KERO Tumekwama ndani ya Treni ya SGR hapa Ngerengere kwa saa tatu sasa, tunaambiwa kuna suala la kiufundi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kulikuwa na shida kwenye grid ya Taifa, mikoa mingi umeme ulizima kwa masaa kama 4 wakawa wanarudisha huduma kwa awamu.

Ila walituambia kuna back-up hata umeme ukikatika treni inatembea kama kawa, sasa sijui kipi kimewasibu mpaka nayo ikasimama, nyakati hizi za umeme kuzima ndo walitakiwa kutuonyesha wanavyopambana na hizo changamoto
 
Wana JF

Serikali ijitafakari katika hili, treni 6 zimekwama zaidi ya saa 4 njian na hakuna taarifa yoyote, kuna sehemu hapako sawa
Tanesco ni jini maimuna wa nchi hii,wanaona ni Bora mwekezaji tapeli la kihindi lije kutunyonya Tena kama Songas,hapa hatuko tayari.Bora Lumumba watupishe.maskini na sisi tujaribu kujenga nchi.
 
Tangu nione sijazaliwa.
 
Wana JF

Serikali ijitafakari katika hili, treni 6 zimekwama zaidi ya saa 4 njian na hakuna taarifa yoyote, kuna sehemu hapako sawa
Kwa hii nchi ukiona hivi,ujue kuna mradi ambao sio muda mrefu wanataka kuungiza na uwe na uhakika wameshajiandaa kupiga pesa nyingine zaidi ya trilioni moja ili kurekebisha hizi train zisikwame.U free mason mwingi sana katika hii nchi.
Tengeneza tatizo kisha njoo ulitatue na machawa watakuimba vizuri sana
 
Huu ndio muda wa usalama wa taifa kuonesha uzalendo wao kwa kuchunguza watu wanaohujumu treni wakifeli hapo nitawashangaa
Hilo sio jukumu lao usijisahaulishe jukumu lao kubwa ni nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…