Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Adha za ukitombatombina ndiyo hizo, unaishi kwa machale kama spy la mosad kudadadek!Jana night nikatoka na chaguo la moyo tubadili hata dinner tuupumzishe ugali dagaa kidogo, hao tukaenda kiwanja fulani jina kapuni kwa ajili ya kulinda brand.
Tukiwa tunaingia pale tunaangalia wapi pa kukaa ukizingatia ni sikukuu watu ni wengi karibia kila meza imejaa wadau, ghafla mbele yetu nashangaa kuna ke wawili wanatuangalia sana, kutupa jicho vizuri mmoja wao nikamtambua ni dear Ex ambae wiki iliyopita tulikutana kwenye usafiri tukaishia kukodoleana macho tu. Huyu alinileteaga habari za kutaka kunipanda kichwani nikampotezea baada ya muda akanitumia ujumbe anaolewa nisimtafute, hata sikuhangaika kumjibu kitu kwa sababu tangu tutengane sikuwahi kumtafuta, baada ya muda alitaka kurudi ila sikumpa nafasi.
Alichokifanya ndio nilikiona kituko, sijui alikuwa anathaminisha kama huyu nilienae sasa kamzidi au la, alimuangalia ke wangu juu mpaka chini, zaidi ya mara tatu huku akijiangalia nayeye akiteta jambo na dada aliekuwa nae huku wakiniangalia pia. Sikutaka ke wangu ahisi chochote kama tunafahamiana kwahiyo nilitulia nikaona nafasi ya kukaa nikamshika mamtu mkono hao tukaenda kukaa kungoja huduma.
Sijui walidhamiria nini tulivyokaa tu nao wakaja kusimama jirani na meza tuliyokuwa huku bado akimuangalia sana ke wangu mpaka akaniuliza mbona hao wadada wanatuangalia sana hadi naogopa unafahamiana nao? nikajibu siwajui huenda washalewa sisi tuhusike na yetu upo na mimi usiogope chochote atafuliwa mtu bila sabuni akitaka kuleta shido, akacheka nikamwambia yes napenda ukiwa na furaha na chanzo cha furaha yako kikiwa ni mimi napenda zaidi(maneno mazuri na matam hapa ndio pake), uzuri huwa ananielewa situmii nguvu kubwa kumuaminisha jambo.
Kichwani najiuliza maswali bila majibu hivi huyu nguchiro anataka nini? Mbona anatuangalia sana anaplan gani asije akaleta shida maana wanawake wembamba kwa kupenda ugomvi na kalivyo na kamdomo asijeakatuvurugia usiku wetu. Nikajisemea tu athubutu aone, tukala tukamaliza tukaondoka zetu salama.
Mishale ya saa 7 kasoro usiku ikaingia text no ngeni inayosomeka "sawa bhana si unajifanya mjanja na huyo kiumbe wako " nikaifuta chap kuepusha mengineyo. Hapa atafululiza kunitafuta kwa kila namna mpaka aniharibie, sijui ni kashirikina haka kamshale.
Duh!! Ungemwacha ale tu basi?!!👿Dah Mimi jana yamenikuta vimbao mbao kama huyo Alafu mfupi
Uwa anapenda nimpe Hela kuja getto hataki, bhasi jana kaja anataka nimpe 50k nikamwambia poa
Bhasi kumgusa hataki kanuna anataka nimpe Hela hasepe yeye anawai kwao kachelewa
Mungu si Athumani mama house akaniletea Pilau na nyama nyingi sanaa (Iddi Jana) nafunua analiona gafla akachangamka siyo yule tena
Nikasema anijui ngoja, akataka kuchukua nyama nikamwambia fanya uondoke uwah unakoenda
Bhana kaondoka punde mitusi kwa meseji, Hela sikumpa na pilau la Maza house hakula
Sijui nilitoka nacho wapi mkuu hiki kiswaswadundiyo tatizo la kudate na kiswaswadu mpaka umalizane naye inabidi uwe kauzu kweli..
Huyo mimi simrudii hata iweje na sitaki mazoea nae, huwa naonana nae mara kwa mara maana njia yetu ya kuelekea job ni moja ila huwa sitaki mazoea nae kabisa, ana mdomo huyo sio kawaida.Adha za ukitombatombina ndiyo hizo, unaishi kwa machale kama spy la mosad kudadadek!
Mtalaka wa uhawara ama mtalaka wa ndoa hapendi kukuona upo katika mahusiano mapya na mtu mrembo kumzidi yeye, ni wivu tu huo anaumia, hakuna kingine.
Na kama kususa, susia kweli, ukilegeza msimamo wako umekwisha.
Ndiyo maana wimbo wa Marioo wa Dear X naupenda sana kuusikiliza, hasa ubeti usemao 'kipi bora kurudiana na x wako ama kufa, bora kufa'.
😂 ila we kauzu msosi sio wa kumnyima mtu au kisa kakunyima kile chakula kingine.Dah Mimi jana yamenikuta vimbao mbao kama huyo Alafu mfupi
Uwa anapenda nimpe Hela kuja getto hataki, bhasi jana kaja anataka nimpe 50k nikamwambia poa
Bhasi kumgusa hataki kanuna anataka nimpe Hela hasepe yeye anawai kwao kachelewa
Mungu si Athumani mama house akaniletea Pilau na nyama nyingi sanaa (Iddi Jana) nafunua analiona gafla akachangamka siyo yule tena
Nikasema anijui ngoja, akataka kuchukua nyama nikamwambia fanya uondoke uwah unakoenda
Bhana kaondoka punde mitusi kwa meseji, Hela sikumpa na pilau la Maza house hakula
Ile nguchiro huwa ina makasiriko sana, sijui kuna uhusiano gani kati ya ke wembamba na vijitabia fulani vya hovyo. Alinishangaza alivyokuwa anamuangalia mwenzie kama vile anamkagua juu mpaka chini.Nguchiro alikua ametulia zake tu😂
Hakika
Huyo nguchiro anakupenda sana,ila kichwa cha moto kinamambo mengi sana,hua niwatu bing’ang’anizi snJana night nikatoka na chaguo la moyo tubadili hata dinner tuupumzishe ugali dagaa kidogo, hao tukaenda kiwanja fulani jina kapuni kwa ajili ya kulinda brand.
Tukiwa tunaingia pale tunaangalia wapi pa kukaa ukizingatia ni sikukuu watu ni wengi karibia kila meza imejaa wadau, ghafla mbele yetu nashangaa kuna ke wawili wanatuangalia sana, kutupa jicho vizuri mmoja wao nikamtambua ni dear Ex ambae wiki iliyopita tulikutana kwenye usafiri tukaishia kukodoleana macho tu. Huyu alinileteaga habari za kutaka kunipanda kichwani nikampotezea baada ya muda akanitumia ujumbe anaolewa nisimtafute, hata sikuhangaika kumjibu kitu kwa sababu tangu tutengane sikuwahi kumtafuta, baada ya muda alitaka kurudi ila sikumpa nafasi.
Alichokifanya ndio nilikiona kituko, sijui alikuwa anathaminisha kama huyu nilienae sasa kamzidi au la, alimuangalia ke wangu juu mpaka chini, zaidi ya mara tatu huku akijiangalia nayeye akiteta jambo na dada aliekuwa nae huku wakiniangalia pia. Sikutaka ke wangu ahisi chochote kama tunafahamiana kwahiyo nilitulia nikaona nafasi ya kukaa nikamshika mamtu mkono hao tukaenda kukaa kungoja huduma.
Sijui walidhamiria nini tulivyokaa tu nao wakaja kusimama jirani na meza tuliyokuwa huku bado akimuangalia sana ke wangu mpaka akaniuliza mbona hao wadada wanatuangalia sana hadi naogopa unafahamiana nao? nikajibu siwajui huenda washalewa sisi tuhusike na yetu upo na mimi usiogope chochote atafuliwa mtu bila sabuni akitaka kuleta shido, akacheka nikamwambia yes napenda ukiwa na furaha na chanzo cha furaha yako kikiwa ni mimi napenda zaidi(maneno mazuri na matam hapa ndio pake), uzuri huwa ananielewa situmii nguvu kubwa kumuaminisha jambo.
Kichwani najiuliza maswali bila majibu hivi huyu nguchiro anataka nini? Mbona anatuangalia sana anaplan gani asije akaleta shida maana wanawake wembamba kwa kupenda ugomvi na kalivyo na kamdomo asijeakatuvurugia usiku wetu. Nikajisemea tu athubutu aone, tukala tukamaliza tukaondoka zetu salama.
Mishale ya saa 7 kasoro usiku ikaingia text no ngeni inayosomeka "sawa bhana si unajifanya mjanja na huyo kiumbe wako " nikaifuta chap kuepusha mengineyo. Hapa atafululiza kunitafuta kwa kila namna mpaka aniharibie, sijui ni kashirikina haka kamshale.
Alishanipoteza mkuu huwa sihangaiki na mtu niliekwisha achana naeHuyo nguchiro anakupenda sana,ila kichwa cha moto kinamambo mengi sana,hua niwatu bing’ang’anizi sn
Ndio bro mamtu mwenyewe hana makuu
Pengine angesshiba angeanza kusaula viwalo mwenyewe jamaa kazingua sana.Duh!! Ungemwacha ale tu basi?!!👿