseph Butiku Home boy
Katibu Mkuu Kiongozi: Apiyo Home boy
Mbunge wa kuteuliwa na Rais:Joseph Nyerere Mdogo wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vumilieni tu sukuma gang Kama wengine walivyokuwa wanauchukia utawala wa Mungu wenu wa Chato lakini Waliuvumilia mpaka pale Mungu aliposikia kilio Chao.
Sasa ni wakati wenu wakuishi Kama mashetani .
Rais SSH siyo Polisi. Halafu kumbuka kwenye mashauri ya JINAI upande wa mlalamikaji ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aliyeshuriwa hawezi kushtaki bali anakuwa shahidi wa MahakamaHasa kwanini usipeleke kesi kwa Mama Samia kuwa Makonda ambaye hana cheo chochote na Ras wa Tabora ni Jambazi mama mpendwa akusikilize.