Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Yaani binafsi nilitamani Kikwete angerudishwa kuwa Rais kuliko yule Dictator. FURAHA tuliyo nayo kwa sasa acha tu tutawaliwe hata na kivuli tu inatosha. Hatutasahau Awamu ya 5. Unafiki mtupu. Ile kampuni ya Mayanga ni ya nani? Pesa za kupeleka kujenga kwao bila kupitia UTARATIBU maalum. Kugawa watanzania kwa ukabila, ukanda na uvyama. Tuacheni kwanza tufurahie ndiyo mlete Habari zenu hizi.