Tumeudharau ugonjwa wa Corona kwa kukosa Maarifa na itakuwa inaondoa mmoja mmoja?

Tumeudharau ugonjwa wa Corona kwa kukosa Maarifa na itakuwa inaondoa mmoja mmoja?

Na embu nambie kwan wimb la pili na la tatu si limekuja baada ya watu kuchukua tahadhari, mbona halijabadili chochote. Au ndo kama ukishawah ndo umewahi ukichelewa hata ufanye nn dude haliwez kudhibitiwa?
wimbi la pili limekuja baada ya kupungua kwa wimbi la kwanza na mataifa mengi kulegeza masharti.
Hii concern ilikuwa highlated na US,hata WHO walitoa warning kuwa gonjwa lilikuwa halijaisha bado.

however kuna nchi bado zilendelea kuchukua hatua na kuwa makini kwenye udhubiti. hizo nchi hapo juu hazikulegeza masharti wkt wimbi la kwanza limeanza lupungua.
is why wanafanya vizuri mpaka sasa.
 
Njia nyepesi ya kujua athari kwetu ni kujiuliza, ww umeshakufa??? Ukijua hilo ndo utaelewa.
hiyo njia sio scientific. kujiuliza kuwa ww umekufa hiyo sio relevant question.
Scientific way including kuchukua idadi, upimaji,contact tracing.

Mfano: tusingejua maambukizi ya ukimwi nchini yanaongezeka ama kupungua, mikoa ipi maambukizi yako juu au chini.
ingekuwa unakaa kujiuliza kama umekufa ndio ipime effective ya HIV ungekuwa ni ujinga wa kiwango cha lami.
 
Watu wanaovaa barakoa wanajikuta wao ndio wenye uelewa na exposure sana!...,sawa tumekuelewa
Amani iwe kwenu wapendwa katika bwana.

Wakati tukiendelea kuomboleza msiba wa Jemedari wetu Dkt Magufuli, tuna kila sababu ya kutafakari sana kama taifa. Haiwezekani tupoteze watu maarufu na wakubwa hapa nchini kwa kipindi kimoja, sababu ya kupoteza hawa viongozi zinatajwa kuwa ni chronic illnesses. Je, tunasahu kua huyu Kovidi ndio anawaondoa wenye Chronic illnesses? Kuna hata mmoja tuliyeambiwa kafa kwa Covid-19? Tutajuaje wakati halisemwi hili ni siri?

Ni kweli Mungu hupanga vifo lakini kwanza vifo hutangulia na sababu ndipo Mungu atume malaika wake kuja kubeba roho zetu. Tulipewa maarifa tuyatumie kupambana na mazingira lakini sasa huenda mazingira ndio yanatuzidi maarifa tunabaki na vilio kila kukicha.

Hivi tungekuwa strict kujikinga na COVID-19 100% tukachukua tahadhari katika kila kipengele kwa mujibu wa maelekezo ya wataalam na WHO mnafikiri leo hii tungekua na hamaki kila mitaa tunakopita au taifa sasahivi lingekuwa na utulivu wa aina gani?

Kuchukua tahadhari siyo lazima Lockdown wala si chanjo ya Mabeberu. Tahadhari tuliyokuwa nayo mwaka jana ilitosha sana kupunguza maambukizi na wala leo tusingekua na hamaki mitaani.
Tumepuuzia hili, timekimbizana kwenye njia za kienyeji au asili ambazo ni njia za pata potea kuliko za kitaalam. Tumeshindwa kuyatumia maarifa ipasavyo hii hali itatutesa sana.

Mwisho nawatakieni mwisho mwema wa wiki, tuchukue tahadhari binafsi kwa kujali afya zetu na familia zetu. Apumzike kwa amani Jemedari wetu JPM.[emoji120][emoji120]
 
Huwezi uka compare wao na kwetu.
wao wanahesabu sisi hatuhesabu. there is not actual comparison.
heard immunity haifanyi kazi kwa magonjwa yote. sweden na india zikiwa ni moja ya nchi ambao walitaka kufanya hii kitu.
leo hii wanapumulia mashine.

current world statistics inaonyesha maambukizi kushuka kwa kasi. kuliko mwanzoni ambapo hakukuwa na suluhisho lolote.
mkuu nipe idadi ya either ndugu au jirani zako waliovuta kipindi ichi cha korona
 
mkuu nipe idadi ya either ndugu au jirani zako waliovuta kipindi ichi cha korona
hahah yale yale maswali.
nipe idadi ya ndugu zako. irrelevant questions om serious matter.
while nisingependa ku desclose information za watu wangu wa karibu.
partialy tu ni kuwa si chini ya wanne. confirmed from doctors na maziko nilishiriki.
 
We kisister una mihasira sanaa na shujaa wa Afrika hebu katunze ndoa yako, labda nawewe umeshiriki.
Teteee!! tee! Hashimu mvumilieni mnaya yaona.ndo maisha!! Sasa nishiriki wkt mtu mwenyewe yule alikuwa walking dead body jamani heee!!

Mmeficha weee!! Mkaweka watu ndani bureeee!!! Mnaona??? Mjifunzegeeee poleni kwa machungu ila kosa mliruhusu kuwa ndani ya wapinzani.
 
Hii corona inaua watu wa upande Fulani tu,ule upande mwingine walaaaa..hivi covid ina ubaguzi sana
 
Teteee!! tee! Hashimu mvumilieni mnaya yaona.ndo maisha!! Sasa nishiriki wkt mtu mwenyewe yule alikuwa walking dead body jamani heee!!

Mmeficha weee!! Mkaweka watu ndani bureeee!!! Mnaona??? Mjifunzegeeee poleni kwa machungu ila kosa mliruhusu kuwa ndani ya wapinzani.
Wewe ndio dead body kwani ww huna virus humo ndani yako
 
Amani iwe kwenu wapendwa katika bwana.

Wakati tukiendelea kuomboleza msiba wa Jemedari wetu Dkt Magufuli, tuna kila sababu ya kutafakari sana kama taifa. Haiwezekani tupoteze watu maarufu na wakubwa hapa nchini kwa kipindi kimoja, sababu ya kupoteza hawa viongozi zinatajwa kuwa ni chronic illnesses. Je, tunasahu kua huyu Kovidi ndio anawaondoa wenye Chronic illnesses? Kuna hata mmoja tuliyeambiwa kafa kwa Covid-19? Tutajuaje wakati halisemwi hili ni siri?

Ni kweli Mungu hupanga vifo lakini kwanza vifo hutangulia na sababu ndipo Mungu atume malaika wake kuja kubeba roho zetu. Tulipewa maarifa tuyatumie kupambana na mazingira lakini sasa huenda mazingira ndio yanatuzidi maarifa tunabaki na vilio kila kukicha.

Hivi tungekuwa strict kujikinga na COVID-19 100% tukachukua tahadhari katika kila kipengele kwa mujibu wa maelekezo ya wataalam na WHO mnafikiri leo hii tungekua na hamaki kila mitaa tunakopita au taifa sasahivi lingekuwa na utulivu wa aina gani?

Kuchukua tahadhari siyo lazima Lockdown wala si chanjo ya Mabeberu. Tahadhari tuliyokuwa nayo mwaka jana ilitosha sana kupunguza maambukizi na wala leo tusingekua na hamaki mitaani.
Tumepuuzia hili, timekimbizana kwenye njia za kienyeji au asili ambazo ni njia za pata potea kuliko za kitaalam. Tumeshindwa kuyatumia maarifa ipasavyo hii hali itatutesa sana.

Mwisho nawatakieni mwisho mwema wa wiki, tuchukue tahadhari binafsi kwa kujali afya zetu na familia zetu. Apumzike kwa amani Jemedari wetu JPM.[emoji120][emoji120]
Kwani kuna Siku umewahi sikia Watu hawafi. Kabla haujazaliwa Watu walikuwa wanakufa na Wanazaliwa wengine.
Ugonjwa wenyewe ukute upo lakini kinachoua ni Hofu tuu, si Ugonjwa Wenyewe.
 
Wewe ndio dead body kwani ww huna virus humo ndani yako
Sina virus kabisa na wala sitakuwa navyo Mkuu! mim ni super human being tumeshushwa angalia nilivo mzuri wa sura. Hapo hujaona roho.

Uzuri tunajijua hata Malaika wanatufurahia. Yaani sawa na mtoto ndogo akiona mdada mrembo km mie lazima atulie tuli anataka bebwa jrb uone warembo hatufokewi kamwe. Na mme rijali chunguzaajeshini.shuleni humo kazini yaani...

Ukiona mme km wewe anatukana mrembo jua hanith huyo anata nikae mbali nae. Na mko wachache humu!
 
hahah yale yale maswali.
nipe idadi ya ndugu zako. irrelevant questions om serious matter.
while nisingependa ku desclose information za watu wangu wa karibu.
partialy tu ni kuwa si chini ya wanne. confirmed from doctors na maziko nilishiriki.
am very sorry indeed kama ni kweli ukweli kufa ni lazima hata zamu zetu zitafika. Ila usi generalize kwamba ndo Tanzania nzima
 
am very sorry indeed kama ni kweli ukweli kufa ni lazima hata zamu zetu zitafika. Ila usi generalize kwamba ndo Tanzania nzima
kuna mahali nimesema ni tanzania nzima?. And yes kufa kupo. Kuna msemo fear is not real,danger is very real.
 
Vip raisi wa sasa katangaza kama no basi hatuna

Wakalimani msitusumbue
 
Matanzania majinga sana ni wazi huyu mzee alikuw mgonjwa yakamsikiliza mgonjwa.

Hata kupendelea chato alikuwa anaumwa siyo yeye.ule ufanyaji kazi ilikuwa kesha kata net work...

Rais alikuwa mgonjwa mliongozwa na mgonjwa wa mwili na akili. Alikuwa halali yule kutwa kucha anahangaika na moyo. Ndo maana alikuwa na hasira mno.
Dodoma mmeburuzwa tu

Including you au wewe ni mmarekani,?
 
Atakaekufa ni yeye, sisi tunacholalamika ni gharama za kutembeza miili ya maraisi waliokufa

Fedha za kodi tunakamuliwa sisi eti.

Pesa si alikusanya yeye au[emoji23]
 
Back
Top Bottom