Freiston
JF-Expert Member
- Oct 25, 2020
- 302
- 340
Ndo tumeshavuka hii variant labda ije nyingineUviko ilichanganya hapo december, January, February saivi imetulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo tumeshavuka hii variant labda ije nyingineUviko ilichanganya hapo december, January, February saivi imetulia
wimbi la pili limekuja baada ya kupungua kwa wimbi la kwanza na mataifa mengi kulegeza masharti.Na embu nambie kwan wimb la pili na la tatu si limekuja baada ya watu kuchukua tahadhari, mbona halijabadili chochote. Au ndo kama ukishawah ndo umewahi ukichelewa hata ufanye nn dude haliwez kudhibitiwa?
hiyo njia sio scientific. kujiuliza kuwa ww umekufa hiyo sio relevant question.Njia nyepesi ya kujua athari kwetu ni kujiuliza, ww umeshakufa??? Ukijua hilo ndo utaelewa.
Amani iwe kwenu wapendwa katika bwana.
Wakati tukiendelea kuomboleza msiba wa Jemedari wetu Dkt Magufuli, tuna kila sababu ya kutafakari sana kama taifa. Haiwezekani tupoteze watu maarufu na wakubwa hapa nchini kwa kipindi kimoja, sababu ya kupoteza hawa viongozi zinatajwa kuwa ni chronic illnesses. Je, tunasahu kua huyu Kovidi ndio anawaondoa wenye Chronic illnesses? Kuna hata mmoja tuliyeambiwa kafa kwa Covid-19? Tutajuaje wakati halisemwi hili ni siri?
Ni kweli Mungu hupanga vifo lakini kwanza vifo hutangulia na sababu ndipo Mungu atume malaika wake kuja kubeba roho zetu. Tulipewa maarifa tuyatumie kupambana na mazingira lakini sasa huenda mazingira ndio yanatuzidi maarifa tunabaki na vilio kila kukicha.
Hivi tungekuwa strict kujikinga na COVID-19 100% tukachukua tahadhari katika kila kipengele kwa mujibu wa maelekezo ya wataalam na WHO mnafikiri leo hii tungekua na hamaki kila mitaa tunakopita au taifa sasahivi lingekuwa na utulivu wa aina gani?
Kuchukua tahadhari siyo lazima Lockdown wala si chanjo ya Mabeberu. Tahadhari tuliyokuwa nayo mwaka jana ilitosha sana kupunguza maambukizi na wala leo tusingekua na hamaki mitaani.
Tumepuuzia hili, timekimbizana kwenye njia za kienyeji au asili ambazo ni njia za pata potea kuliko za kitaalam. Tumeshindwa kuyatumia maarifa ipasavyo hii hali itatutesa sana.
Mwisho nawatakieni mwisho mwema wa wiki, tuchukue tahadhari binafsi kwa kujali afya zetu na familia zetu. Apumzike kwa amani Jemedari wetu JPM.[emoji120][emoji120]
mkuu nipe idadi ya either ndugu au jirani zako waliovuta kipindi ichi cha koronaHuwezi uka compare wao na kwetu.
wao wanahesabu sisi hatuhesabu. there is not actual comparison.
heard immunity haifanyi kazi kwa magonjwa yote. sweden na india zikiwa ni moja ya nchi ambao walitaka kufanya hii kitu.
leo hii wanapumulia mashine.
current world statistics inaonyesha maambukizi kushuka kwa kasi. kuliko mwanzoni ambapo hakukuwa na suluhisho lolote.
hahah yale yale maswali.mkuu nipe idadi ya either ndugu au jirani zako waliovuta kipindi ichi cha korona
Teteee!! tee! Hashimu mvumilieni mnaya yaona.ndo maisha!! Sasa nishiriki wkt mtu mwenyewe yule alikuwa walking dead body jamani heee!!We kisister una mihasira sanaa na shujaa wa Afrika hebu katunze ndoa yako, labda nawewe umeshiriki.
Wewe ndio dead body kwani ww huna virus humo ndani yakoTeteee!! tee! Hashimu mvumilieni mnaya yaona.ndo maisha!! Sasa nishiriki wkt mtu mwenyewe yule alikuwa walking dead body jamani heee!!
Mmeficha weee!! Mkaweka watu ndani bureeee!!! Mnaona??? Mjifunzegeeee poleni kwa machungu ila kosa mliruhusu kuwa ndani ya wapinzani.
Kwani kuna Siku umewahi sikia Watu hawafi. Kabla haujazaliwa Watu walikuwa wanakufa na Wanazaliwa wengine.Amani iwe kwenu wapendwa katika bwana.
Wakati tukiendelea kuomboleza msiba wa Jemedari wetu Dkt Magufuli, tuna kila sababu ya kutafakari sana kama taifa. Haiwezekani tupoteze watu maarufu na wakubwa hapa nchini kwa kipindi kimoja, sababu ya kupoteza hawa viongozi zinatajwa kuwa ni chronic illnesses. Je, tunasahu kua huyu Kovidi ndio anawaondoa wenye Chronic illnesses? Kuna hata mmoja tuliyeambiwa kafa kwa Covid-19? Tutajuaje wakati halisemwi hili ni siri?
Ni kweli Mungu hupanga vifo lakini kwanza vifo hutangulia na sababu ndipo Mungu atume malaika wake kuja kubeba roho zetu. Tulipewa maarifa tuyatumie kupambana na mazingira lakini sasa huenda mazingira ndio yanatuzidi maarifa tunabaki na vilio kila kukicha.
Hivi tungekuwa strict kujikinga na COVID-19 100% tukachukua tahadhari katika kila kipengele kwa mujibu wa maelekezo ya wataalam na WHO mnafikiri leo hii tungekua na hamaki kila mitaa tunakopita au taifa sasahivi lingekuwa na utulivu wa aina gani?
Kuchukua tahadhari siyo lazima Lockdown wala si chanjo ya Mabeberu. Tahadhari tuliyokuwa nayo mwaka jana ilitosha sana kupunguza maambukizi na wala leo tusingekua na hamaki mitaani.
Tumepuuzia hili, timekimbizana kwenye njia za kienyeji au asili ambazo ni njia za pata potea kuliko za kitaalam. Tumeshindwa kuyatumia maarifa ipasavyo hii hali itatutesa sana.
Mwisho nawatakieni mwisho mwema wa wiki, tuchukue tahadhari binafsi kwa kujali afya zetu na familia zetu. Apumzike kwa amani Jemedari wetu JPM.[emoji120][emoji120]
Sina virus kabisa na wala sitakuwa navyo Mkuu! mim ni super human being tumeshushwa angalia nilivo mzuri wa sura. Hapo hujaona roho.Wewe ndio dead body kwani ww huna virus humo ndani yako
am very sorry indeed kama ni kweli ukweli kufa ni lazima hata zamu zetu zitafika. Ila usi generalize kwamba ndo Tanzania nzimahahah yale yale maswali.
nipe idadi ya ndugu zako. irrelevant questions om serious matter.
while nisingependa ku desclose information za watu wangu wa karibu.
partialy tu ni kuwa si chini ya wanne. confirmed from doctors na maziko nilishiriki.
kuna mahali nimesema ni tanzania nzima?. And yes kufa kupo. Kuna msemo fear is not real,danger is very real.am very sorry indeed kama ni kweli ukweli kufa ni lazima hata zamu zetu zitafika. Ila usi generalize kwamba ndo Tanzania nzima
umepoteza rais, makamu wa kwanza wa rais, katibu mkuu kiongozi, mawaziri, wabunge... harafu unauliza takwimu?Kwani ambao wanafanya uliyo yapendekeza umecheki takwimu zao za vifo??
Mbona ww hujakauka mpk leo...
Matanzania majinga sana ni wazi huyu mzee alikuw mgonjwa yakamsikiliza mgonjwa.
Hata kupendelea chato alikuwa anaumwa siyo yeye.ule ufanyaji kazi ilikuwa kesha kata net work...
Rais alikuwa mgonjwa mliongozwa na mgonjwa wa mwili na akili. Alikuwa halali yule kutwa kucha anahangaika na moyo. Ndo maana alikuwa na hasira mno.
Dodoma mmeburuzwa tu
Atakaekufa ni yeye, sisi tunacholalamika ni gharama za kutembeza miili ya maraisi waliokufa
Fedha za kodi tunakamuliwa sisi eti.