Jana niliandika uzi wa kusema namuunga mkono yule mbunge aliesema Wapinzani wa Tz ni wadudu
Nikasema namtaka radhi kwa kuwa nilimind aliposema hivyo kwa kujua anatumia lugha si nzuri
Ila nikamktaka ajitokeze aongezee kuwa wapinzani wa Tz sio wadudu aina ya nyuki, Siafu na wengine wenye akili, nidhamu na uzalendo ni wadudu jamii ya nzi na mende.
Nasikitika kuwa moderators waliuunganisha huo uzi na nyuzi nyingine, hivyo ni ngumu kupata ile content
Ila hicho ndicho nilichojifunza
Kuwa tuna wapinzani wasio elewa kazi yao, wao ni kudandia hoja juu kwa juu tu.
Kama nchi tunahitaj vyama vya upinzani imara, vitakavyosaidia kuleta mawazo mbadala, sio hawa wachumia tumbo, wapiga kelele tu kama nzi. Kazi kudandia hoja bila kujua zimetoka wapi.
Unaweza kuta Kigogo2014 ni pandikizi la Tiss na liliandaliwa only for yestaday ili lije kuonesha kuwa hawa watu hawana wanalojua na ni wakuwapuuza
Siku zote, wakalitengenezea cover nzuri, likapata ushawish kwao, wakajaa jana likawaangusha.
Mtaambia nini watu? Tunaenda kwenye uchaguz wa serikali za mitaa, mkiwa mshafungwa 3 bila. Mtaani kumechafuka kuwa ninyi ni watu kwanza wa kuamini amini uzushi tu wa mitandaoni, ni watu wa kutunga tunga uzushi na ni watu msiolitakia taifa hili mema.