Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
mlosema wakati wa ban ya mikutano ya hadhara mnarudia tena kuhusu maandamano.....Asante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote...
Katiba iheshimiwe kuto kufuwata katiba hakuna masilahi kwa yoyote zaidi ya hao viogozi wasio juwa wajibu wao. Kuto kufuwata katiba Kuna madhara makubwa kwa watanzania wote. Kuto heshimu katiba ndio kunako msababisha elimu mbovu, uchumi mbovu, afya mbovu, mishahara mbovu kwa polisi na watumishi wote.Asante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote...
Muhimu sana hiiAsante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote...
Ziara za mama wataenda wale walamba asali tuu ila wanachama wa kawaida wataendelea kuangalia ndege kwa juu na kusema ndege ya baba ileeeeeeeeeMlitaka mikutano mkakubaliwa , meomba mandamano mmekubaliwa sasa tunasubiliaa muombe kwende ziara na mama ulaya
Wakimbizi kutoka ng'amboHaya Maandamano ni kwa Watanzania wote lakini tuwe makini na wale watakaotumwa na Katibu mwenezi.
EwaaaaaaHaya Maandamano ni kwa Watanzania wote lakini tuwe makini na wale watakaotumwa na Katibu mwenezi.
Wacha pakucheMaandamano ni haki ya msingi ya kikatiba.
Cha msingi ni Chadema kufuata maelekezo ya polisi na polisi nao kufuata sheria kulinda watu na mali zao.
Huu ni mtihani wa kwanza kwa waandamanaji na polisi wa Tanzania na waenda kuweka historia.
Na pia ni “political gamble” kwa serikali ya Tanzania na CCM.
Keshaona nyumbu hakuna waandamanaji, sasa unarukaruka mtandaoni tuuAsante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote.
Wito Wangu kwa CHADEMA, mjue kabisa CCM hawana radhi na hili na hivyo basi, tahadhari zichukuliwe, wasije wakapandikizwa Watu wabaya, wakafanya Mambo Mabaya, zigo likadondoshewa CHADEMA.
IKIWEZEKANA tuwe na Drones na ziwe linked na online devices kwa ajili ya storage, hujuma huenda zikatokea baada ya maandamano ili wasiweze kudhibitiwa. Ni Hilo Tu MUNGU ibariki CHADEMA, MUNGU ibariki Tanzania
mipango yote imekamilikaAsante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote.
Wito Wangu kwa CHADEMA, mjue kabisa CCM hawana radhi na hili na hivyo basi, tahadhari zichukuliwe, wasije wakapandikizwa Watu wabaya, wakafanya Mambo Mabaya, zigo likadondoshewa CHADEMA.
IKIWEZEKANA tuwe na Drones na ziwe linked na online devices kwa ajili ya storage, hujuma huenda zikatokea baada ya maandamano ili wasiweze kudhibitiwa. Ni Hilo Tu MUNGU ibariki CHADEMA, MUNGU ibariki Tanzania
Naanzia BuguruniEryth wee rutiyako kesho niipi nije tuungane?