Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.

Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora

Japo Magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana

USSR

======

UPDATES;

=======

African Political Leader of the Year 2020

Winner: HE Nana Akufo-Addo, President of Ghana

Runner-up: HE John Magufuli, President of Tanzania (Co-winner)
 
Naona wameshaweka mfumo wao ukipiga mara moja huwezi kurudia tena. Nadhani wanarekodi IP address
Kumbe ndio maana, sasa kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Kama hili shindano ni la kweli, mwenye kustahili ushindi huo itakuwa ni Nana Addo wa Ghana, ktk vigezo vyote vya utawala bora hakuna anayeweza kumfikia. Tuache unafiki kwa kuwa hata madonda ya rafu za uchaguzi uliopita na madhira yake bado hayajapona.
 
Hiyo 56% kaipata wapi? au lumumba mme hack hiyo account mkaweka namba zenu kama kawaida yenu!

Inawezekana hizo kura zilikuwa na Nana A. Addo.
Sijawahi kumwamini yeyote katika maisha yangu, Ila naomba Wana Lumumba tuendelee kuaminiana. Asanteni kwa kunielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…