PreGE2025 Tumekuwa a Failed State. Kila kitu kimekamatwa na Dola ya Chama. Si Mahakama, Si vyama vya Siasa, Si Majeshi, si Taasisi za Dini, Si Katiba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Inabidi ufikirie maisha yako -- siasa ni mchezo mgumu --hasa hasa hapa imeshajaa ujambazi mwingi. Kwa mfano hapo bungeni wakenya wametucheka kwasababu ya elimu ya wabunge wetu -- sio tu swala la elimu -- tumeona live kuwa kuna wabunge hata jinsi wanavofikiri, wanavyojieleza, ni shida. Mimi hata na elimu yote niliyonayo na vijana/ watu wengine walizonazo utathubuthu saa ngapi kuingiza hata mguu mmoja huko wakati hamna sekta sasa iliyokosa adabu kama siasa hapa Tanzania. Kuwa mwanasiasa/ mtumishi wa umma ni a serious responsibility -- sio kwenda tu kupokea mshahara na pension.
Siasa ya hii nchi imeshakufa. Imekamatwa na wajinga wenye kiburi cha mamlaka. Wamecollapse hadi utumishi wa Umma.
 
Haya sasa wameprioritise ulaji mpaka tunakuwa a failed state -- hizo hela watazienjoy wapi ? Kinachonichekeshaga huwa nahisi nchi za nje wanajuaga jinsi ya kuwanyanganyaga hela watu wanaoiba hela za maskini sometimes huwa vinawarudi.

Ninasoma kitabu sasa hivi kinaitwa Why Nations Fail: The Origins of Power, Prosperity, and Poverty (Daron Acemoglu and James A. Robinson) na main argument ya kitabu ni kuwa a country is as strong as its institutions. Kama hio ni measurement tukiangalia mataasisi yetu tumeshapata jibu.

There are no mysteries. Kujiinua kama nchi ni kitu rahisi sana, walionamadaraka wana other priorities tu.
 
Bila strong institutions zinazoweza kuwaambia wanasiasa Yes or No hatuwezi kufika.

Na hichi ndo walichofanya hiki kikundi kidogo cha dola ya CCM. Waliziua institutions tu. Ukishazimaliza institutions basi hakuna Taifa hapo.
 
Ndio hayo sasa. At some point, Mungu akitujalia na uhai, itabidi tu-rebuild completely. Nchi ilikuwa bado changa wakaanza kuredirect mali za umma kwenye mambo yao.
 
Tanzania sasa imegeuka kuwa kivuli chake chenyewe. Hakuna tena haki, hakuna tena uhuru, hakuna tena matumaini, everything is orchestrated by a small group of powerful individuals within CCM, a shadow government ambayo imekamata kila kona ya maisha yetu.

Vyombo vya dola havilindi raia tena, bali vinawalinda wakubwa dhidi ya raia. Judiciary is no longer a pillar of justice, it's just a tool of oppression. Bunge limekuwa jukwaa la unafiki, vyama vya siasa vimenyeshewa risasi za ukimya, na makanisa mengi yamekaa kimya kana kwamba Mungu naye kaogopa.

Na sisi wananchi? Tumegeuzwa kuwa watazamaji wa maumivu yetu wenyewe. Tunaona, tunasikia, lakini hatuna cha kufanya.

They decide who speaks and who is silenced.
They decide who eats and who starves.
They decide who lives and who is discarded like garbage.

Ni kama tumeteleza polepole hadi kwenye shimo la giza, na sasa tumeanguka moja kwa moja.

Hili si taifa tena. Hii ni jela iliyo wazi.
Tunaishi, lakini hatupo huru. Tunaongea, lakini sauti zetu hazisikiki. Tuna ndoto, lakini zinauliwa kabla ya kuchomoza.

Machozi haya hayaoshi dhambi ya mfumo huu. Tunaachwa myatima ndani ya nchi yetu wenyewe.

May history remember this pain. And may the future forgive us—for not doing enough to stop it.
 
Simply, We are finished
 
Shida ni umasikini na don't care ya sisi watanganyika
Dont care ilitengenezwa makusudi na hao, wabongo wakawa brainwashed si chini ya miaka 50 sasa, matokeo ni kizazi cha hivyo

Umaskin uko controlled, nani anaupata nani haupati

Nao ni fimbo
 
You are a failed person in a failed Party. Mr Lissu is a Lawyer who should no better. Hata hizi Tume Huru wanazoonba hawajui maana yake - ni huru kikwelikweli huwezi kuitukana. Nashangaa Kibatala anasema eti alichelewa kuletwa ili aitukane Mahakama mapema. Watu wengi wangesjangaa sana kama angeachwa tu. Tungeshangaa
Never heard kibatala akisema “alichelewa kuletew ili aitukane mahakama” ,never happened

Apart from being a lawyer lissu knew, aso his team of other lawyers (who are technicaly gifted than the gov one), kusema wanataka kuitukana mahakama hadharani intenaly ,mahakama hiyo hiyo wanayoenda kutaka haki?
Hakuna lawyer anafanya hiyo mistake, maybe ume quote viabaya hizo kauli
 
Its Official,
Tanzania sasa ni rasmi a failed state. Nchi imeanguka rasmi kwenye kikundi kidogo cha dola ya CCM. Kikundi hiki ndo kinaamua mambo yaendeje, lipi litokee na lipi lisitokee, kipi kifanikiwe na kipi kisifanikiwe. Yupi anastahili kuishi na yupi hastahili kuishi. Wananchi muone nini, muongee nini na msikie nini.

kuanzia vyombo vya ulinzi na usalama, mifumo ya uwajibikaji na kutazamana ( Accountability, Checks and Balances), Mifumo ya Haki (Mahakama), Mifumo ya Kisiasa (Vyama vyote vya Siasa kasoro Chadema), Bunge na Madhehehu ya Dini vyote vimekamatwa na kikundi hiki kidogo cha dola ya CCM.

Kwa sasa kikundi hiki hakiogopi kumshughulikia mtu yeyote anayejaribu kuwafungua macho wananchi awe Kiongozi wa Dini ( Mfano Gwajima na Father Kitima) awe mwanasiasa au chama cha siasa ( Mfano Tundu Lissu na Chama chake Chadema) au kiumbe yeyote yule.

Poleni sana Watanzania. Sasahivi hatuna tofauti na Congo DRC ( Nchi ya Uchawa,Mziki, Michezo, Starehe, Ufisadi wa Kutisha na Umasikini) na Eritrea ( Nchi yenye total control ya dola juu ya Wananchi na Maisha yao huku Wananchi wakiwa hawana haki yeyote na umasikini wa kutisha)

Tujiandae tu na matokeo ya haya.

Lord denning
Mwanza
Inamaana wahaini wataongezeka
 
Hata sudani wanaharakati walikua wanalakamika hivi hivi,Leo wameharibu nchi yao,hata mda wa kuwa mitandaoni hawana
 
Nawaza vi akiba vyangu bank, hawa vichaa wasije wakapita na vihela vyetu tukabak mifukon hatuna kitu tukafa njaa, nawaza nitoe changu nikae nacho ndani maana naskia wakosoaji akaunti zao za bank zinafungwa Yani hata ukicomment tuu wanakufuatilia
 
Its Official,
Tanzania sasa ni rasmi a failed state. Nchi imeanguka rasmi kwenye kikundi kidogo cha dola ya CCM. Kikundi hiki ndo kinaamua mambo yaendeje, lipi litokee na lipi lisitokee, kipi kifanikiwe na kipi kisifanikiwe. Yupi anastahili kuishi na yupi hastahili kuishi. Wananchi muone nini, muongee nini na msikie nini.

kuanzia vyombo vya ulinzi na usalama, mifumo ya uwajibikaji na kutazamana ( Accountability, Checks and Balances), Mifumo ya Haki (Mahakama), Mifumo ya Kisiasa (Vyama vyote vya Siasa kasoro Chadema), Bunge na Madhehehu ya Dini vyote vimekamatwa na kikundi hiki kidogo cha dola ya CCM.

Kwa sasa kikundi hiki hakiogopi kumshughulikia mtu yeyote anayejaribu kuwafungua macho wananchi awe Kiongozi wa Dini ( Mfano Gwajima na Father Kitima) awe mwanasiasa au chama cha siasa ( Mfano Tundu Lissu na Chama chake Chadema) au kiumbe yeyote yule.

Poleni sana Watanzania. Sasahivi hatuna tofauti na Congo DRC ( Nchi ya Uchawa,Mziki, Michezo, Starehe, Ufisadi wa Kutisha na Umasikini) na Eritrea ( Nchi yenye total control ya dola juu ya Wananchi na Maisha yao huku Wananchi wakiwa hawana haki yeyote na umasikini wa kutisha)

Tujiandae tu na matokeo ya haya.

Lord denning
Mwanza
Hizo stages hazina budi kufikiwa Ili kupata UHURU wa kweli! Mapambano yanaendelea
 
nataman kila mtu akaitafute movie ya V for Vendetta hope watajua nafas yao kama raia na jins gavament zinavyo fanya kazi
 
Back
Top Bottom