DOKEZO Tumevunjiwa maeneo yetu ya biashara Tungi Mnadani - Kigamboni bila taarifa, tunaomba msaada wa Serikali

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Aisee watu mnapenda kukurupuka sana, hivi we Kwa akili Yako unahisi mtu aende avamie sehemu hajui ya nani aanze kufanya biashara Tena ya pesa kubwa?????
Hii sehemu ni ya ROSTAM AZIZI.
NA kama mmesoma vizuri hapo hatimiliki ni jina la ROSTAM AZIZI, na sisi yeye ROSTAM ndio alikabidhi hii sehemu kwetu. Baadae jirani na sehemu hii ya ROSTAM ambapo ndio tunafanyia biashara akawa amenunua World Oil. Mara ghafla akaja anatwambia hii sehemu tulipo pia ni ya kwakwe, swali hii sehemu inakuwaje ya kwakwe wakati alietukabidhi hapa ni ROSTAM AZIZI?????
Kuja kufuatilia tukaambiwa ROSTAM na world Oil wana mvutano, na ndo maana Huyu MMILIKI WA WORD OIL anasema hii sehemu ni yake tuondoke.

Sasa na sisi kama wafanyabiashara hatukutaka kero tukakubaliana nae atulipe fidia tuondoke yeye akamalizane na ROSTAM Sasa inakuwaje badala ya kutulipa yeye anatuma watu wabomoe?????
Siku nyingine muwe mnasoma na kuelewa sio mnakimbilia kusema msoyajua
ommytk
chiembe
Msigazi Mkulu
Yoda
Na wengine punguzeni ujuaji
Nchi watu wanapendwa kudeka mtu unaenda kuvamia eneo ambalo ujatoa kipande cha shilingi kununua alafu mmiliki yupo anakuja unataka akulipe ahahahaah
 
Aisee watu mnapenda kukurupuka sana, hivi we Kwa akili Yako unahisi mtu aende avamie sehemu hajui ya nani aanze kufanya biashara Tena ya pesa kubwa?????
Hii sehemu ni ya ROSTAM AZIZI.
NA kama mmesoma vizuri hapo hatimiliki ni jina la ROSTAM AZIZI, na sisi yeye ROSTAM ndio alikabidhi hii sehemu kwetu. Baadae jirani na sehemu hii ya ROSTAM ambapo ndio tunafanyia biashara akawa amenunua World Oil. Mara ghafla akaja anatwambia hii sehemu tulipo pia ni ya kwakwe, swali hii sehemu inakuwaje ya kwakwe wakati alietukabidhi hapa ni ROSTAM AZIZI?????
Kuja kufuatilia tukaambiwa ROSTAM na world Oil wana mvutano, na ndo maana Huyu MMILIKI WA WORD OIL anasema hii sehemu ni yake tuondoke.

Sasa na sisi kama wafanyabiashara hatukutaka kero tukakubaliana nae atulipe fidia tuondoke yeye akamalizane na ROSTAM Sasa inakuwaje badala ya kutulipa yeye anatuma watu wabomoe?????
Siku nyingine muwe mnasoma na kuelewa sio mnakimbilia kusema msoyajua
ommytk
chiembe
Msigazi Mkulu
Yoda
Na wengine punguzeni ujuaji
ROSTAM AZIZ aliwauzia? Au aliwaruhusu tu kwa hisani yake?
Mna hati miliki (title deed) ya eneo?
Hayo ndio maswali unayopaswa kujibu. Usisafirie nyota ya Rostam kwa dhulma!
 
Hasemi kauziwa ila anasema tu tutoke kwenye sehemu yake. Na ROSTAM anasema hiyo sehemu tusitolewe kwasababu yeye ndio MMILIKI na Hana Taarifa za Hilo eneo kumilikiwa na worl oil
Ina onekana mlipewa kwa ushawishi wa RA ila lina mgogoro ambao hata nyie hamu ujui
 
Aisee watu mnapenda kukurupuka sana, hivi we Kwa akili Yako unahisi mtu aende avamie sehemu hajui ya nani aanze kufanya biashara Tena ya pesa kubwa?????
Hii sehemu ni ya ROSTAM AZIZI.
NA kama mmesoma vizuri hapo hatimiliki ni jina la ROSTAM AZIZI, na sisi yeye ROSTAM ndio alikabidhi hii sehemu kwetu. Baadae jirani na sehemu hii ya ROSTAM ambapo ndio tunafanyia biashara akawa amenunua World Oil. Mara ghafla akaja anatwambia hii sehemu tulipo pia ni ya kwakwe, swali hii sehemu inakuwaje ya kwakwe wakati alietukabidhi hapa ni ROSTAM AZIZI?????
Kuja kufuatilia tukaambiwa ROSTAM na world Oil wana mvutano, na ndo maana Huyu MMILIKI WA WORD OIL anasema hii sehemu ni yake tuondoke.

Sasa na sisi kama wafanyabiashara hatukutaka kero tukakubaliana nae atulipe fidia tuondoke yeye akamalizane na ROSTAM Sasa inakuwaje badala ya kutulipa yeye anatuma watu wabomoe?????
Siku nyingine muwe mnasoma na kuelewa sio mnakimbilia kusema msoyajua
ommytk
chiembe
Msigazi Mkulu
Yoda
Na wengine punguzeni ujuaji
Eneo ni la rostam au World oil? Kama eneo liliuzwa kwa world oil mmiliki ndio huyo.
 
Back
Top Bottom