Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #61
Okay 👍Polisi ndio wenye jukumu la ulinzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay 👍Polisi ndio wenye jukumu la ulinzi.
Mmefarakana sana sababu ya ngawiraSawa
Sahihi kabisa.Asante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote.
Wito Wangu kwa CHADEMA, mjue kabisa CCM hawana radhi na hili na hivyo basi, tahadhari zichukuliwe, wasije wakapandikizwa Watu wabaya, wakafanya Mambo Mabaya, zigo likadondoshewa CHADEMA.
IKIWEZEKANA tuwe na Drones na ziwe linked na online devices kwa ajili ya storage, hujuma huenda zikatokea baada ya maandamano ili wasiweze kudhibitiwa. Ni Hilo Tu MUNGU ibariki CHADEMA, MUNGU ibariki Tanzania
👉🌈🥱mlosema wakati wa ban ya mikutano ya hadhara mnarudia tena kuhusu maandamano.....
friends,
siasa ni sayansi songa mbele ukipata fursa,
geuka yenu nyuma itawaangamiza kisiasa,
na kujistukia kwenu kunawachelewesha sana kupiga hatua. be focused, bold, committed and not confused....
Jibu ni hapana, sio utashi wake.Kwa hiyo kuna watu wazima kabisa wanajua huo ni utashi wa Muliro?
Ondoa neno "kama" hahahhaSahihi kabisa.
CCM ni kama.magaidi vile
SawaMmefarakana sana sababu ya ngawira
Wakiwa na uniforms za CHADEMAkama sio uvccm au ccm kuanzisha vurugu basi kuna polis wataanzisha
Pumba!Mlitaka mikutano mkakubaliwa , meomba mandamano mmekubaliwa sasa tunasubiliaa muombe kwende ziara na mama ulaya
Ziara hatuna haja ya kuomba. Lissu sio tu amefanya ziara, bali ameishi Ulaya na wala hakuhitaji kuombaMlitaka mikutano mkakubaliwa , meomba mandamano mmekubaliwa sasa tunasubiliaa muombe kwende ziara na mama ulaya
Naye katinga kwenye maandamano[emoji3]RC Chalamila Na Genge Lake Wanaumia Moyo Sana Na Huo Usafi Wao Wa Ajabu
Leo Hali ikoje huko??? Vipi mmeandamana 🤠😁??????
Tulikua tunafagia barabara...Leo Hali ikoje huko??? Vipi mmeandamana 🤠😁??????
Mmetishaaaa 😁Tulikua tunafagia barabara...