Kwa speech ile tumewachokoza wenyewe.
Hapa duniani kuna mashirika makubwa ya kijasusi ambayo yakihitaji kitu au kumhitaji mtu popote pale hayashindwi.
1. CIA - Shirika la kijasusi la Marekani.
2.Mossad - Shirika la kijasusi la Israel.
3. M16 - Shirika la kijasusi la Uingereza.
4. KGB - Shirika la kijasusi la Urusi.
5. ISI - Shirika la kijasusi la Pakstani.
Usijichanganye nayo pamoja na tofauti zao huwa yanabadilishana taarifa. Muulize Yericko Nyerere.
Ishu ya tukio la Tigo - Serikali ya Tanzania - Lissu kuvuja ni tone tuu kati ya mengi yatakayo vuja ikiwa tutaendelea kuwachokoza, tusije kushangaa hata makubaliano ya kuuzwa kwa bandari kwa DP-World na kuuzwa kwa Loliondo kwa falme za kiarabu yatavuja kama kutakuwa na kesi zitakazofunguliwa, nani alihusika nani alipata nini kwa maslahi ya nani. Tuwe waangalifu na kile tunachoongea hasa kuwahusu hawa wazungu.
Cc. Mugabe na Zimbabwe.
Pia soma;
~ Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu
~ Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani