Mbona hii lugha ya Kiswahili na hizi herufi hujaja na lugha ya kwako na herufi zako, mbona unatumia lugha na herufi na maneno ya wengine au ni kwenye definition tu? Na mlikubaliana na nani hivyo?Kwa mtu aliye elimika lazima uwe na 'definition' yako; ndio maana huwa tuna 'criticize definitions' za wengine na kuja na zetu; na wewe unatakiwa uni 'criticize' uje na ya kwako, na si kukariri za wengine.