Tumeruhusiwa kuandamana ila CCM hawana amani, tahadhari iwepo! Soma hapa

Asante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote.

Wito Wangu kwa CHADEMA, mjue kabisa CCM hawana radhi na hili na hivyo basi, tahadhari zichukuliwe, wasije wakapandikizwa Watu wabaya, wakafanya Mambo Mabaya, zigo likadondoshewa CHADEMA.

IKIWEZEKANA tuwe na Drones na ziwe linked na online devices kwa ajili ya storage, hujuma huenda zikatokea baada ya maandamano ili wasiweze kudhibitiwa. Ni Hilo Tu MUNGU ibariki CHADEMA, MUNGU ibariki Tanzania
Ingawa mimi si mwanachama wa chama cho chote cha siasa, hapa tuwe wakweli. Hapa wa kusifiwa ni Mhe. SSH ingawa imemchukua muda mrefu sana kufanya uamuzi sahihi ukizingatia Chawa wake walivyokuwa wamemtayarishia mazingira na sababu za kuzuia hayo maandamano. Lakini ameruka huo mtego! Pia juzi nimeona Rais wetu ameanza kutoa hotuba nzito. Nimewahi kuwalaumu wasaidizi wake kuwa wamsaidie kwa kuwatumia wabobezi wengi wa kila topic hapa nyumbani kumwandalia Rais wetu hotuba za kiwango cha Tanzania. Hotuba aliyotoa Rais KKKT Azania juzi ilikuwa ya viwango, iliandaliwa vizuri. Hongera Wasaidizi na Hongera Mhe. Rais.
 
Asante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote.

Wito Wangu kwa CHADEMA, mjue kabisa CCM hawana radhi na hili na hivyo basi, tahadhari zichukuliwe, wasije wakapandikizwa Watu wabaya, wakafanya Mambo Mabaya, zigo likadondoshewa CHADEMA.

IKIWEZEKANA tuwe na Drones na ziwe linked na online devices kwa ajili ya storage, hujuma huenda zikatokea baada ya maandamano ili wasiweze kudhibitiwa. Ni Hilo Tu MUNGU ibariki CHADEMA, MUNGU ibariki Tanzania
Amina
 
Acha hizo Elli,

KATIBA imesharuhusu HAKI ya maandamano baada tu ya Kutoa taarifa polisi,

Unashangilia nn tena?
 
Ingawa mimi si mwanachama wa chama cho chote cha siasa, hapa tuwe wakweli
Kwa uzoefu wangu WA miaka 14 hapa jamiiforums ukiona MTU anasema Mimi sio mfuasi au mwanachama WA chama cha siasa ujue huyo ni CCM! Aibu huwa zinawazidi
 
Acha hizo Elli,

KATIBA imesharuhusu HAKI ya maandamano baada tu ya Kutoa taarifa polisi,

Unashangilia nn tena?
Mpwa naelewa Sana unachosema, naamini na wewe unaelewa ninachoshangilia, dhulma inaenda kushindwa
 
Kwa uzoefu wangu WA miaka 14 hapa jamiiforums ukiona MTU anasema Mimi sio mfuasi au mwanachama WA chama cha siasa ujue huyo ni CCM! Aibu huwa zinawazidi
Uzoefu wako haukutishi. Mie sina chama hivi sasa wala sina sababu ya kukudanganya. Lakini nilikuwa TANU Youth League mwaka 1960, kabla Tanganyika haijapata uhuru.
 
Ziara za mama wataenda wale walamba asali tuu ila wanachama wa kawaida wataendelea kuangalia ndege kwa juu na kusema ndege ya baba ileeeeeeeee
Sema DJ anajua kumix mziki anawachezesha wenzake mitindo yote mpaka singeri wanaruka lege
 
Asante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote.

Wito Wangu kwa CHADEMA, mjue kabisa CCM hawana radhi na hili na hivyo basi, tahadhari zichukuliwe, wasije wakapandikizwa Watu wabaya, wakafanya Mambo Mabaya, zigo likadondoshewa CHADEMA.

IKIWEZEKANA tuwe na Drones na ziwe linked na online devices kwa ajili ya storage, hujuma huenda zikatokea baada ya maandamano ili wasiweze kudhibitiwa. Ni Hilo Tu MUNGU ibariki CHADEMA, MUNGU ibariki Tanzania
Wito Wangu kwa CHADEMA, mjue kabisa CCM hawana radhi na hili na hivyo basi, tahadhari zichukuliwe, wasije wakapandikizwa Watu wabaya, wakafanya Mambo Mabaya, zigo likadondoshewa CHADEMA.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote.

Wito Wangu kwa CHADEMA, mjue kabisa CCM hawana radhi na hili na hivyo basi, tahadhari zichukuliwe, wasije wakapandikizwa Watu wabaya, wakafanya Mambo Mabaya, zigo likadondoshewa CHADEMA.

IKIWEZEKANA tuwe na Drones na ziwe linked na online devices kwa ajili ya storage, hujuma huenda zikatokea baada ya maandamano ili wasiweze kudhibitiwa. Ni Hilo Tu MUNGU ibariki CHADEMA, MUNGU ibariki Tanzania
Nakubaliana na wewe kwenye huu ushauri mkuu maana ccm hasa ccm njaa roho zinawauma.

Ila huyu rpc wala hastahili pongezi zozote maana yeye hana maamuzi yoyote yale juu ya maandamano ya CDM.

Yeye wanamtumia ujumbe tu fanya hivi wacha lile
 
Back
Top Bottom