The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
KashesheWa malengo hutamjua
Watu hubadilika hata kama kuna cheti
Mrejesho mpk sasa ni bila bila hatusemeshani ila yeye yuko active kwenye kusubiri nachopost kisha aweke like ku comments hataki basi na mimi nahitaji kuwa na picha ambazo najua nikipost lazima ata like πππMleta maada runaomba mrejesho π
Nampendamilele
Sasa umeiva bintiMrejesho mpk sasa ni bila bila hatusemeshani ila yeye yuko active kwenye kusubiri nachopost kisha aweke like ku comments hataki basi na mimi nahitaji kuwa na picha ambazo najua nikipost lazima ata like πππ
Uvumilivu umemshinda ameamua ku comment kwenye picha yangu tangu jana sijamjibu nawaza nisije kumjibu akanibluetick iniume πSasa umeiva binti
Enjoy life
Hivi akishapatikana wa malengo hizo backup zinakaa upande gani??Backup huwa hakosekani lakini mimi nataka wa malengo
Ila sasa hivi kutomban@ imekuwa rahisi sanaaaNina penzi jipya
Women V/S AccountabilityKusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye
Vita ngumu sana hiiiWomen V/S Accountability
TukisemA backup ni watu tumewaweka kwenye friend zone yaani hatuwaambi hatuwataki wala kuwatakaHivi akishapatikana wa malengo hizo backup zinakaa upande gani??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kila penzi sio la hivyoIla sasa hivi kutomban@ imekuwa rahisi sanaaa
#YNWA
#YANGA_BINGWA
KivipiWomen V/S Accountability
Subiri siku 3 af ndo ujibuUvumilivu umemshinda ameamua ku comment kwenye picha yangu tangu jana sijamjibu nawaza nisije kumjibu akanibluetick iniume π
Bila comment hii ningeendelea kujua mlengwa ni Mimi. Nashukuru sana.Uvumilivu umemshinda ameamua ku comment kwenye picha yangu tangu jana sijamjibu nawaza nisije kumjibu akanibluetick iniume π
My dear kwani hukuwa na backup?Habari za usiku
Mimi napitia changamoto ya kimahusiano. Tumenyamaziana na mwanaume niliyekuwa na mahusiano hii ni week ya 4.
Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa na vitu alipaswa kuniambia (siwezi kuviweka hapa maana mhusika anaweza kuwa humu)
Nilijipa siku 3 za kujipendekeza kumtafuta kila siku ni mimi naanza nilivyomaliza hizo siku 3 nikauchuna; huwezi amini na yeye akakaa kimya ni ku-view status na ku-like. Hakuna kuongeleshana
Sihitaji kumtafuta.. na kama hatonitafuta nitafanya maisha yangu
Sasa nauliza; tumeshakaa mwezi hatuongeleshani - je naweza kuanzisha mahusiano mapya au bado mapema?
Kwani ndo mwanaume wako wa kwanza?Habari za usiku

Mtafute Joseph Mrindoko (Mchokonozi) atakupa ushauri mzuri, baada ya kumsikiliza clip zake kadhaa,leo ndo nimejua kuna makundi tofauti tofauti kati ya mwanaume na mwanamke na namna ya ku deal naoHabari za usiku
Mimi napitia changamoto ya kimahusiano. Tumenyamaziana na mwanaume niliyekuwa na mahusiano hii ni week ya 4.
Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa na vitu alipaswa kuniambia (siwezi kuviweka hapa maana mhusika anaweza kuwa humu)
Nilijipa siku 3 za kujipendekeza kumtafuta kila siku ni mimi naanza nilivyomaliza hizo siku 3 nikauchuna; huwezi amini na yeye akakaa kimya ni ku-view status na ku-like. Hakuna kuongeleshana
Sihitaji kumtafuta.. na kama hatonitafuta nitafanya maisha yangu
Sasa nauliza; tumeshakaa mwezi hatuongeleshani - je naweza kuanzisha mahusiano mapya au bado mapema?
Ndo mwanaume wako wa kwanza???Mrejesho mpk sasa ni bila bila hatusemeshani ila yeye yuko active kwenye kusubiri nachopost kisha aweke like ku comments hataki basi na mimi nahitaji kuwa na picha ambazo najua nikipost lazima ata like πππ
Achana nae fanya mambo yakoKuna kitu kilitokea mkuu then hajakisolve wala kusema chochote a naongea na mimi kama vile Hakuna kilichotokea
Mimi kumtafutaa ni kama kujipendekeza ni kama hanitaki tu
I'd yake yenyewe inaonyesha kuwa ni mlokole ππUnaonekana ni mnyonge wake mkuu. Wenzako wasiojali wangeshafuta hadi namba.