Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Nduli Idd Amin kabla ya mauti yake kumfika alitubu na kumrudia Muumba wake, Ndugu Magufuli yeye ni nani asifanye hivyo? Huko kaburini atakua na hawa wapambe njaa wanao mtetea huku kwenye mitandao?
Kama hatobadirika, ama kwa hakika kifo chake itakuwa ni sherehe kubwa mno.
 
Chadema ni wajinga flani sijui ni kutoka nchi gani..

Sasa mtu unakuwa mfuasi mfano wa Zitto au Lema au Fatuma Karume ambao na usomi wao wanashikiwa akili na kigogo unategemea utakuwa mtu mwenye akili kweli..

Bora kuwa mfuasi wa Lema na Fatuna maana wako huru kuliko kuwa mfuasi wa Kabudi na Makonda.
 
We can come up with all kinds of scenarios, assumptions, and what ifs, or justifications, but deeply the nation is polarized and there is such a need for a national dialogue instead of mockery. Denial ain’t a solution at all.
 
Nduli Idd Amin kabla ya mauti yake kumfika alitubu na kumrudia Muumba wake, Ndugu Magufuli yeye ni nani asifanye hivyo? Huko kaburini atakua na hawa wapambe njaa wanao mtetea huku kwenye mitandao?
Kama hatobadirika, ama kwa hakika kifo chake itakuwa ni sherehe kubwa mno.
wewe mtoa post ni mbwa sio binadamu.mbwa wee.
 
Siyo wapumbavu tu bali ni hopeless kabisa. Viongozi wa vyama vya upinzani hawajui (hawana namna ya kujua) rais yuko wapi? Sasa wao na sisi huku mitaani kuna tofauti gani? Halafu walivyo wajinga wakaingia kingi ya kushangilia. Wangekuwa wamekaa kimya wala wasingeonekana ni wajinga namna hii
To be honest Mimi nimewadharau mwanzo mwisho.
 
Nashangaa huyu mleta mada asivyojua siasa za leo. Ishu ni kwamba Rais Kuna taarifa Rais kaumwa.serikali iluficha. Hili halisemi. Walichikifanya wadadisi ni kuilazimisha serikali iseme kweli. Unaweza ukaona watu wanasema Mkuu yuko Germany kumbe lengo ni kuifanya serikali ijibu. Ukweli Rais anaonekana hayuko sawa. Waliohoji wamafanikiwa kuilazimisha serikali kumfichua Rais alipo kwa kuja kuapisha wateule akiwa kachoka. Hio ndio nguvu ya Media na wapinzani.
 
Mimi nilichojifunza ni kuwa serikali ya sasa imeanza kubadilika kwenye nyanja ya mawasiliano kwa umma hasa namna ya kukabiliana na tuhuma na uzushi wa kwenye mitandao ya kijamii.

Kwa jinsi ambavyo serikali/Ikulu imekabiliana na uzushi uliofanyika kwa muda wa siku tatu kuhusu afya ya Rais Magufuli imeonyesha mabadiliko makubwa sana!

Nakumbuka wakati Rais Magufuli anaingia madarakani alikuwa anapenda kujibu kwa maneno kila tuhuma na uzushi uliohusu yeye au serikali yake bila kujua kwa kufanya hivyo alikuwa anawapa umaarufu wale ambao walikuwa wanatoa uzushi au tuhuma.

Kujibu kila uzushi na tuhuma kwa maneno ndio kulimpa umaarufu Mwana Mama aitwaye Mange Kimambi ambaye alijikuta akipata wafuasi zaidi ya milioni 1.2 kutoka laki 300000.

Kanuni moja ya kukabiliana na uzushi ni kuupuuza na kama ukiona bado unaendelea basi unachofanya ni kuonyesha ukweli kwa vitendo katika muda mwafaka kwa sababu uzushi ukiachwa kwa muda mrefu uendelee kuwepo huanza kuaminisha jamii.

Uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli imejibiwa kwa muda mwafaka lakini kikubwa zaidi njia iliyotumika katika kujibu imeondoa imani (credibility) yote ya yule aliyeuanzisha na kuushupalia lakini vile vile waliouamini wameonekana ni wajinga au wapumbavu.

Kitu kingine nilichojifunza ni baada ya kuona baadhi ya viongozi wakuu wa vyama vya upinzani kama Zitto Kabwe, Dkt Vicent Mashinji na Godbless Lema wakiamini uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli ni kuwa viongozi wa vyama vya upinzani hawajui linaloendelea Ikulu. Kwa maana nyingine, siri za Ikulu kwa sasa hazitoki kwa urahisi. Fikiria viongozi wa vyama vikuu vya upinzani hawajui hata alipo Rais wa nchi achilia mbali afya yake! Yaani Zitto Kabwe wa leo hajui kinachoendelea Ikulu!

Nimejifunza pia kama wananchi wengi hawataelimishwa kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii kuna uwezekano ''mpumbavu'' fulani kutunga uzushi wa suala fulani linalogusa hisia za wengi na wengi wakaamini na kufanya jambo ambalo linaweza kuleta madhara makubwa kwa taifa.

Mwisho kabisa nimejifunza kuwa inatakiwa kwanza kuchukua muda kabla ya kuamini kile ambacho kimeandikwa kwenye mitandao ya kijamii kwa sababu ukweli hukawia kufika.

Nimalizie kwa kuandika, Nimeamini Uongo hupanda kwa lifti. Ukweli hupanda kwa ngazi ili kumfikia mlengwa!

The nigga is hated on the massive scale!

Thats a FACT!
 
Kwa kipimo cha kuwa haijawahi kutokea mjadala wa afya ya rais ukawa na wachangiaji wanaomtakia rais mauti waziwazi kama sasa.
Kwann wamuombee mabaya hali anajenga SGR,strilg George,kanunua ndege,nk
 
Comment zenyew za makada wachache wa ccm halafu mtu anakuja kusema ni watanzania tena kwa ambaye amefuatilia jambo utagundua wengi waliofurahi ni watumishi wa uma na masikini wa kawaida ndo mana imeletwa hoja ya yule mkandarasi aliyetukwana na raisi hakuna cha mafisadi hapa hawajui kinachoendelea
Watumishi wa umma, wakulima wa korosho wananchi wanufaika na mradi wa Gesi, Bandari ya Bagamoyo wote walifurahia huku CCM wapinzani wa ndani nao wakifurahia zaidi, lakini cha ajabu eti watetezi wa CCM mitandaoni wameamua kuwasingizia wapinzani kuwa walisherekea hiyo hali wakati hawakuwatuma CCM kwenda Ruangwa kumwaga Moshi wa kichawi.
 
Ni kweli Ikulu sasa hivi wamefanikiwa kwa asilimia kubwa kudhibiti uvujaji wa siri tofauti na kipindi cha nyuma! Hii imemdhoofisha sana Zitto kisiasa na kumfanya haonekane kituko!!

Boss wako alipata heart attack!

Kapona,karudi!

Ya pili analala flat mazima!

Hii kapigwa scare,chezea heart problems!

The nigga is flat out on his last legs and tired!
 
Omba uzima siku atakapokutana na Israeli mtoa roho mambo yatakavyokua ndo uamini kuwa jamaa yako ni gundu!
Habari za Israeli mtoa roho ni hadithi tu. Tuwekane sawa hapo.

Wakati wewe unaweza kuona kifo ni hatari, wengine tushakubali hakiepukiki na wala hatuna haja ya kujiingezea hifu kuhusu kifo ambacho hakiepukiki.

Watubwengune hawaogopi kifo kama wanavyoogopa kuishi maisha yasiyo na maana, utamu wala furaha.
 
Jana niliandika uzi wa kusema namuunga mkono yule mbunge aliesema Wapinzani wa Tz ni wadudu

Nikasema namtaka radhi kwa kuwa nilimind aliposema hivyo kwa kujua anatumia lugha si nzuri

Ila nikamktaka ajitokeze aongezee kuwa wapinzani wa Tz sio wadudu aina ya nyuki, Siafu na wengine wenye akili, nidhamu na uzalendo ni wadudu jamii ya nzi na mende.

Nasikitika kuwa moderators waliuunganisha huo uzi na nyuzi nyingine, hivyo ni ngumu kupata ile content

Ila hicho ndicho nilichojifunza

Kuwa tuna wapinzani wasio elewa kazi yao, wao ni kudandia hoja juu kwa juu tu.

Kama nchi tunahitaj vyama vya upinzani imara, vitakavyosaidia kuleta mawazo mbadala, sio hawa wachumia tumbo, wapiga kelele tu kama nzi. Kazi kudandia hoja bila kujua zimetoka wapi.

Unaweza kuta Kigogo2014 ni pandikizi la Tiss na liliandaliwa only for yestaday ili lije kuonesha kuwa hawa watu hawana wanalojua na ni wakuwapuuza

Siku zote, wakalitengenezea cover nzuri, likapata ushawish kwao, wakajaa jana likawaangusha.

Mtaambia nini watu? Tunaenda kwenye uchaguz wa serikali za mitaa, mkiwa mshafungwa 3 bila. Mtaani kumechafuka kuwa ninyi ni watu kwanza wa kuamini amini uzushi tu wa mitandaoni, ni watu wa kutunga tunga uzushi na ni watu msiolitakia taifa hili mema.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Wale 900 wa simiyu walishindwa vipi kuona shambulizi kwenye rada je yapaswa tuendelee kuwaamin?
 
This topic is nothing but nonsense. Some cretins here are trying to give an impression that there are some human beings who are immortal.

If none of us is immortal then why should we doubt when we hear that somebody is incapacitated.

It's high time we stopped regarding some people like demigods regardless of their social positions. God said it with certainty that every soul will taste death.
 
Amekuwa mnyonge,usiombe kuhukumiwa na mahakama ya jamii
Uongozi una mhula! Ukipita mhula wako unafanyika utaratibu mwengine wa kumpata kiongozi mwengine.

Kama baadhi ya unaowaongoza kuzushiwa kwako(wewe kiongozi) kwa taarifa zenye kuleta majonzi kwao (kwa baadhi unaowaongoza) ni furaha ni vizuri kujitafakari ikiwa ni binadamu unayejitambua.

Kwa sababu nafasi uliyoshika ni ya mhula, kwa nini yamezushwa yasiyofurahisha nafsi nyingi kwa binadamu kwao ni furaha?
 
Back
Top Bottom