Tumeruhusiwa kuandamana ila CCM hawana amani, tahadhari iwepo! Soma hapa

Ebu toka ndotoni wewe lumumba wahedi
 
Ujumbe umefika kwa walengwa maana usiku wa leo hawakulala wapo jf
 
Tatizo bashite
 
Mlitaka mikutano mkakubaliwa , meomba mandamano mmekubaliwa sasa tunasubiliaa muombe kwende ziara na mama ulaya
Pamoja na uchawa wako ndege zinazompeleka mama ulaya unaishia juzionea angani huna ubav hata wa kuisogelea na ukijitahidi sana utaishia kupanda fuzo uchanganyike na vitimoto
 
Rais anaendelea na Ziara Indonesia na VP wa Cuba Yuko Nchini.

Nani ana shida na maandamano ya kijinga?

View: https://www.instagram.com/p/C2d5GpaC_lM/?igsh=MWRlbWJ3eGhsNWowNg==
Mwisho ule utabiri wako mbona siku hizi hatuuoni tena? 😁😁
 
Na sisi tutakuwepo kwani hamtaki tuje?
 
Hatuna ubaguzi, karibuni! Hili sio kwa ajili ya CHADEMA bali ni kwa ajili ya nchi na vizazi vijavyo
Yanahusu nini hayo maandamano?

Mimi napenda tu maandamano, hata ile ya Yanga na Simba wakishinda nikiwakuta najiunga nao, sijali ni simba au Yanga. Just for fun.
 
Yanahusu nini hayo maandamano?

Mimi napenda tu maandamano, hata ile ya Yanga na Simba wakishinda nikiwakuta najiunga nao, sijali ni simba au Yanga. Just for fun.
Basi kaa nyumbani upikie Wajukuu! Tulia
 
Mko wachache sana to exert any pressure
 
Polisi ndio wenye jukumu la ulinzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…