PreGE2025 Tumekuwa a Failed State. Kila kitu kimekamatwa na Dola ya Chama. Si Mahakama, Si vyama vya Siasa, Si Majeshi, si Taasisi za Dini, Si Katiba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
If Official,
Tanzania sasa ni rasmi a failed state. Nchi imeanguka rasmi kwenye kikundi kidogo cha dola ya CCM. Kikundi hiki ndo kinaamua mambo yaendeje, lipi litokee na lipi lisitokee, kipi kifanikiwe na kipi kisifanikiwe.

kuanzia vyombo vya ulinzi na usalama, mifumo ya uwajibikaji na kutazamana ( Accountability, Checks and Balances), Mifumo ya Haki (Mahakama), Mifumo ya Kisiasa (Vyama vyote vya Siasa kasoro Chadema), Bunge na Madhehehu ya Dini vyote vimekamatwa na kikundi hiki kidogo cha dola ya CCM.

Kwa sasa kikundi hiki hakiogopi kumshughulikia mtu yeyote anayejaribu kuwafungua macho wananchi awe Kiongozi wa Dini ( Mfano Gwajima na Father Kitima) awe mwanasiasa au chama cha siasa ( Mfano Tundu Lissu na Chama chake Chadema) au kiumbe yeyote yule.

Poleni sana Watanzania. Sasahivi hatuna tofauti na Congo DRC ( Nchi ya Uchawa,Mziki, Michezo, Starehe na Ufisadi wa Kutisha) na Eritrea ( Nchi yenye total control ya dola juu ya Wananchi na Maisha yao)

Tujiandae tu na matokeo ya haya.

Lord denning
Mwanza
Islamic Republic of Tanzania
 
You are a failed person in a failed Party. Mr Lissu is a Lawyer who should no better. Hata hizi Tume Huru wanazoonba hawajui maana yake - ni huru kikwelikweli huwezi kuitukana. Nashangaa Kibatala anasema eti alichelewa kuletwa ili aitukane Mahakama mapema. Watu wengi wangesjangaa sana kama angeachwa tu. Tungeshangaa
 
If Official,
Tanzania sasa ni rasmi a failed state. Nchi imeanguka rasmi kwenye kikundi kidogo cha dola ya CCM. Kikundi hiki ndo kinaamua mambo yaendeje, lipi litokee na lipi lisitokee, kipi kifanikiwe na kipi kisifanikiwe.

kuanzia vyombo vya ulinzi na usalama, mifumo ya uwajibikaji na kutazamana ( Accountability, Checks and Balances), Mifumo ya Haki (Mahakama), Mifumo ya Kisiasa (Vyama vyote vya Siasa kasoro Chadema), Bunge na Madhehehu ya Dini vyote vimekamatwa na kikundi hiki kidogo cha dola ya CCM.

Kwa sasa kikundi hiki hakiogopi kumshughulikia mtu yeyote anayejaribu kuwafungua macho wananchi awe Kiongozi wa Dini ( Mfano Gwajima na Father Kitima) awe mwanasiasa au chama cha siasa ( Mfano Tundu Lissu na Chama chake Chadema) au kiumbe yeyote yule.

Poleni sana Watanzania. Sasahivi hatuna tofauti na Congo DRC ( Nchi ya Uchawa,Mziki, Michezo, Starehe na Ufisadi wa Kutisha) na Eritrea ( Nchi yenye total control ya dola juu ya Wananchi na Maisha yao)

Tujiandae tu na matokeo ya haya.

Lord denning
Mwanza
Mnashida nyinyi siasa za kiundwanzi hizi leo tu dunia imeshuhudia kesi mahakamani live a failed state haiwezi kufanya hivyo.
 
Hii hali ni mbaya tena kweli kweli,kwa kuwaWatanzania walio wengi wameona haya haya wahusu kwa sasa,tuendako waendelee kunyamaza,na sii kuja kupiga kelele na msaada wote wakuyapigania maslahi ya taifa na watanzania umesha uliwa na walafi na maharania wachache.
 
Umeona proceedings zilivyokuwa?

Umewahi ona wapi duniani kwenye nchi zenye mifumo thabiti ya haki Mahakama inatoa amri mshtakiwa apewe maelezo ya mlalamikaji alafu upande mwingine unagoma kutoa hayo maelezo na Mahakama hawawafanyi chochote?

Umewahi ona wapi duniani kwa watu wanaojielewa shauri linapangwa kusikilizwa alafu upande mwingine ndo unaiendesha Mahakama na kuamua lisisikilizwe alafu Mahakama haiwafanyi chochote?

Kwa watu wenye akili proceedings za leo Mahakamani zimezidi kuthibitishia dunia kwa namna gani Mahakama yetu imeoza.
 
Hii nchi imeshajifia. Akili kumkichwa, fanya lolote unaloona linafaa kama mambo hayajaharibika zaidi.
 
Umeona proceedings zilivyokuwa?

Umewahi ona wapi duniani kwenye nchi zenye mifumo thabiti ya haki Mahakama inatoa amri mshtakiwa apewe maelezo ya mlalamikaji alafu upande mwingine unagoma kutoa hayo maelezo na Mahakama hawawafanyi chochote?

Umewahi ona wapi duniani kwa watu wanaojielewa shauri linapangwa kusikilizwa alafu upande mwingine ndo unaiendesha Mahakama na kuamua lisisikilizwe alafu Mahakama haiwafanyi chochote?

Kwa watu wenye akili proceedings za leo Mahakamani zimezidi kuthibitishia dunia kwa namna gani Mahakama yetu imeoza.
Uwazi wa kutosha ndio demokrasia na uhuru huo mengine ni utashi kila mtu anao na hauharibu msingi
 
If Official,
Tanzania sasa ni rasmi a failed state. Nchi imeanguka rasmi kwenye kikundi kidogo cha dola ya CCM. Kikundi hiki ndo kinaamua mambo yaendeje, lipi litokee na lipi lisitokee, kipi kifanikiwe na kipi kisifanikiwe.

kuanzia vyombo vya ulinzi na usalama, mifumo ya uwajibikaji na kutazamana ( Accountability, Checks and Balances), Mifumo ya Haki (Mahakama), Mifumo ya Kisiasa (Vyama vyote vya Siasa kasoro Chadema), Bunge na Madhehehu ya Dini vyote vimekamatwa na kikundi hiki kidogo cha dola ya CCM.

Kwa sasa kikundi hiki hakiogopi kumshughulikia mtu yeyote anayejaribu kuwafungua macho wananchi awe Kiongozi wa Dini ( Mfano Gwajima na Father Kitima) awe mwanasiasa au chama cha siasa ( Mfano Tundu Lissu na Chama chake Chadema) au kiumbe yeyote yule.

Poleni sana Watanzania. Sasahivi hatuna tofauti na Congo DRC ( Nchi ya Uchawa,Mziki, Michezo, Starehe na Ufisadi wa Kutisha) na Eritrea ( Nchi yenye total control ya dola juu ya Wananchi na Maisha yao)

Tujiandae tu na matokeo ya haya.

Lord denning
Mwanza
Ni maumivu makali
 
Back
Top Bottom