PreGE2025 Tumekuwa a Failed State. Kila kitu kimekamatwa na Dola ya Chama. Si Mahakama, Si vyama vya Siasa, Si Majeshi, si Taasisi za Dini, Si Katiba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Its Official,
Tanzania sasa ni rasmi a failed state. Nchi imeanguka rasmi kwenye kikundi kidogo cha dola ya CCM. Kikundi hiki ndo kinaamua mambo yaendeje, lipi litokee na lipi lisitokee, kipi kifanikiwe na kipi kisifanikiwe. Yupi anastahili kuishi na yupi hastahili kuishi. Wananchi muone nini, muongee nini na msikie nini.

kuanzia vyombo vya ulinzi na usalama, mifumo ya uwajibikaji na kutazamana ( Accountability, Checks and Balances), Mifumo ya Haki (Mahakama), Mifumo ya Kisiasa (Vyama vyote vya Siasa kasoro Chadema), Bunge na Madhehehu ya Dini vyote vimekamatwa na kikundi hiki kidogo cha dola ya CCM.

Kwa sasa kikundi hiki hakiogopi kumshughulikia mtu yeyote anayejaribu kuwafungua macho wananchi awe Kiongozi wa Dini ( Mfano Gwajima na Father Kitima) awe mwanasiasa au chama cha siasa ( Mfano Tundu Lissu na Chama chake Chadema) au kiumbe yeyote yule.

Poleni sana Watanzania. Sasahivi hatuna tofauti na Congo DRC ( Nchi ya Uchawa,Mziki, Michezo, Starehe, Ufisadi wa Kutisha na Umasikini) na Eritrea ( Nchi yenye total control ya dola juu ya Wananchi na Maisha yao huku Wananchi wakiwa hawana haki yeyote na umasikini wa kutisha)

Tujiandae tu na matokeo ya haya.

Lord denning
Mwanza
All the terrorist activity by the camouflaged cheetah waylaid prey is entailed in this book
1749571343515.png
 
Wrong

Mna push for a failed state ambayo mnataka msifuate sheria…. That will never happen

Hakuna nchi inayoongozwa bila sheria na kanuni…. Comply tu

Our biggest mistake as a country ni kuacha misingi yq nidhamu na kujikita kwrnye mihemuko na drama
 
Its Official,
Tanzania sasa ni rasmi a failed state. Nchi imeanguka rasmi kwenye kikundi kidogo cha dola ya CCM. Kikundi hiki ndo kinaamua mambo yaendeje, lipi litokee na lipi lisitokee, kipi kifanikiwe na kipi kisifanikiwe. Yupi anastahili kuishi na yupi hastahili kuishi. Wananchi muone nini, muongee nini na msikie nini.

kuanzia vyombo vya ulinzi na usalama, mifumo ya uwajibikaji na kutazamana ( Accountability, Checks and Balances), Mifumo ya Haki (Mahakama), Mifumo ya Kisiasa (Vyama vyote vya Siasa kasoro Chadema), Bunge na Madhehehu ya Dini vyote vimekamatwa na kikundi hiki kidogo cha dola ya CCM.

Kwa sasa kikundi hiki hakiogopi kumshughulikia mtu yeyote anayejaribu kuwafungua macho wananchi awe Kiongozi wa Dini ( Mfano Gwajima na Father Kitima) awe mwanasiasa au chama cha siasa ( Mfano Tundu Lissu na Chama chake Chadema) au kiumbe yeyote yule.

Poleni sana Watanzania. Sasahivi hatuna tofauti na Congo DRC ( Nchi ya Uchawa,Mziki, Michezo, Starehe, Ufisadi wa Kutisha na Umasikini) na Eritrea ( Nchi yenye total control ya dola juu ya Wananchi na Maisha yao huku Wananchi wakiwa hawana haki yeyote na umasikini wa kutisha)

Tujiandae tu na matokeo ya haya.

Lord denning
Mwanza
Uzi umetimia
 
Lissu yuko Gerezani, Chadema imefungiwa, JWTZ linashiriki siasa za CCM kwa kujaza vijana wa JKT kwenye mikutano ya CCM na kuzipaka ndegevita za Jeshi stika za CCM

Polisi wamekuwa makada wa CCM, TAKUKURU mawakala wa ku promote Rushwa za CCM.

Vyombo vya habari vinavyotoa habari zenye maoni halisi ya Watanzania vinafungiwa na Watanzania wanaotoa maoni yao kukosoa mwenendo wa CCM wanatekwa kuuwawa na kupotezwa.
 
Kama chanzo ni maudhui yaliyowekwq na watumiaji (user generated content) wamekosea sana. Na hakukua na sababu za kuiwajibisha JF kama organization in any how.

Binafsi nilidjani jf kama mtoa Habari aliyesajiliwa as tunaona anapost Habari huko IG , FB na kwingineko labda alichapisha maudhui yanayopushana na kanuni na taratibu.

hapa nimekuelewa Doctor Mama Amon
 
Imenibidi nije niku mention huku as kwenye post yako naona siruhusiwi tena kuchangia Doctor Mama Amon

But I've gotten you well so much. Thanks kwa maelezo na mawazo yako chanya.
 
Ushauri kwa Watanzania

Kama ulikuwa huna mawazo ya kuhama Tanzania naomba ufikirie upya mawazo yako.

Hii nchi imeshajifia.

On a serious note. HIi nchi imeshajifia. Huu uzi hadi kuusomq naogopa pamoja na kwamba nimeuandika mwenyewe maana kila kitu nilichosema na kinachotokea.
 
Back
Top Bottom