Mimi sipo kwenye hilo kundi.. mimi huwa namtafuta bila kujiuliza ni mara ngapi amefanya hivoMademu bwana mingo zenu huwa mnazijua wenyewe.
Sasa naamini kuwa hii ndio mentality ya wanawake wengi.
Honestly nipo kwenye situation kama hiyo na manzi mmoja. Analaumu kuwa kila siku yeye ndiye anayeanza kutuma meseji.
Anajihisi kuwa anajipendekeza na kwamba upendo umeoungua au hisia zimeisha.
Lakini kikawaida mimi nisipokuwa na chakusema huwa sisemi (hii najizungumzia mimi)
Kuanza tu kupiga simu au kutuma meseji sijui "mambo, niaje, uko poa" bila kuwa na maada muhimu ya kufanya mazungumzo yawe na tija, kiukweli siwezi.
Na sio kwamba nafanya hivyo labda nimemchoka, hapana.
Saizi tuko katika ulimwengu ambao shughuli zetu za kutafuta kipato zinaweza kukunyima fursa ya kushika simu muda mrefu.
Sasa mimi naweza kuwa niko na free time lakini kusema nimtumie mtu meseji yenye lengo la kupiga stori, kiukweli huwa napata tabu ku imagine kuwa muda huu utakuwa ni muda rafiki kwa huyo mtu kuweza kushika simu kwa conversation ambayo haihusiani na mchongo wa hela au jambo lolote la kidharura?
Lakini nilichokuja kubaini ni kwamba, wanawake wanapenda ku cope lifestyle za mahusiano za mashosti zao.
Unakuta yeye anaona mashosti wake wako bize kutumiana meseji na boyfriends zao, emojis za kutosha basi na yeye anatamani na kuona kama style hiyo ndio ishara ya upendo.
Halafu mara kadhaa ambayo nimekuwa katika stori naye, unakuta yeye tena ndio anabaki kuwa msikilizaji, hachangii chochote anabaki tu kuitikia tu.
Nyie ndio mnafanya nyuzi za kuomba ushauri na msaada wadau kuzifanyia mizaha.PUMBAVUWho is gay??
Chini ya 25 yrs haya ndio maswali yao na wanapenda balaa umri huo.Una miaka mingapi?
Kwa kweli.Maisha yalivyo race sidhani hata kama unahitaji kumrudia..!!
Fanya maisha yako, huyo hakupendi ni vile umechelewa kujua hilo..!!
Mimi sipo huko ila kuna namna imetokea imebidi nisubiri kutafutwaKama ukiona bado upo kwenye mawazo ya nikianza kumtext au kumpigia itakua/itaonekana najipendekeza basi wewe/Muachane rudini kwenu mkakue
MmhNyie ndio mnafanya nyuzi za kuomba ushauri na msaada wadau kuzifanyia mizaha.PUMBAVU
Kumekuchaaaaaaa!!!Wewe ni Me ama Ke???
Wakuu salama humu, moya kwa moya kwenye mada
Kuna manzi nilikuwa nae nilikuwa nikimpenda sana akaja niache kwasababu ambazo mpaka sasa hazielezeki, maana sikumfumania wala hakunifumania ni ugomvi ugomvi na wivu niliokuwa nae kwake
Huyu manzi ni mzurii kati ya mademu zangu wote niliokuwa Nao hata nilienae sasa. Na sasa ndio kazidi kuwa mzurii sana, nilikula mara 1 akanasa ujauzito ila Sielewii kama alitoa ama ulitoka.. tuligombana sana ukizingatia nilikuwa nahitaji mtoto nae na nilijua akinizalia tu anakuwa wangu daima hilo swala lilishindikana kwangu halina shida
Sasa wakuu huyu manzi...
- Nampendamilele
- Replies: 17
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Post in thread 'Vita ya kunyamaziana kwenye mahusiano' Vita ya kunyamaziana kwenye mahusiano
Huyu ni mwenzio cocaKumekuchaaaaaaa!!!
Naunga mkono hoja.Kama ukiona bado upo kwenye mawazo ya nikianza kumtext au kumpigia itakua/itaonekana najipendekeza basi wewe/Muachane rudini kwenu mkakue
Kivipiii? πππππHuyu ni mwenzio coca
Mwaka juzi alikuwa na demu, mwaka huu bwana kamuachaKivipiii? πππππ
πππππMwaka juzi alikuwa na demu, mwaka huu bwana kamuacha
Ukweli mchunguMaisha yalivyo race sidhani hata kama unahitaji kumrudia..!!
Fanya maisha yako, huyo hakupendi ni vile umechelewa kujua hilo..!!
Yeah as I said rudi kwenu ukakue damsel.. no offenseMimi sipo huko ila kuna namna imetokea imebidi nisubiri kutafutwa
Nipo kweli, wewe nianike tuHabari za usiku
(siwezi kuviweka hapa maana muhusika anaweza kuwa humu )