Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unaoposema hakunà uamuzi mwingine una maana gani wakàti unàonà wamechukua uamuzi wa kubomoa?Maamuzi yaluyotolewa ni kufanya tathmini na kulipwa fidia, hakuna uamuzi mwingine isitoshe kwenye kikao Cha tarehe 9 World Oil hakuhudhiria
Uchaguzi umeshaisha na tumeshinda kwa 99%Sisi Wafanyabiashara wadogowadogo tuliokuwa tukifanya shughuli zetu za biashara katika eneo lililopo jirani na ofisi za World Oil eneo la Tungi Mnadani, Kigamboni hapa Dar es Salaam.
Tulianza kufanya biashara kwa takribani miaka miwili iliyoputa na tukajenga vibanda vyetu eneo hilo, tulitumia biashara hiyo kuendesha familia zetu kwa kipato ambacho tulikipata hapo.
Miezi ya hivi karibuni kukatokea mvutano baina ya pande mbili ambazo zote zilijitambulisha kuwa zinamiliki eneo hilo.
Upande wa kwanza ni Ofisi ya World Oil ambao walitutaka tuhame eneo hilo wakidai ni la kwao, tuliwapinga na tukawasilisha malalamiko yetu kwa Ofisi ya Katibu Tawala Kigamboni, akawaandikia barua ya wito ili kujadili suala hilo.
Mazungumzo yakafanyika kati yetu Wafanyabiashara na World Oil tukakubaliana nao kuwa watatulipa fidia ili kuondoka eneo hilo, japokuwa kulikuwa na upande wa pili wa mmiliki mwingine ambaye ni mfanyabaishara maarufu naye alidai lile eneo ni lake.
Wakati tunasubiri kujua hatma ya eneo hilo, tumekuta miundombinu ya biashara zetu yote imebomelewa usiku, hatujui aliyebomoa lakini taarifa tulizopewa ni kuwa World Oil ndio wamehusika kubomoa maeneo yetu.
Tunaomba Serikali itusaidie kwani, kama ni mgogoro ulikuwa unaendelea kutafutiwa utatuzi ila kuna Wahuni wamejitokeza na kuvunja, wameharibu mitaji yetu, tumebaki na majuto.
Huyu ni nani ambaye ana nguvu kiasi cha kubomoa bila kibali na bila taarifa huku vitu vyetu vingi vikiwa ndani, kuna hasara kubwa imepatikana, tunaomba msaada wa Serikali Kuu inaonekana aliyefunja ana nguvu kuliko hata mamlaka za Serikali nyingine zilizowekwa huku Kigamboni.
Eneo mlipewa na nani??Sisi Wafanyabiashara wadogowadogo tuliokuwa tukifanya shughuli zetu za biashara katika eneo lililopo jirani na ofisi za World Oil eneo la Tungi Mnadani, Kigamboni hapa Dar es Salaam.
Tulianza kufanya biashara kwa takribani miaka miwili iliyoputa na tukajenga vibanda vyetu eneo hilo, tulitumia biashara hiyo kuendesha familia zetu kwa kipato ambacho tulikipata hapo.
Miezi ya hivi karibuni kukatokea mvutano baina ya pande mbili ambazo zote zilijitambulisha kuwa zinamiliki eneo hilo.
Upande wa kwanza ni Ofisi ya World Oil ambao walitutaka tuhame eneo hilo wakidai ni la kwao, tuliwapinga na tukawasilisha malalamiko yetu kwa Ofisi ya Katibu Tawala Kigamboni, akawaandikia barua ya wito ili kujadili suala hilo.
Mazungumzo yakafanyika kati yetu Wafanyabiashara na World Oil tukakubaliana nao kuwa watatulipa fidia ili kuondoka eneo hilo, japokuwa kulikuwa na upande wa pili wa mmiliki mwingine ambaye ni mfanyabaishara maarufu naye alidai lile eneo ni lake.
Wakati tunasubiri kujua hatma ya eneo hilo, tumekuta miundombinu ya biashara zetu yote imebomelewa usiku, hatujui aliyebomoa lakini taarifa tulizopewa ni kuwa World Oil ndio wamehusika kubomoa maeneo yetu.
Tunaomba Serikali itusaidie kwani, kama ni mgogoro ulikuwa unaendelea kutafutiwa utatuzi ila kuna Wahuni wamejitokeza na kuvunja, wameharibu mitaji yetu, tumebaki na majuto.
Huyu ni nani ambaye ana nguvu kiasi cha kubomoa bila kibali na bila taarifa huku vitu vyetu vingi vikiwa ndani, kuna hasara kubwa imepatikana, tunaomba msaada wa Serikali Kuu inaonekana aliyefunja ana nguvu kuliko hata mamlaka za Serikali nyingine zilizowekwa huku Kigamboni.
Hayo maamuzi ya kulipa fidia yalitolewa na nani? Jiridhishe kama aliyetoa huo uamuzi ana mamlaka hayo kisheria.......(angalia namna migogoro ya ardhi inavyotatuliwa kisheria)........na kama kilikua ni kikao cha usuluhishi tu na upande mmoja haukutokea, je tunaweza kusema kwamba hiyo suluhu ya kulipa fidia ina mashiko yoyote?Maamuzi yaluyotolewa ni kufanya tathmini na kulipwa fidia, hakuna uamuzi mwingine isitoshe kwenye kikao Cha tarehe 9 World Oil hakuhudhiria
swal muhim sana mkuu mana unakuta n mali ya mtu bi binafsi na aliwafanyia fea tu, labd kam eneo lilitengwa kwajili yenu n saw mnahak.Nyie mlikuwa wamiliki halali au mlivamia tu na kuweka majengo yenu?
Kama mlivamia, kwanini mlipwe fidia?
Duuh hii sasa hatarii,Siku tunaenda kukutana World Oil waliitwa hawakuja, na kama umesoma hapo barua ya wito Kwa world Oil, Sasa mtu ameitwa amekaidi kuja tutapata jibu Gani?
Basi wangetumia busara, siku 1 kabla ya kubomoa, wangewapa taarifa.Kwa taarifa za chini n kuwa walishapewa taarifa ila kama kawaida tunangojaga ngojaga.
Kama kikao kilifanyika mwezi wa 9 ni wazi kuna maamuzi yaliyotolewa, hayo mabanda hayana muda tangu yavunjwe.
Sisi Wafanyabiashara wadogowadogo tuliokuwa tukifanya shughuli zetu za biashara katika eneo lililopo jirani na ofisi za World Oil eneo la Tungi Mnadani, Kigamboni hapa Dar es Salaam.
Tulianza kufanya biashara kwa takribani miaka miwili iliyoputa na tukajenga vibanda vyetu eneo hilo, tulitumia biashara hiyo kuendesha familia zetu kwa kipato ambacho tulikipata hapo.
Miezi ya hivi karibuni kukatokea mvutano baina ya pande mbili ambazo zote zilijitambulisha kuwa zinamiliki eneo hilo.
Upande wa kwanza ni Ofisi ya World Oil ambao walitutaka tuhame eneo hilo wakidai ni la kwao, tuliwapinga na tukawasilisha malalamiko yetu kwa Ofisi ya Katibu Tawala Kigamboni, akawaandikia barua ya wito ili kujadili suala hilo.
Mazungumzo yakafanyika kati yetu Wafanyabiashara na World Oil tukakubaliana nao kuwa watatulipa fidia ili kuondoka eneo hilo, japokuwa kulikuwa na upande wa pili wa mmiliki mwingine ambaye ni mfanyabaishara maarufu naye alidai lile eneo ni lake.
Wakati tunasubiri kujua hatma ya eneo hilo, tumekuta miundombinu ya biashara zetu yote imebomelewa usiku, hatujui aliyebomoa lakini taarifa tulizopewa ni kuwa World Oil ndio wamehusika kubomoa maeneo yetu.
Tunaomba Serikali itusaidie kwani, kama ni mgogoro ulikuwa unaendelea kutafutiwa utatuzi ila kuna Wahuni wamejitokeza na kuvunja, wameharibu mitaji yetu, tumebaki na majuto.
Huyu ni nani ambaye ana nguvu kiasi cha kubomoa bila kibali na bila taarifa huku vitu vyetu vingi vikiwa ndani, kuna hasara kubwa imepatikana, tunaomba msaada wa Serikali Kuu inaonekana aliyefunja ana nguvu kuliko hata mamlaka za Serikali nyingine zilizowekwa huku Kigamboni.
Kwanini mlipwe fidia na eneo siyo lenu?Aisee watu mnapenda kukurupuka sana, hivi we Kwa akili Yako unahisi mtu aende avamie sehemu hajui ya nani aanze kufanya biashara Tena ya pesa kubwa?????
Hii sehemu ni ya ROSTAM AZIZI.
NA kama mmesoma vizuri hapo hatimiliki ni jina la ROSTAM AZIZI, na sisi yeye ROSTAM ndio alikabidhi hii sehemu kwetu. Baadae jirani na sehemu hii ya ROSTAM ambapo ndio tunafanyia biashara akawa amenunua World Oil. Mara ghafla akaja anatwambia hii sehemu tulipo pia ni ya kwakwe, swali hii sehemu inakuwaje ya kwakwe wakati alietukabidhi hapa ni ROSTAM AZIZI?????
Kuja kufuatilia tukaambiwa ROSTAM na world Oil wana mvutano, na ndo maana Huyu MMILIKI WA WORD OIL anasema hii sehemu ni yake tuondoke.
Sasa na sisi kama wafanyabiashara hatukutaka kero tukakubaliana nae atulipe fidia tuondoke yeye akamalizane na ROSTAM Sasa inakuwaje badala ya kutulipa yeye anatuma watu wabomoe?????
Siku nyingine muwe mnasoma na kuelewa sio mnakimbilia kusema msoyajua
ommytk
chiembe
Msigazi Mkulu
Yoda
Na wengine punguzeni ujuaji
Kwanini mnaamini hili eneo linawahusu ikiwa wewe mwenyewe unataja mmiliki ni WO na RA?Ni kweli kabisa, lakini RA na WO walisema hii kesi ipo mahakamani, Sasa kwanini watuingize sisi???? Kwanini sisi ndio tuvunjiwe biashara wakati hata hatujui ugomvi wao??????? Kwanini WO asiende kugombana na RA badala yetu
Hapo sasa!Mnaomba msaada kwa serikali ipi...🤔
Siwakandii lakini watu weusi sisi kadri tunavyozidi kupewa muda zaidi tunaona ni haki kuendelea kuwepo. Tunapenda kuhurumiwa hurumiwa sana bila kujali kuwa ni gharama. Ni mwaka juzi walivunjiwa tena ila bado hawaelewi.Basi wangetumia busara, siku 1 kabla ya kubomoa, wangewapa taarifa.
Wangetumia utu wa kibinadamu.