SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wewe ndiye maskini ndiyo maana umejipa kazi ya kumsifia mwenda zake ukitegemea utateuliwa, safari hii teuzi za kimalaya malaya mlizozoea enzi ya mwendazake hakuna. Sisi tulishazoea kuishi bila mbeleko na maisha tumeyapatia kitambo tu.Nimemwambia nani anyamaze?
Nmemwambia mbali na kukosoa ila atafute hela aondokane na umasikini unaomsababishia kuwa na stress na kuandika vitu vya kijinga
Namaanisha kuelekea 2015 watanzania waliikataa ccm na kikwete. ikapelekea kikwete kuangushwa kwenye uchaguzi yaliyoendelea baada ya uchaguzi ni historiaNi nani alipaswa kumtangaza? Tuanzie hapo.
Ccm pia imewapa vyeo wapinzaniHii nchi hakuna kundi la "wanafiki" kama CHADEMA.
Hili ni genge wa "wahuni" na "wanafiki" kupindukia.
Sasa hivi wanamshabikia Madam SSH utafikiri yeye siyo mwana-CCM. Kila analofanya SSH wanampa sifa na kumtukuza as if she is one of them.
Wamesahau kwamba mvinyo ni ule ule, kilichobadilika ni chupa tu basi.
Segondo mvungi ni vibaka,,,boss wa GSM ni mauhasama labda mambo ya kibiashara,,,kubenea yule ni afiea kipenyo sasa sijui aliudhi nani,,Na Dr Sengondo Mvungi je?
Na kubenea na Boss wa GSM na sakata la tindikali je?
Marais wote duniani wana power sana kisheria,ndo maana za kuitwa Rais au mfalme,,ana mamlaka ya kutangaza vita,kusaini hukumu za vifo na hata kuamuru mtu awe eliminated iwapo maslahi ya nchi yanatishiwa,,mamlaka yanaruhusu,,sasa hapo inategemea hekima za kiongozi,husika,,Nakumbuka kulikuwa na mzungu alipewa kazi ya kusimamia menejimenti, Ulimboka akawaongoza madaktari kumtoa ofisini mzungu yule.
Alifanya fujo akisahau kuwa JK alikuwa kashika mpini. Picha yake akiwa amelala kitanda cha hospitali iliwatia huruma watu wengi walioitazama.
Umekosea,2015 aligombea chuma sio jkNamaanisha kuelekea 2015 watanzania waliikataa ccm na kikwete. ikapelekea kikwete kuangushwa kwenye uchaguzi yaliyoendelea baada ya uchaguzi ni historia
Ok 2010Umekosea,2015 aligombea chuma sio jk
Ni kweli kabisa rais ni cheo kikubwa sana, ukimchezea unashughulikiwa tena na watu ambao hata yeye mwenyewe pengine hafahamu sura zao zinafananaje.Marais wote duniani wana power sana kisheria,ndo maana za kuitwa Rais au mfalme,,ana mamlaka ya kutangaza vita,kusaini hukumu za vifo na hata kuamuru mtu awe eliminated iwapo maslahi ya nchi yanatishiwa,,mamlaka yanaruhusu,,sasa hapo inategemea hekima za kiongozi,husika,,
Kiongozi wa nchi hawezi kuona wananchi wanapoteza maisha kwa ajili ya mtu mmoja au kikundi cha watu wachache,,kuna redline ukivuka hata mtu awe mwanademokrasia kiasi gani,,atakupoteza tu,na hii iko dunia nzima..
Kama anakujalia uzima utagundua ukweli na ukweli utakuweka huru.π€£π€£π€£π€£ Nyie vijana mliozaliwa 2000s mna maneno sana.....π€£π€£π€£π€£
Kabisa mkuu.Huyo kaziliwa miaka ya 2000s hajui kitu. Hawafahamu hawa.
ongea utakavyoweza, ila kamwe huwezi fananisha wakt wa kikwete na magufuli, ni sawa na kufananisha moto wa kibatari na moto wa gesi..Huwa nawatafakari sana Watanzania wa kizazi hiki wanaoimba kikwete alikuwa anapenda demokrasia. Najiuliza je Dr. Ulimboka au Mwangosi naye anasema hivyo hivyo Marehemu huyu?
Najiuliza waliouawa kwenye chaguzi ya Igunga nao wanasema hivyo hivyo au lile bomu lililolipuliwa kule Arusha kwenye Mkutano wa Chadema? Akina Alphonse Mawazo nao wanakubaliana na hoja hii?
Haya yalitokea katika Utawala wa kikwete. Kumwagiwa Tindi Kali na Kinusurika kuuawa Dr. Ulimboka baada ya kutupwa katika Msitu wa Mabwe pande.
Katika miaka kadhaa Tanzania haikuwahi kuwa salama. Isipokuwa Watanzania ni wanafiki kwa kiwango kikubwa. Kwani ni lini kauli za kuanza kusema Chadema itakufa zilianzishwa?
Kwani Dkt. Slaa na mkewe walipopigwa na kuvunjwa mkono Dr. Slaa ilikuwa lini? Mpaka Dr. Slaa kununuliwa kusaliti wapinzani ilikuwa Utawala upi?
Yaani tumesahau Richmond,Iptl,Tegeta Escrow na kashfa nyingi za kutisha? Madawa ya kulevya na ufisadi mkubwa na kisha Rais kuja sema wahusika wakikamatwa nchi itayumba akicheka mbele za umma wa watanzania?
Watanzania ni wanafiki kwa kiasi kikubwa sana. Ni watu wa kuogopwa sana. Kilichomfanya kikwete aonekane ni bora pia ni unafik wake wa kuweza kuuma na kupuliza.
Dkt. Magufuli hakuweza kupuliza. Aliuma na kuacha maumivu yaendelee kubak. Utawala wake ulikuwa ni ule ule wa Ubabe akilazimisha alichoamini kuwa ni maendeleo. Hakutaka kupingwa.
Jamani tumesahau Makonda alipewa zawadi ya Ukuu wa Wilaya baada ya kufanya kitendo gani cha kishujaa? Uhuni uliofanyika katika mchakato hewa wa Katiba na Mabilion ya pesa yaliyotumika?
Tunasahau kwa kuwa angalau wapinzania walikuwa wakipewa poshi kutulizwa n.k akina Zitto Kabwe na Mbowe mara kadhaa walipokuwa wakimbana sana kikwete alikuwa anaonana nao wanayamaliza.
Magufuli alikuwa hashirikiani nao katika misingi hiyo. Aligoma hata aliposhauriwa kuwa awe anaonana nao "kuwatoa kiaina" yeye aliwatenga kabisa. Hapa alikosea.
Leo hii ungewachukua akina Dr. Ulimboka, akina Mwangosi n.k ukawaambia Kikwete alikuwa mwanademokrasia wataangua kilio kikubwa. Aliyetuhumia kuhusika na hujuma ile ya Dr. Mwangosi alisemekana kuwa Ikulu. Hakushtakiwa akapewa zawadi ya Cheo.
Hili wanasiasa wengi hawazungumzi sababu Dr. Mwangosi hakuwa mwanasiasa. Kumbe angekuwa mwanasiasa angekuwa Tundu Lissu wa miaka ile. Tumesahau Madawa ya kulevya yalivyokuwa moja ya biashara kubwa nchini. Na vijana wetu wengi kuharibika mitaani wakiwemo wasanii.
Watanzania tutabadilisha nchi ikiwa tutaacha unafiki na kuamua kwa dhati kupambana na tawala zote dhalimu. Tupambane Katiba iweze tenga Nguvu kubwa wanayopewa marais juu ya kila sheria na kila mtu kufanya wapendavyo.
Tukiendelea na ubinafsi kuangalia watu kimaslahi, kidini na kikabila. Kila mwaka tutagawanyika kwa misingi hiyo na maadui watatutawala. Kama tutaendelea kusema moyoni huyu ni wa kwetu sisi. Nchi hii itasimama hapa huku wabunge wakitaka waongezewe mishahara bila woga kabisa.
Mimi nmeasi chama. Nmebaki na Utanzania wangu. Tumeona madhara ya kuwa na Katiba Mbovu sasa tuililie katiba mpya. Tunaweza jisahau kwa kulambishwa asali wakati tunaumwa Kansa na mguu unaoza. Tutapewa dawa ya usingizi tukija shtuka mwili wote umeoza kwa kansa.
Na aliyempitisha Urais Magufuli ni nani? ππππongea utakavyoweza, ila kamwe huwezi fananisha wakt wa kikwete na magufuli, ni sawa na kufananisha moto wa kibatari na moto wa gesi..
tiisiiiNa aliyempitisha Urais Magufuli ni nani? ππππ
Tena huyu ndio muasisi wa yote haya katuachia uozo mkubwa. Japo ukimlinganisha na hawa kenge maji he is far better. But trust me we have been brainwashed for decades kuhusu JKN. Dig deep na ruhusu akili yako kuwa flexible and elastic utagundua.Wakukumbukwa na kuenziwa nchi hii ni Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere tu, hao wengine wote wametuingiza kwenye matabaka mabaya kabisa, hebu msikilize kwa makini Chipukizi huyu, he was the only President I can dare to call Hero of the Nation
Nyerere aliitwa Ndugu
Ule wa kinafiki sijui wa azory gwanda , Ben saa nane wako wapiNajua uzi kama huu unaisimamia Tanzania Huru watu wengi hawaupendi.