Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio raha ya kutotumbuana...acha watu wajifanyie wanavyotaka bana mazeli hana shida na mtuWana JF
Serikali ijitafakari katika hili, treni 6 zimekwama zaidi ya saa 4 njian na hakuna taarifa yoyote, kuna sehemu hapako sawa
Hapo ndio labda watafikiria watumbuaneNchi ya vibwengo hii kuna siku mtasikia treni za SGR zagongana, yapata ajali , nchi ya ngedere twa twa two two
Hahaaa ila wamesema; palitokea hitilafu kwenye gridi ya taifa..Umeme wamesema upo mwingi, mpaka tutauza nchi jirani
Mbn imekua na matatizo mengi hivi ama popo ndio washachubua waya tna
Unafanya nini hapo Ruvu darajani mkuuMimi nipo Ruvu tangu saa11 jioni hadi muda huu.
Ahahah, mkuu unataka kumfahamu ili iweje sasaUmekata sehemu gani? Nipo humu
Hapo utashangaa Wanasiasa wanafiki Haraka kwenye Scene ya Tukio kuliko wataalamPatakuwa sawa tu tuwe wavumilivuu na wanasiasa wetu ambao hata penye taaluma wanaweka siasaa...
Mama mitano tena😂😂😂😂Wana JF
Serikali ijitafakari katika hili, treni 6 zimekwama zaidi ya saa 4 njian na hakuna taarifa yoyote, kuna sehemu hapako sawa
Ndivyo ilivyo kwetu Tanzania mkuu ...Hapo utashangaa Wanasiasa wanafiki Haraka kwenye Scene ya Tukio kuliko wataalam