Tumeshapata pa kuanzia kuhusu ghorofa kuanguka Kariakoo

Kwa mtu aliye elimika lazima uwe na 'definition' yako; ndio maana huwa tuna 'criticize definitions' za wengine na kuja na zetu; na wewe unatakiwa uni 'criticize' uje na ya kwako, na si kukariri za wengine.​
Mbona hii lugha ya Kiswahili na hizi herufi hujaja na lugha ya kwako na herufi zako, mbona unatumia lugha na herufi na maneno ya wengine au ni kwenye definition tu? Na mlikubaliana na nani hivyo?
 
Ulishawahi kujiuliza, kwa nini wakoloni walituletea imani ya kidini?
 
Mbona hii lugha ya Kiswahili na hizi herufi hujaja na lugha ya kwako na herufi zako, mbona unatumia lugha na herufi na maneno ya wengine au ni kwenye definition tu? Na mlikubaliana na nani hivyo?
Hii inaweza kuwa ni sababu, kwa nini vyuo vikuu vingi duniani vinatumia vitabu vya waandishi kutoka huko ulimwenuguni kama rejea.
 
Mwisho na yy akajitabiria hahaa wafuasi mnaraha nyie wazee wa miujiza
 
Achana na imani za matambiko iliyokuwepo na baadaye kufutika kutokana na tamaduni za kigeni; je hizi walizoleta wakoloni walikuwa na malengo yapi?
Wakoloni hawakuleta dini, Christianity mfano, ililetwa na wamisionari. Wakoloni ni wale waliokuwa na mamlaka ya kiutawala (had political/military power). Missionaries did not have political or military power. They didn't report to any political or military power/authority.
 
Nikijaribu kukumbuka historia, kuja kwa wamisionari ilikuwa ni kusafisha njia ya kuja kwa wakoloni.

Ilikuwa ni kupunguza ugumu wa kutokutawalika, kwa kuwajengea hofu, ndio maana wanasema ukipigwa shavu la kushoto, mgeuzie na la kulia.

Maana yake uwe mpole kwa lolote.

Swali; ulishawahi kunyoosha mkono juu ukiwa kwenye nyumba ya ibada na ukauliza kuhusu mapato na matumizi ya sadaka?​
 
Hapana, kwa sababu malengo yao yalikuwa tofauti. Kama lengo lao lingekuwa moja, baada ya nchi za Afrika kupata uhuru wamisionari nao wangeondoka. Kwa nini wao walibaki, kama mission yao ilikuwa moja? Si wakuu wao kiutawala wangewaamuru warudi makwao?
 
Sasa kama kaonyeshwa hivyo kosa lake liko wapi: kuonyesha jinsi jambo fulani litakavyotokea au kusema kwamba kaonyeshwa litatokea hivyo? Kama kutabiri ni vibaya, unasema nini kuhusu utabiri wa hali ya hewa?
Huyu hajatabiri wala nini. Amesikika kusema ameona jengo amelitaja na jina na wapi lilipo. Tutofautishe kuona na kutabiri. Tungesema ametahadharisha.
 
Ukristo ni usanii
 
Hiyo video usikute ni baada ya tukio akajirekodi chap na kuiweka mtandaoni na huku wajinga wana isambaza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…