Tumelala giza tumeamka bado hakuna umeme !.

Tumelala giza tumeamka bado hakuna umeme !.

mlimnanga sana yule jamaa sasa kinawapata kiberiti alichowasha kimezima!.. mkamuita dictator mlifikiri nchi hii inatakiwa iongozwe soft soft!.
hata hivyo shangazi alishagasema vinampwaya viatu vyakaka!.
nchi inaongozwa na wenye pesa zao amabao wanataka mambo yao yapite ili biashara zao zifanyike!.

alipowagusa hao watu wakubwa mkaanza kusema "haki za binadamu haki za binadamu!"
mmesahau kuna watu walikimbia nchi..?
kama walikuwa ni wenye haki kwanini walikimbilia mafichoni..?
hamtafumbuka macho msipokubali kufumbuliwa!
mmkikaa kimdebwedo hata visivyoliwa vitaliwa.
dah usiendelee bwana unaumiza moyo wangu. Mi pia nlikua moja yao ila nishatubu kaka mtusamehe sisi mtusamehe
 
Jana Arusha kutwa nzima hakuna umeme,usiku umeme ulirejea saa 7 asubuhi saa 1:43 wamekata.

Tumeshindwa kupasi nguo,vyakula kwenye fridge vimeharibika,tumelipia Dstv full package hatuna tunaweza kutazama.

Kipindi kuelekea Christmas 🎄 majumbani ukiwa mtupu.

Tunajuwa Makamba alihujumu TANESCO hukumchukulia hatua stahiki.

Umempachika Dotto Unaibu Waziri Mkuu na Nishati lakini hakuna cha maana zaidi ya misafara na mbwembwe ambazo hazitusaidii Watanganyika.
Arusha sasa ni mateso makubwa sana
 
maombi yangu niliomba kabla sijafa nifanye kazi nje ya nchi na uzee wangu niishi Botswana au Namibia mpaka kufa kwangu. Naiandika kwa herufi ndogo tanzania ni nchi kuubww la kipumbavupumbavu
 
Back
Top Bottom