Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Mbn niliona taarifa ya TRC wakiomba radhi kwa tatizo husika,Treni 6
Tatu kutoka Dom - Dar moja ilikua inatoka Moro, na tatu nyingine Dar - Moro - Dom
Treni iliyotoka saa nane mchana haijafika Dar
Leo kumekuwepo na mvua sana tena zenye radi, nahisi zimeleta madhara hiyo ni kawaida kwa treni za umeme inatakiwa tuwe na vichwa vya diesel kwa dharura kama ya leoMbn niliona taarifa ya TRC wakiomba radhi kwa tatizo husika,
Ina maana hawajafika walipokuwa wanaelekea mpaka sasa ?
Morogoro ziko mbili zimepakiMbn niliona taarifa ya TRC wakiomba radhi kwa tatizo husika,
Ina maana hawajafika walipokuwa wanaelekea mpaka sasa ?
Aseeh poleni sana wazee, hasa kipindi Cha mvua safari zinakuwa zenye changamoto.... Ila mpo salama ?Leo kumekuwepo na mvua sana tena zenye radi, nahisi zimeleta madhara hiyo ni kawaida kwa treni za umeme inatakiwa tuwe na vichwa vya diesel kwa dharura kama ya leo
Kipindi cha mvua nipande sgr ? Breaking zikikataa nijikute lake victoriaAseeh poleni sana wazee, hasa kipindi Cha mvua safari zinakuwa zenye changamoto.... Ila mpo salama ?
Hao wa njian watalala humo humo au inakuaje? Na ukute watu wanasafiri kwa mambo yanayowahitaji kwa haraka...... Aseeh poleni wazee kwa changamoto hiyo.....Morogoro ziko mbili zimepaki
Njian ziko mbili zimepaki
Kutoka Dar mbili, tumesikia hazijatoka
Hapana mzee wangu.. siwezi jua ndo maana nkauliza hivyo ? Ila ni changamoto na mvua hizi kwa treni zetu Dar - Moshi Arusha zitaondoka ijumaa kweli?Kipindi cha mvua nipande sgr ? Breaking zikikataa nijikute lake victoria
Kweli aisee duuuh huu ni wizi latra kimyaakwanza hao trc ni wababaishaiji sana aisee! wameongeza nauli kimya kimya ya train kwa safari za express za asubuh kutoka Dar saa 12:00 na kutoka Dodoma saa 11:15 asubuhi. kama latra ameshirikishwa basi na wao ni wahuni tu kwa sababu ilipaswa consumers watangaziwe. Nauli imepanda kutoka 40k to 50k kinyemela
Kweli kwa nchi masikini ni shida sana ila kwa wenzetu ni sawa tuSerikali na biashara Umesikia wapi....We umesikia wapi
Baada ya Treni ya SGR kukwama awali asubuhi ya leo, Desemba 4, 2024, mimi ni mmoja kati ya abiria ambao walikuwemo kwenye treni hiyo, nikaona JamiiForums imeripoti kuhusu tukio hilo.
Mpaka muda huu naandika hapa saa Tatu usiku huu ni kwamba tumekwama kwenye kituo cha Ngerengere tukiwa tunatokea Morogoro kuelekea Dar es Salaam.
Tangu saa Kumi na Moja jioni mpaka muda huu Treni imesimama hapa, maafisa wa humu ndani ya Treni wanatuambiwa kuwa kuna ishu ya kiufundi ndio tatizo.
Soma
~ Treni ya SGR kutoka Dar kwenda Dodoma yadaiwa kukwama tena baada ya Umeme kukatika Stesheni ya Kilosa
~ TRC: Treni za SGR zilisimama maeneo matatu tofauti kutokana na hitilafu ya umeme katika Gridi ya Taifa
Kabisaa 🤣🤣Vumilieni , msafir kafiri.
Afu mbona mnaripot kukwama Tu lakin mkisafir bila kukwama mnakaa kimya?
Aah kibongo bongo bado Sana hii