Tumeyataka wenyewe, ukiwa kwenye nyumba ya vioo usianze kurusha mawe

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Kwa speech ile tumewachokoza wenyewe.

Hapa duniani kuna mashirika makubwa ya kijasusi ambayo yakihitaji kitu au kumhitaji mtu popote pale hayashindwi.

1. CIA - Shirika la kijasusi la Marekani.
2.Mossad - Shirika la kijasusi la Israel.
3. M16 - Shirika la kijasusi la Uingereza.
4. KGB - Shirika la kijasusi la Urusi.
5. ISI - Shirika la kijasusi la Pakstani.
Usijichanganye nayo pamoja na tofauti zao huwa yanabadilishana taarifa. Muulize Yericko Nyerere.

Ishu ya tukio la Tigo - Serikali ya Tanzania - Lissu kuvuja ni tone tuu kati ya mengi yatakayo vuja ikiwa tutaendelea kuwachokoza, tusije kushangaa hata makubaliano ya kuuzwa kwa bandari kwa DP-World na kuuzwa kwa Loliondo kwa falme za kiarabu yatavuja kama kutakuwa na kesi zitakazofunguliwa, nani alihusika nani alipata nini kwa maslahi ya nani. Tuwe waangalifu na kile tunachoongea hasa kuwahusu hawa wazungu.

Cc. Mugabe na Zimbabwe.

Pia soma;
~ Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu
~ Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
 
Kwa speech ile tumewachokoza wenyewe.

Hapa duniani kuna mashirika makubwa ya kijasusi ambayo yakihitaji kitu au kumhitaji mtu popote pale hayashindwi.

1. CIA - Shirika la kijasusi la Marekani.
2.Mossad - Shirika la kijasusi la Israel.
3. M16 - Shirika la kijasusi la Uingereza.
4. KGB - Shirika la kijasusi la Urusi.
5. ISI - Shirika la kijasusi la Pakstani.
Usijichanganye nayo pamoja na tofauti zao huwa yanabadilishana taarifa. Muulize Yericko Nyerere.

Ishu ya tukio la Tigo - Serikali ya Tanzania - Lissu kuvuja ni tone tuu kati ya mengi yatakayo vuja ikiwa tutaendelea kuwachokoza, tusije kushangaa hata makubaliano ya kuuzwa kwa bandari kwa DP-World na kuuzwa kwa Loliondo kwa falme za kiarabu yatavuja kama kutakuwa na kesi zitakazofunguliwa, nani alihusika nani alipata nini kwa maslahi ya nani. Tuwe waangalifu na kile tunachoongea hasa kuwahusu hawa wazungu.

Cc. Mugabe na Zimbabwe.
UNAKUMBUKA issue ya fedha za rada ilibumburukia huko huko kwa king chalz...
 
Mbona sioni katika listi yako shirika la majasusi wa Vatican???
 
JPM aliwatukana kwa sababu he was clean..

Sasa huyu anawatukana meanwhile ana makandokando kila mahali..

It is too late kufuata nyayo za mwamba..
He was never clean, kwani hayo ya Tundu Lissu ni kipindi gani? Halafu akaanza kuwatukana na kusahau kwamba anatembea na pager.

Kuna videos za bashite akinyang'anya uhai wa watu ni za wakati gani?
Bashite mwenyewe alishataka kukumbia nyi akaishi kama asylee lakini akatoswa unadhani alitoswa kwa ajili ya mambo gani? Aliyoyafanya wakati gani?
 
Back
Top Bottom