Nilikuambia tafuta chimbo ulambe asali hukusikia ona sasaTumeshindwa na tumekwisha. It will take not less than 30 years kutoka hapa.
Kila mtu ajipambanie anavyoweza
Vyama vingi ni kiini macho kuwalaghai wazungu watupe misaadaFurahia tu. Nchi yenu hii. Nani wa kuwaambia lolote?
unaweza kuhamia nchi ingineIf Official,
Tanzania sasa ni rasmi a failed state. Nchi imeanguka rasmi kwenye kikundi kidogo cha dola ya CCM. Kikundi hiki ndo kinaamua mambo yaendeje, lipi litokee na lipi lisitokee, kipi kifanikiwe na kipi kisifanikiwe.
kuanzia vyombo vya ulinzi na usalama, mifumo ya uwajibikaji na kutazamana ( Accountability, Checks and Balances), Mifumo ya Haki (Mahakama), Mifumo ya Kisiasa (Vyama vyote vya Siasa kasoro Chadema), Bunge na Madhehehu ya Dini vyote vimekamatwa na kikundi hiki kidogo cha dola ya CCM.
Kwa sasa kikundi hiki hakiogopi kumshughulikia mtu yeyote anayejaribu kuwafungua macho wananchi awe Kiongozi wa Dini ( Mfano Gwajima na Father Kitima) awe mwanasiasa au chama cha siasa ( Mfano Tundu Lissu na Chama chake Chadema) au kiumbe yeyote yule.
Poleni sana Watanzania. Sasahivi hatuna tofauti na Congo DRC ( Nchi ya Uchawa,Mziki, Michezo, Starehe na Ufisadi wa Kutisha) na Eritrea ( Nchi yenye total control ya dola juu ya Wananchi na Maisha yao)
Tujiandae tu na matokeo ya haya.
Lord denning
Mwanza
Mbona umeamua kunyanyua mikono uwe mateka?Zile clip kuhusu tisheti za CCM zinavyokuwa printed huko China ndo karatasi za kura zinavyokuwa printed huko China.
Waambie na ndugu zako. Saivi ni akili kumkichwa, kila mtu anajua atakavyopambana
Nlikuambia mapema ukaniita chawaTafuta njia ya ku survive tu. We are now official the New Congo DRC and Eritrea
Muasisi ni jiweHuu ni mwanzo tu. Yajayo yanasikitisha zaidi.
Tafuta chimbo ulambe asali tuuHii nchi imeshajifia. Akili kumkichwa, fanya lolote unaloona linafaa kama mambo hayajaharibika zaidi.
Sio rahisi hivoEconomic sanctions is looming as well.
Natafuta nchi nihamie. Hii nchi imeshakuwa siounaweza kuhamia nchi ingine
Ushauri wako niliuona ila sikubaliani nao. Kujiunga na wezi na wanyang'anyi kuwsdhulumu na kuwaibia masikini hilo siwezi.Nlikuambia mapema ukaniita chawa
Endelea kupiga kelele
bodi ya ligi imesema yanga iombe ushirikiano kwao kama wanataka ili mechi ichezwe ila bodi ya ligi haina cha kuomba yanga kwenye mechi yao, bodi inasema mechi ipo na yanga ni mwenyejiNi kweli lakini Simba na Yanga ndio ziko kwenye mafuvu yetu sasa tufanyaje?
kuna mtu mwenye akili timamu ataenda kupiga kura wakati anajua matokeo mshindi ni nani?Zile clip kuhusu tisheti za CCM zinavyokuwa printed huko China ndo karatasi za kura zinavyokuwa printed huko China.
Waambie na ndugu zako. Saivi ni akili kumkichwa, kila mtu anajua atakavyopambana
Sasa ndiyo mfumo upo hivoUshauri wako niliuona ila sikubaliani nao. Kujiunga na wezi na wanyang'anyi kuwsdhulumu na kuwaibia masikini hilo siwezi.
Hama nchi uende kwa mabwana zako mabeberu!If Official,