PreGE2025 Tumekuwa a Failed State. Kila kitu kimekamatwa na Dola ya Chama. Si Mahakama, Si vyama vya Siasa, Si Majeshi, si Taasisi za Dini, Si Katiba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Time is all that it takes. But changes will come inevitably and indefinitely
I agree with you. Ila kwa namna hiki kikundi kidogo cha dola ya CCM kilivyo collapse hili Taifa na mifumo yake inawezekana tusiweze recover from this na ikitokea basi itachukua muda sana
 
Usiogope kuhusu muda. Tanzania ni taifa muunganiko wa Zanzibar na Tanganyika. Kwa muktadha huo hapo unaona wazi kuwa muda zaidi utahitajika kutatua changamoto na ku-recover!
Yawezekena yote yakatokea tukiwa hai au hata baadae sana huko! BUT LAZIMA YATATOKEA!
Ukiacha Zanzibar ambayo ina uzoefu kiasi kwenye harakati, mapinduzi na kuheshimu nafasi ya Wazanzibari ... Tanganyika pia lazima ipitie hizo stages kwani kwa sasa changamoto nyingi zinatokana na historia ya upande wa Tanganyika.
Wakati ambapo Zanzibar wana Katiba iliyobora na utawala jumuishi kiasi chake, Tanganyika haina chochote...
Inafikirisha kuwa Katiba na mifumo iliyopo Tanzania ni ya wote (Tanganyika & Zanzibar) alafu ni mibovu ama duni kuliko ile ya Zanzibar!
Kifupi sana, Zanzibar kwa sasa wamefanikiwa kuiteka Tanganyika chini ya ccm.
Muda unahitajika zaidi kuwaamsha Watanganyika na kurekebisha madhaifu yaliyopo!
Ukweli usemwe!
 
Its Official,
Tanzania sasa ni rasmi a failed state. Nchi imeanguka rasmi kwenye kikundi kidogo cha dola ya CCM. Kikundi hiki ndo kinaamua mambo yaendeje, lipi litokee na lipi lisitokee, kipi kifanikiwe na kipi kisifanikiwe. Yupi anastahili kuishi na yupi hastahili kuishi. Wananchi muone nini, muongee nini na msikie nini.

kuanzia vyombo vya ulinzi na usalama, mifumo ya uwajibikaji na kutazamana ( Accountability, Checks and Balances), Mifumo ya Haki (Mahakama), Mifumo ya Kisiasa (Vyama vyote vya Siasa kasoro Chadema), Bunge na Madhehehu ya Dini vyote vimekamatwa na kikundi hiki kidogo cha dola ya CCM.

Kwa sasa kikundi hiki hakiogopi kumshughulikia mtu yeyote anayejaribu kuwafungua macho wananchi awe Kiongozi wa Dini ( Mfano Gwajima na Father Kitima) awe mwanasiasa au chama cha siasa ( Mfano Tundu Lissu na Chama chake Chadema) au kiumbe yeyote yule.

Poleni sana Watanzania. Sasahivi hatuna tofauti na Congo DRC ( Nchi ya Uchawa,Mziki, Michezo, Starehe, Ufisadi wa Kutisha na Umasikini) na Eritrea ( Nchi yenye total control ya dola juu ya Wananchi na Maisha yao huku Wananchi wakiwa hawana haki yeyote na umasikini wa kutisha)

Tujiandae tu na matokeo ya haya.

Lord denning
Mwanza
CCM (Chama Cha Mafuska) is a failed chama na ndiyo maana wanatumia mabavu kukandamiza kila kitu hapa nchini, wanajuwa wananchi washawachoka na hawana jipya la kuwadanganya.
 
Sasahivi wananchi wanariot waziwazi mitandaoni dhidi yao na ufedhuli wao.
 
Its Official,
Tanzania sasa ni rasmi a failed state. Nchi imeanguka rasmi kwenye kikundi kidogo cha dola ya CCM. Kikundi hiki ndo kinaamua mambo yaendeje, lipi litokee na lipi lisitokee, kipi kifanikiwe na kipi kisifanikiwe. Yupi anastahili kuishi na yupi hastahili kuishi. Wananchi muone nini, muongee nini na msikie nini.

kuanzia vyombo vya ulinzi na usalama, mifumo ya uwajibikaji na kutazamana ( Accountability, Checks and Balances), Mifumo ya Haki (Mahakama), Mifumo ya Kisiasa (Vyama vyote vya Siasa kasoro Chadema), Bunge na Madhehehu ya Dini vyote vimekamatwa na kikundi hiki kidogo cha dola ya CCM.

Kwa sasa kikundi hiki hakiogopi kumshughulikia mtu yeyote anayejaribu kuwafungua macho wananchi awe Kiongozi wa Dini ( Mfano Gwajima na Father Kitima) awe mwanasiasa au chama cha siasa ( Mfano Tundu Lissu na Chama chake Chadema) au kiumbe yeyote yule.

Poleni sana Watanzania. Sasahivi hatuna tofauti na Congo DRC ( Nchi ya Uchawa,Mziki, Michezo, Starehe, Ufisadi wa Kutisha na Umasikini) na Eritrea ( Nchi yenye total control ya dola juu ya Wananchi na Maisha yao huku Wananchi wakiwa hawana haki yeyote na umasikini wa kutisha)

Tujiandae tu na matokeo ya haya.

Lord denning
Mwanza
Unafahamu maana ya failed state kwanza? Au ubongo wako size ya furu? Kwasababu uloyoeleza yote ni mambo yanayooshesha strong state
 
Siasa ya hii nchi imeshakufa. Imekamatwa na wajinga wenye kiburi cha mamlaka. Wamecollapse hadi utumishi wa Umma.
Sasa wewe umeshindwaje kuwazidi ujanja hao unaowaita wajinga ili uendeshe serikali?? Au wewe ni mjinga zaidi?
 
Wanaua watu wanaohatarisha maslahi yao hata wewe ukiingia kwenye laini zao watakuua
Mwambie Maamuzi ya Mahakama leo kusimamisha shughuli za Chadema yanadhihilisha usahihi wa huu uzi
 
Kwa tulipofika ni heri tuanze upya. Kila kitu kiwe abolished na tuanze upya.
 
Back
Top Bottom