mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Dah hebu piga picha hiyo changamoto ππππππvyote kwa pamoja kuna chakula wanaita changa moto Maana cha moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah hebu piga picha hiyo changamoto ππππππvyote kwa pamoja kuna chakula wanaita changa moto Maana cha moto
Unataka kupiga kura ya mapema
Unataka kupiga kura ya mapema
Nita kutumia ila nime maliza kwa sasaDah hebu piga picha hiyo changamoto ππππππ
Inatakiwa apate ushindi wa kishindo sioKabisa mkuu, waswahili wanasema mkataa kwao mtumwaπ π
Ungeweka na link ya kuingia huko direct hapo chiniWatanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Africa wa mwaka.
Rais magufuli anashindaniswa na marais wa Djibouti. Afrika kusini .Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana
USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Africa wa mwaka.
Rais magufuli anashindaniswa na marais wa Djibouti. Afrika kusini .Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana
USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Hajammiminia mpinzani wake risasi 32 mchana kweupe.Amefanya nini cha maana hapo Ghana
Wewe jamaa unauzandikiWaandaaji wa hiyo tuzo ni wapumbavu.
Magufuli hafai hata top 20. The worst dictator.
Labda angewekwa category moja na Kagame, Museveni, na yule wa Burundi ningempigia kura hata kwa kuazima simu za watu, maana hapo ndo anafit
Sawa JescaWewe jamaa unauzandiki