Chadema ni wajinga flani sijui ni kutoka nchi gani..
Sasa mtu unakuwa mfuasi mfano wa Zitto au Lema au Fatuma Karume ambao na usomi wao wanashikiwa akili na kigogo unategemea utakuwa mtu mwenye akili kweli..
wewe mtoa post ni mbwa sio binadamu.mbwa wee.Nduli Idd Amin kabla ya mauti yake kumfika alitubu na kumrudia Muumba wake, Ndugu Magufuli yeye ni nani asifanye hivyo? Huko kaburini atakua na hawa wapambe njaa wanao mtetea huku kwenye mitandao?
Kama hatobadirika, ama kwa hakika kifo chake itakuwa ni sherehe kubwa mno.
To be honest Mimi nimewadharau mwanzo mwisho.Siyo wapumbavu tu bali ni hopeless kabisa. Viongozi wa vyama vya upinzani hawajui (hawana namna ya kujua) rais yuko wapi? Sasa wao na sisi huku mitaani kuna tofauti gani? Halafu walivyo wajinga wakaingia kingi ya kushangilia. Wangekuwa wamekaa kimya wala wasingeonekana ni wajinga namna hii
Kwa kipimo cha kuwa haijawahi kutokea mjadala wa afya ya rais ukawa na wachangiaji wanaomtakia rais mauti waziwazi kama sasa.Wengi kwa kipimo kipi chief?
Mimi nilichojifunza ni kuwa serikali ya sasa imeanza kubadilika kwenye nyanja ya mawasiliano kwa umma hasa namna ya kukabiliana na tuhuma na uzushi wa kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa jinsi ambavyo serikali/Ikulu imekabiliana na uzushi uliofanyika kwa muda wa siku tatu kuhusu afya ya Rais Magufuli imeonyesha mabadiliko makubwa sana!
Nakumbuka wakati Rais Magufuli anaingia madarakani alikuwa anapenda kujibu kwa maneno kila tuhuma na uzushi uliohusu yeye au serikali yake bila kujua kwa kufanya hivyo alikuwa anawapa umaarufu wale ambao walikuwa wanatoa uzushi au tuhuma.
Kujibu kila uzushi na tuhuma kwa maneno ndio kulimpa umaarufu Mwana Mama aitwaye Mange Kimambi ambaye alijikuta akipata wafuasi zaidi ya milioni 1.2 kutoka laki 300000.
Kanuni moja ya kukabiliana na uzushi ni kuupuuza na kama ukiona bado unaendelea basi unachofanya ni kuonyesha ukweli kwa vitendo katika muda mwafaka kwa sababu uzushi ukiachwa kwa muda mrefu uendelee kuwepo huanza kuaminisha jamii.
Uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli imejibiwa kwa muda mwafaka lakini kikubwa zaidi njia iliyotumika katika kujibu imeondoa imani (credibility) yote ya yule aliyeuanzisha na kuushupalia lakini vile vile waliouamini wameonekana ni wajinga au wapumbavu.
Kitu kingine nilichojifunza ni baada ya kuona baadhi ya viongozi wakuu wa vyama vya upinzani kama Zitto Kabwe, Dkt Vicent Mashinji na Godbless Lema wakiamini uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli ni kuwa viongozi wa vyama vya upinzani hawajui linaloendelea Ikulu. Kwa maana nyingine, siri za Ikulu kwa sasa hazitoki kwa urahisi. Fikiria viongozi wa vyama vikuu vya upinzani hawajui hata alipo Rais wa nchi achilia mbali afya yake! Yaani Zitto Kabwe wa leo hajui kinachoendelea Ikulu!
Nimejifunza pia kama wananchi wengi hawataelimishwa kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii kuna uwezekano ''mpumbavu'' fulani kutunga uzushi wa suala fulani linalogusa hisia za wengi na wengi wakaamini na kufanya jambo ambalo linaweza kuleta madhara makubwa kwa taifa.
Mwisho kabisa nimejifunza kuwa inatakiwa kwanza kuchukua muda kabla ya kuamini kile ambacho kimeandikwa kwenye mitandao ya kijamii kwa sababu ukweli hukawia kufika.
Nimalizie kwa kuandika, Nimeamini Uongo hupanda kwa lifti. Ukweli hupanda kwa ngazi ili kumfikia mlengwa!
Wengi kina nani? Unayo idadi?
Yes yes.Wewe ni mmoja wapo jamaa wa Simiyu? Wachawi bwaaaana!
Mbwa mwenyewe, muuaji wa akina Ben Saanane na Azory gwanda wewewewe mtoa post ni mbwa sio binadamu.mbwa wee.
Kwann wamuombee mabaya hali anajenga SGR,strilg George,kanunua ndege,nkKwa kipimo cha kuwa haijawahi kutokea mjadala wa afya ya rais ukawa na wachangiaji wanaomtakia rais mauti waziwazi kama sasa.
Watumishi wa umma, wakulima wa korosho wananchi wanufaika na mradi wa Gesi, Bandari ya Bagamoyo wote walifurahia huku CCM wapinzani wa ndani nao wakifurahia zaidi, lakini cha ajabu eti watetezi wa CCM mitandaoni wameamua kuwasingizia wapinzani kuwa walisherekea hiyo hali wakati hawakuwatuma CCM kwenda Ruangwa kumwaga Moshi wa kichawi.Comment zenyew za makada wachache wa ccm halafu mtu anakuja kusema ni watanzania tena kwa ambaye amefuatilia jambo utagundua wengi waliofurahi ni watumishi wa uma na masikini wa kawaida ndo mana imeletwa hoja ya yule mkandarasi aliyetukwana na raisi hakuna cha mafisadi hapa hawajui kinachoendelea
Ni kweli Ikulu sasa hivi wamefanikiwa kwa asilimia kubwa kudhibiti uvujaji wa siri tofauti na kipindi cha nyuma! Hii imemdhoofisha sana Zitto kisiasa na kumfanya haonekane kituko!!
Habari za Israeli mtoa roho ni hadithi tu. Tuwekane sawa hapo.Omba uzima siku atakapokutana na Israeli mtoa roho mambo yatakavyokua ndo uamini kuwa jamaa yako ni gundu!
Hahaaaaa....Kigogo kawaingizeni mjini nyumbu wakubwa nyieWengi wanaanzia na wawili na kuendelea. Una jingine?
Uongozi una mhula! Ukipita mhula wako unafanyika utaratibu mwengine wa kumpata kiongozi mwengine.Amekuwa mnyonge,usiombe kuhukumiwa na mahakama ya jamii